@majaliwa_pm Profile picture

The Diplomat

@majaliwa_pm

• Young Diplomat & Personal Leader • Protocol & Etiquette Officer • Events Planner & Conference Organizer • Youth Advocate & Activist • Story & Article Writer

Joined January 2015
Similar User
Rashid Mwinyi photo

@rashid_mwinyii

ZAFAYCO photo

@ZAFAYCO1

Abdalla Ali Abeid photo

@Abeidabdalla12

Pamoja Youth Initiative photo

@pamoja_youth

ABDULWAHABI ALI photo

@abduldoctor554

Aboubakar Ba'alawy photo

@Abalhasan_Alwy

Cube Zanzibar photo

@CubeZanzibar

Abdalla Aziz photo

@AzizAbdalla0

Badru Suleiman Vuai Choma photo

@BadruSuleiman

Pinned

2022 NIMEJIFUNZA MENGI... #UZI Mwaka 2022 nimejifunza mambo mengi. Kati ya mambo 50 niliyojifunza kuna haya machache kama ifuatavyo... 1. Maisha ni mafupi sana. Na kila nilichonacho, hata viungo mwilini, ni kama nimekopeshwa. Wakati wowote naweza kuvipoteza.


We successfully hosted and completed the four-day Camp Dream, Speak, Live! It was an amazing experience filled with inspiration, growth, and joy for all the children who stutter. So proud of these incredible kids and the journey they are on. #CampDreamSpeakLive #StutterStrong

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

In light of tragic news of passing of H.E. Ebrahim Raisi, President of the Islamic Republic of 🇮🇷, Foreign Minister, H.E. Hossein Abdollahian & his entourage of senior officials through a 🚁 crash, I wish to express my heartfelt condolences & solidarity with people of 🇮🇷

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Viongozi mbalimbali wamewasili kijijini Ngarash, wilayani Monduli kwa ajili ya mazishi ya Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Lowassa yatakayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 17, Februari 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted

Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Mizengo Pinda ameongoza waombolezaji katika ibada ya kuuaga mwili wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa iliyofanyika kwenye makazi yake yaliyopo Monduli Mkoani Arusha tarehe 16 Februari 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye mazishi ya Hayati Edward Ngoyai Lowassa yaliyofanyika nyumbani kwa Marehemu Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka udongo kwenye kaburi la Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Lowassa wakati wa ibada ya mazishi ya kiongozi huyo inayoendelea kijijini Ngarash, wilayani Monduli leo Februari, 2024.

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimfariji Mjane wa Marehemu Mama Regina Lowassa mara baada ya kuwasili katika eneo la mazishi, nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Ngoyai Lowassa, Monduli Mkoani Arusha tarehe 17 Februari, 2024.

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

📍Ngarash,Monduli🇹🇿 Katibu wa NEC Uenezi, Itikadi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa kijijini Ngarash Wilayani Monduli kushiriki katika mazishi yake yanayoongonzwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiwa Kijiji cha Ngarash wilayani Mbonduli nyumbani kwa

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

The Diplomat Reposted

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa wakiwa Kijiji cha Ngarash wilayani Mbonduli…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfalme Harald V wa Norway pamoja na Malkia Sonja mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo kwa ajili ya ziara ya Kitaifa tarehe 13 Februari, 2024.🇹🇿🇹🇿

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted
Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Miaka 60 ya uhusiano uliojengwa katika misingi ya umoja, kuheshimiana na fursa sawa. Tanzania 🇹🇿 na 🇳🇴 Norway ziko tayari kufungua ukurasa wa ushirikiano wa kiuchumi utakaoendana na ukubwa historia iliyopo, kwa manufaa ya wananchi wote. #ZiaraYaMamaNorway #MamaYukoKazini

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Mwenyeji wake Mfalme Harald V wa Norway kwenye Kasri la Kifalme Jijini Oslo tarehe 13 Februari, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

The Diplomat Reposted

President of the United Republic of Tanzania, H.E Dr. @SuluhuSamia has welcomed Norwegian investors to invest in crucial areas available in Tanzania including renewable energy, agriculture, oil & gas, logistics & transportation. H.E Dr. Samia is in Norway for a 3-day state visit

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted

President of the United Republic of Tanzania, H.E Dr. @SuluhuSamia has insisted on smart partneship between developing &developed countries on green energy transition for mutual benefits of the parties. H.E Samia made the remarks during the Oslo Energy Forum held today in Norway

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

The Diplomat Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mfalme Harald V wa Norway wakati wa hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Jonas Gahr Støre Jijini Oslo tarehe 14 Februari, 2014.

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Edward Ngoyai Lowassa. Mheshimiwa Lowassa ameitumikia nchi yetu katika nafasi mbalimbali kwa zaidi ya miaka 35, akianzia ushiriki wake katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Chama Cha Mapinduzi…

Tweet Image 1

The Diplomat Reposted

Rais Mstaafu Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, Marais Wastaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein  na Amani Abeid Karume pamoja na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa kwenye hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya Rais wa Poland Andrzej Duda Ikulu Jijini Dar es Salaam

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.