๐ฝ๐ฃ๐๐๐ ๐๐๐๐๐
@mdbnurseRegistered Nurse at MNH-MLG| Dad| MUHAS Alumnus| Business Man
Similar User
@Godblessnkya21
@mti_hussein
@boy_jonjo
@nwankwo_rex
@phanieemontero
MNH-Mloganzila kwa kushirikiana na Bingwa Mbobezi wa Upandikizaji Nyonga na Magoti kutoka Uingereza Prof. Mamoun AbdelGadir imefanya upasuaji wa kupandikiza nyonga na magoti kwa wagonjwa 13 ambapo baadhi yao wamefanyiwa kwa njia ya matundu madogo.
Daktari Bingwa Mbobezi wa Upasuaji Ubongo Mgongo na Mishipa ya Fahamu Prof. Huh Seung Kon kutoka Korea Kusini ameupongeza uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila kwa mageuzi na maboresho makubwa iliyofanya katika kuendelea kuberesha utoaji wa huduma za afya nchini.
When sending medical advice, ask your doctor, but also ask an experienced nurse. Nurses are underrated.
Mara ya mwisho kujiona niko hospital na natumikia skills zangu ilikua mloganzila. Mimi sio mtu wa kuunga hoja lakini ile hospital ni ๐ฅ๐ฅ. Hawa wahuni walikua wananizonga wamchukue huyo Chief wangu.๐
Achana na Mateso ya Kila siku Unayoyapitia kwa sababu ya simu yako @OPPOTanzania_ Ndio suluhisho la Wewe kuwa na Furaha na Simu yako Yaani -Hakuna kujizima -Hakuna kuchemka -Hakuna ku stak stak -Hakuna kuwaza vitu vya kufuta ili upige Picha au video CHAGUA OPPO #Win1MwithOPPO
Hii kampuni simu zake ni zaidi ya computer Niliwahi kutumia oppo f11 sema vishandu nao waliipenda zaidi kuliko mimi pale roundabout ya kawe wakanisaidia kuhifadhi Please naomba nsaidie kurepost, na kucomment nishinde niongeze mtaji wa chupi๐๐ @OPPOTanzania_ #Win1MwithOPPO
*#Wafanyakazi Muhimbili wampongeza Prof. Janabi kwa maboresho aliyofanya katika kipindi cha mwaka mmoja#* #muhimbilitaifa
Najisikia faraja kuona ndugu yangu kesho anaenda kupandikizwa figo na Madaktari Bingwa hapa Mloganzila, naipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya. Bw. Edwin M. Sannda Mbunge mstaafu wa Kondoa Mjini #Muhimbilimloganzila #Hudumaborakipaumbelechetu
Redesigns....
What is Occupational Therapy? - Kwa ufupi. #Pharmadawa #OccupationaTherapy #TibaKazi
Nilikuwa natafuta kiswahili cha Occupational Therapy, wenzangu wakaniambia ni "Tiba Kazi" kumbe ni "Tiba Shughulishi". Hii Ni moja ya tiba muhimu sana hususani kwa watoto wenye ulemavu ikiwemo Usonji. Nimeshuhudia mtoto ambae alikuwa hawezi hata kushika sahani/kijiko au kuvaaโฆ
United States Trends
- 1. South Korea 787ย B posts
- 2. #GivingTuesday 52,1ย B posts
- 3. North Carolina 105ย B posts
- 4. Africa 210ย B posts
- 5. #TalentWon 32,5ย B posts
- 6. $AUTOS 3.876 posts
- 7. Snow Mexicans 2.770 posts
- 8. #alieninvasion 8.085 posts
- 9. Yoon 379ย B posts
- 10. Lamine 66,7ย B posts
- 11. #PMSLive 4.210 posts
- 12. Neuer 10,6ย B posts
- 13. Martial Law 933ย B posts
- 14. Ferran 32,3ย B posts
- 15. Foxy 12,6ย B posts
- 16. Daniel Penny 138ย B posts
- 17. #GalaxyS24FE 1.944 posts
- 18. Happy Birthday Tiff N/A
- 19. Snow White 13,7ย B posts
- 20. Mayor Adams 24,8ย B posts
Something went wrong.
Something went wrong.