Similar User
nemusila photo

@NevelyMungaya

Vasco Da Gamma photo

@RenatusErasto

Joo photo

@JohnRaphael2000

Kuna Wakati kuna Watu Tunalazimika Tutabasam au Tucheke ili Wanao Tutegemea Wasijue Maumivu Tuliyonayo Moyoni.


Muda mwingine huwa tunafeli kuwa na washkaji ambao tunawabebesha dhamana ya urafiki bila kutofautisha Kuwa Kuna utofauti kati ya urafiki na ushkaji.


Usilazimishe Ukaribu Na Mtu Ishi na wale Wanaofurahia Wepo Wako Kwenye Maisha Yao.


Ukisha Mjua Mnafiki Ishi Nae Kinafiki.


We watu kumi na moja dhidi ya watu nane Hii Ni ligi Au Utopolo, Tff Mnaitia Aibu Ligi Yetu Jamaniii!


Bonyeza like uone inavyokua😊

Tweet Image 1

Ipo siku watakusubiri Nyumbani wakisema tunasubiri mwili wa marehemu,na hawatakutaja kwa majina yako wala cheo chako. Na wale watakao hangaikia kuchimba kaburi Lako ni wale Uliohisi sio Level yako. Ukielewa kifo Umeyaelewa Maisha


Watakuhitaji wanapokuwa na shida kuwa busy kidogo, Punguza shobo,Usipatikane kirahisi


Ishi kwa kufurahi maana mda hausimami ata ukiwa kwenye giza la dhiki na shida ya kiasi gani amini kutakucha tu


Jipe Muda wa Kufurahia Machache uliyobarikiwa.. Shida Haziishi...


Kuna Muda unaishia Tu kuwakumbuka, Lakini Huwezi kuwapigia wala kuwatumia Meseji.


Usiogope kubaki peke yako,Ogopa kubaki na watu Ambao sio sahihi Katika Maisha yako.


Tatizo Tunaowapenda zaidi wanadhani Hatuna pakwenda, Hutumia Upendo wetu kwao kama Udhaifu na kutuumiza mioyo yetu.


Tumeamua tu kuyaficha Maumivu tunayoyapitia Katika Utafutaji wetu ili tusiwavunje Moyo wanaotuamini na kutuombea.


wanatusimulia sana Vibaya kwa watu Lakini Bado Tunawaheshimu wakidhani hatujui,wanatudharau sana Lakini Bado tunaishi nao,wanatusababishia matatizo na kujiona wao wako sawa Lakini Bado Pia tunaishi nao.


Unaweza kudhani Unamvumilia kumbe Unapoteza Muda Tu.


Utafutaji unatufanya tuonekane Hatuwajali, hatuwapendi na Hatuwathamini watu wetu wa karibu, Kuna Muda inatulazimu kukubali Lawama ili Malengo yetu yatimie.


Aaah! Wazuri ila hawamzidi Bebe wangu ☺️

Tweet Image 1

Nimepita pale Muhimbili Kumbe wale Niwazuri wakiwa Wamekaa.😂


Hata Liwe Gumu Kiasi Gani Kuna Siku Litapita na Kua Historia.


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.