Mathew Bravo
@mathew650"Ora et Labora, Deus adest sine mora" Man Utd 👿& Simba SC 🦁 I ENFJ.
Similar User
@bossfx905
@mlonganganile
@denismachui
@JerryMaingu
@mgonyoro_01
@AloyceMichael11
@ExaudMasoud2
“A foolish faith in authority is the worst enemy of truth.” -Einstein
‼️UBUNGO HAKUNA MAJI ❌‼️ Mdau anaeleza kuanzia Kimara hadi Kibamba siku ya 8 hakuna maji! Huu ni ukatili mkubwa sana! Shida nini @maji_mowi ?? #TutaelewanaTu
The European Union (EU) has announced a ban on Air Tanzania flights from entering the airspace of its 27 member states, citing the airline's failure to meet international aviation safety standards. “The European Union has today updated its list of airlines banned from operating…
Air Tanzania Yazuiwa Kuingia Anga la Umoja wa Ulaya Umoja wa Ulaya (EU) umetangaza kuzuia ndege za shirika la ndege la Air Tanzania kuingia katika anga la nchi wanachama wa umoja huo, ambazo ni jumla ya nchi 27, kwa kile ambacho jumuiya hiyo imeeleza kuwa shirika hilo…
Sidhani Kama CCM smart wanaweza kufurahia possibility ya TAL kuwa Mwenyekiti Chadema, facing TAL as a chairman will be very tough. Ni rahisi ku negotiate na watu dizaini ya Mbowe kuliko Tundu Lissu, watu smart ndani ya CCM na serikali kwa ujumla lazima watakua kwenye dilemma.
lissu ni mtu sahihi kwa chadema. for many reasons, the biggest ni uwezo na utayari wake wa kuongea na madikteta wetu uchwara kwa lugha wanayoielewa. he doesn’t appeal to their conscience cuz he knows they’ve none. he doesn’t fuck w/ them, and that’s very, very good!
I told The Guardian that @SuluhuSamia ‘missed a chance to build democratic institutions that would guard human rights and allow citizens to participate in government.. a missed opportunity that has made the regime look like a replica of previous admin.’ theguardian.com/world/2024/dec…
Hili ni gazeti la THE GARDIAN nchini UINGEREZA. Hii habari wanaisoma Wazungu kuwa kuna mtu anaitwa SATIVA miaka 27 alitekwa na kuenda kukutwa MBUGA ya wanyama akiwa na MAJERAHA ya RISASI na alama za MATESO mwilini mwake. Taarifa inaeleza zaidi kuwa mimi SATIVA nilitekwa na…
Hivi huyu alishahojiwa kuhusu mambo anayosema alihusika kuyafanya 'kwenye mapori ya baadhi ya majimbo'? Upo uwezekano mkubwa 'Wasiojulikana - WANAJULIKANA' basi tu.
Ipo siku! Narudia ipo siku ng'ombe nyinyi Hadi sasa... 1. Tunawadai GARI mlilo ondoka nalo 2. Tunawadai Kompyuta mpakato, 3. Tunawadai documents za kisheria zilizo kuwepo kwenye gari. Endeleeni huu upuuzi. Mtakufa kifo kibaya Sana siku.
‼️🆘#EnforcedDisappearance attempt in #Tanzania‼️ This CCTV footage shows one of the 8 plain clothes men who claimed to be police but failed to identify them who attempted to abduct Lawyer and Human Rights defender @LusakoAlphonce They were driving an unmarked Land Cruiser and a…
Lusako anashuka kwenye gari lake mnamfuata mnaanza kumkimbiza Baada ya kufanikiwa kuwatoroka , Polisi mnachukua gari lake kwa nguvu . Mnatoa taarifa kuwa mnachunguza kwanini alikimbia! Hamsemi gari lake mmelichukua Kwa sababu gani na linahusika vipi na huyo Emmanuel…
Attempted Abduction Saga of Lawyer Alphonce Lusako: Police Says they were simply trying to arrest somebody else
Kuna ulazima wowote wa polisi kuvamia hivi kwenye ofisi ya mtu? Kama mtu ana address inayojulikana, ni kwa nini asiandikiwe tu wito wa kujisalimisha kituoni. Ukamataji wa aina hii ni sugarcoated form ya UTEKAJI. Kuna weledi kweli kwenye hili?
Mungu siyo Hangaya. Kila siku watekaji wanaacha alama kwenye utekaji. Leo wanasema walikuwa wanamtafuta Emmanuel Mweta. Lakini wamemkimbiza Alphonce Lusako, walipomkosa, wameondoka na gari lake, simu, laptop na nyaraka zake. Upepo unavyopuliza, ndivyo nyeti za kuku zinabaki wazi.
Kama wangefanikiwa kumteka sasa hivi ungewasoma kwenye vipeperushi vyao wanasema wanachunguza kufahamu hao watu waliomchukua kwa nguvu ni akina nani na hivyo wanaomba ushirikiano. Wanatuchora tu muda huo. Umtafute “E” ukamkimbize kumkamata “A”. Acheni porojo arifee.
📍VIDEO: Kutokana na uwepo wa madai ya kutekwa kwa Mwanaharakati na Mwanasheria Alphonce Lusako @LusakoAlphonce leo, Alhamisi Desemba 05.2024, Jambo TV imefika kwenye ofisi za 'Reach Out Tanzania' zilizopo Salmin Amour street, karibu na ofisi za BAKITA, Makumbusho, jijini Dar es…
Huyu ni Joseph Mkama, ndezi aliyetumwa kumteka Alphonce Lusako leo. Ng’ombe kama huyu anatakiwa kuwa maarufu kwa upumbavu wake. Send him love letters.
Na; mwandishi wetu Katika hali isiyokuwa ya kawaida na isiyotarajiwa wanafunzi takribani tisa (9) wanaosoma katika shule ya msingi Izinga, iliyopo kata ya Wampembe, jimbo la Nkasi Kusini, Halmashauri ya wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa inaelezwa kuwa wamefukuzwa shule kutokana na…
Samia Suluhu Hassan is NOT my President. RT if you agree.
United States Trends
- 1. Good Sunday 59 B posts
- 2. Xmas Drop 1.359 posts
- 3. Donk 8.580 posts
- 4. Colby 31,5 B posts
- 5. #sundayvibes 4.389 posts
- 6. #UFCTampa 60,6 B posts
- 7. Buckley 19,9 B posts
- 8. Heisman 167 B posts
- 9. Jeanty 76,6 B posts
- 10. Travis Hunter 134 B posts
- 11. Canelo 3.145 posts
- 12. Munguia 9.827 posts
- 13. Cub Swanson 6.679 posts
- 14. Vindman 10,4 B posts
- 15. Deion 16,2 B posts
- 16. hanbin 38 B posts
- 17. Shirley Temple N/A
- 18. Faze 12 B posts
- 19. Chris Rock 4.328 posts
- 20. Kemi 76,3 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.