@maribellajr Profile picture

Maribella

@maribellajr

listening to muzic

Kazi ya Mungu hailali Gwajiboy wewe unatish saaana ona makutano haya tunakuombea uvushe watu na roho zao


Gwaji boy si mutu wa kawaida ni bulldoser Mungu amelishusha Kawe wataelewa tu kwa kazi huyu bwana nishika halichagui mti songa mbele


Tutaelewana karibu shujaa wetu maana unajbo lako na Kawe uliyopewa na Mungu Jehova


Kawe Kawe na Gwaji boy kweli mkuu kazi unaipiga Kawe itaelewa tu maana umekuwaa nuru kwa vijana waliowengi hata uhalifu umepungua saaanaa 🙏🙏


Teende wote na Gwajiboy Kawe

Tweet Image 1

Maribella Reposted

Msiandikie mate na wino upo.. Gwaji boy anapambana bhana


wahi wahi watu wanafunguliwa nakila aina ya baraka zinapatikana

Tweet Image 1

Shina no 4 mwendo ni ule ule nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda, jiko kwa jiko na Gwajiboy


Twende na Gwajiboy wataelewa tu


Shina kwa Shina na Gwajjiboy twende pamoja


Kwa Amani hoyeeee shina no 2 Kawe na mbunge wake hoyeeee


Shina kwa shina Farida Kimaro na Gwajiboy twende pamoja na Kawe yetu


Shina kwa shina na bb wa Kawe mbunge wa taifa huyooooooo


Twende zetu na Gwajiboy hima twende hima kanyaga hima kanyaga mpaka@kieleweke


Maribella Reposted

Ooh!!

From Maribella

Gwajiboy hoyeeee majina mazuri yenye nguvu kama Gaajiboy🙏🙏🙏🙏🙏


Magwe pande hoyeee jamaa huyu msimwache mko na lulu ya thamani sana shikeni pindo la shati


Hey hey tegeta ya Gwajiboy baba unatisha hii ni tegeta tu ukiweka ubungo na pande zote za DSM duh Gwajiboy tisha saaana Kawe hukuchaguliwa kwa bahati mbaya mbunge wa Taifa songa lipo kusudi


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.