@mchemea Profile picture

MCHEMEA

@mchemea

My name is Muhammad Ramadhan Mchemea

Joined April 2020
Similar User
Hamida Rashidi76 photo

@HamidaRashidi76

Happy birthday Bint Mkoko


“Count not the candles…see the lights they give. Count not the years, but the life you live. Wishing you a wonderful time ahead. Happy birthday Bnt Sharrif”


MCHEMEA Reposted

Some important games to look out for in the Champions League and Confederation Cup second round: • Al Ahly v Gor Mahia • Pyramids v APR FC • TP Mazembe v Red Arrows • Orlando Pirates v Jwaneng Galaxy • MC Alger v US Monastir • Al Hilal v San Pedro • Raja v FC Samartex •…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Húu ulimwengu upo vice versa maana wakati yule anakwambia ametoa mimba sasa kuna huyu ambaye hataki hata kutoa na anasema atapambana nayo kufa na kupona✍️✍️✋👑😲

Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted
Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted

TAARIFA KWA UMMA: Kwa mamlaka niliyopewa kulingana na Mkataba wa Makubaliano na Simba Sports Club Limited (Memorandum of Association) na Kanuni za Makubaliano (Articles of Association), ibara ya 40; ningependa kuwatambulisha wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi kwa upande wa…


Happy Baba Day ###№ Uishi sana


MCHEMEA Reposted

Mchezo mzuri Simba. Usiku haukuwa wa ushindi lakini tumeziona juhudi na zinatupa faraja na matarajio kuwa, msimu ujao wa mashindano ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika mambo yatakuwa mazuri zaidi. Ahadi yetu ni kuendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.

Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted

Nashukuru sana Mhe Rais Dkt @SuluhuSamia Kwa Imani Uliyonikopesha Naimani Nitakuwa muadilifu na Kutenda Haki kwa Kila Mwananchi wa Lushoto Karibuni sana Lushoto

Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted

Waziri wa kilimo Mh. @HusseinBashe kupitia ukurasa wake wa X ametoa taarifa ya uzalishaji wa mahindi ambapo kwa mwaka 2022-23 uzalishaji umefikia tani milioni 8.1 huku mahitaji ya nchi ya mahindi ni tani milioni 6.

Tweet Image 1

🤙🌹Wanao chimba kaburi hua ni watu wa kawaida wale ambao unaona hawana hadhi ya urafiki na wewe, marafiki zako watapita saloon na kupiga perfume kuja msibani, kukaa mbali kidogo na vumbi la kaburi!! Ukikielewa kifo umeyaelewa maisha🤗 By King Mchemea

Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted

🤙🌹Wanao chimba kaburi hua ni watu wa kawaida wale ambao unaona hawana hadhi ya urafiki na wewe, marafiki zako watapita saloon na kupiga perfume kuja msibani, kukaa mbali kidogo na vumbi la kaburi!! Ukikielewa kifo umeyaelewa maisha🤗 #_REV_MKONO #_MISEMO_YA_HEKIMA


MCHEMEA Reposted

📍Ngarash,Monduli Mfanyabiashara maarufu Rostam Aziz akiteta jambo na mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Lowassa Ndugu Fred Lowassa kwenye makazi yake kijiji cha Ngarash, Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha. Inadaiwa kuwa Rostam Aziz ndiye rafiki yake mkubwa ambaye amekaa…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

MCHEMEA Reposted

Amerudi kikosini 💪 #WenyeNchi #NguvuMoja

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

MCHEMEA Reposted

Nimeona mjadala wa “kusoma magazeti” . Nimeelekeza TCRA kuruhusu UBUNIFU kwenye tasnia ya Habari. Staili ya usomaji we magazeti imeongeza MVUTO kwenye usomaji huo, ni jambo linapaswa KUTIWA MOYO badala ya kuzuiwa. Waandishi endeleeni na ubunifu kwenye kusoma magazeti.


Mmmh haya maisha haya wenzetu wamekuwa watetezi walio hai na wafu

MAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA. Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA. Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni…

Tweet Image 1
Tweet Image 2


MCHEMEA Reposted

Rais wa nchi yako ametekwa.Unaweza kumpigia simu mtu mmoja tu ili kumrudisha akiwa hai unampigia nani hapo.?👇

Tweet Image 1

MCHEMEA Reposted

Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa Sh20,000. Katika kila kilo moja ya saruji serikali inachukua kodi ya Sh20. Hivyo katika 50kg ya saruji kodi ya serikali ni Sh1,000 (5%). Kiwandani Mfuko wa saruji (cement) kampuni ya NYATI wa 50kg unauzwa kwa wastani…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.