@lord__tayo Profile picture

Dead_balls_specialist🏑(Qs)

@lord__tayo

business page ig@toungepleaser||Quantity surveyor 👷🏾|Cost Engineer||Football enthusiastic & analyst⚽️| @azamfc @chelsea 💙|The jack of all trades||eAthlete🎮

Joined December 2015
Similar User
Yusuph || Miigo photo

@itsyuzko

sonofsun photo

@jonespeter98

🥵😁 photo

@Gpa0304

Maggie🥂 photo

@sodomargareth

Likes Richardz photo

@likes_richardz

Cactus🌵 photo

@GeorgeMaji3

SheezyMaestro photo

@BKitundu98

Don_kilasi photo

@GodfatherKilasi

DoX 🛜 (Eng.) photo

@0xFDoX

Dreamville photo

@_barakabrian

Freddie Francis photo

@Freddie00713591

wasabi photo

@G0DreIGNS

Mirene photo

@miryn16

Bad_Kapalot_Kapachino photo

@NevilleElvis

Donald Mhina photo

@MhinaDonald

Pinned

Kazi mpya kutoka kwa vijana wenu Song: Don’t Worry Artists: Likes X Trevy x Lodd LINK: linktr.ee/LIKESTREVYLODD REPOST YAKO NI MUHIMU SANA🙏🏽



Chemistry imeanza kuja🔥🔥🔥nini kinatuzuia kuchukua ubingwa msimu huu

Another +3️⃣ pts!!! 🔥🔥🔥 #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora

Tweet Image 1


Ronaldo has always been against the matrix😂😂

@elonmusk … Glad your eyes have time for good “soccer” 😀💪🏼



Hiyo ndo point yangu kwamba hiyo faida ya millioni 45 utakayopata baada ya miaka 10 ukiinvest 60m (500k x 12 x 10) haitokuwa na thamani hiyo kama unavoiona sasa hivi so wakati unaproject your future returns sio sawa kuignore the inflation rate factor.

Inflation inamaanisga kuwa leo unaweza kununua sahani ya wali nyama 2,000 baada ya miaka 10 ukanunua kwa 4,500. Haifanyi kuwa pesa isifikie hicho kiasi. Labda kama watapunguza interest huo mfuko wenyewe. ndio maana wanakwambia👇🏾

Tweet Image 1


Vipi kuhusu inflation mkuu?

Ukiweka 500,000 kila mwezi kwenye UTT for 10 years utapata 105mil kwa riba ya 12% (Liquid Fund). Nenda kwenye excel sheet piga miezi 120, riba 1% kila mwezi na kila month ongeza 500k utaona. Chukua 50mil, nunua bond alafu kopea ujenge real estate. Iyo bond coupon itakuwa…



St josephs' cathedral ina campus huko mpaka wa malawi au?

Ila Advance nimesoma mbali sana imagine nilikua nasafiri mpaka Songea mjini kisha nalala alafu asubuhi napanda basi linaitwa Kisumapai au Kangaulaya napita songea, na mahali kwingi naingia Mbinga mjini napita naingia vijijini kisha natoboa mpaka Nyasa mbamba Bay alafu kumbuka ni…



Tweet Image 1

Ask ChatGPT: “Based on what you know about me, Draw a picture of what you think my life currently looks like.” Share your results with me. Let’s see what ChatGPT thinks about you. 😄



Muda sasa wa kujaribu hobby mpya

Tweet Image 1

Hapo bado hata mall yao haijafunguliwa😂😂

#VIDEO Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa…



Duh😂😂😂

#VIDEO Wafanyabiashara Soko la Kariakoo, wameiomba Serikali kuwaondoa raia wa kigeni ambao wamekuwa wakiuza bidhaa rejareja kwa bei ya chini hali inayopelekea raia wa nchini kukosa wateja. Wakiongea na EATV, wanasema kwa sasa hali imekuwa mbaya zaidi kwani wengine wamekuwa…



What you are not changing, you are choosing.


Roho yangu na ikuimbie jinsi wewe ulivyo mkuu🙌Donald Trump he is him!! Tunarudi kwenye misingi na kufanya kazi kwa bidii, hakuna mserereko😅

Immediately after Donald Trump was declared winner, this is how his team celebrated, by getting on their knees and singing praises to God!!!! Now this is what I’m all in for!!!!!!!!!



I will do it 10 more times😂😂😂

Even though that was a poor pass from Tchou but look at Vinicius. No intention to compete for the ball or track back a 2 yard opponent in build up to Milan second goal. A team of super stars 😁



Unawajua wazee wa mikumbo😂😂😂 wachache sana utakuta wamefuatilia sera za hawa candidates mihemko,vibes and inshallah

Watching Tanzanians whose over 90% of HIV/AIDS funds come from PEPFAR, root for a man who wants to defund global HIV programs including PEPFAR. Tena unakuta someone is working in an NGO funded by PEPFAR lkn ni trumpster; honey you about to lose yo JOB too!



Huwezi kuchoka kumuangalia adolf, anyway sisi ndo wababe wa utopolo tumempiga kwenye ligi kuu mara mbili mfululizo. Itoshe kusema yanga ni wateja wetu

🏅🏅 MAN OF THE SHOW 🏅🏅 Middle mkata shombo, Adolf Mtasingwa, akikabidhiwa tuzo yake ya Mchezaji Bora wa mechi yetu ya Ligi Kuu ya @NBCTanzania, dhidi ya Yanga. #nbcpl #weareazamfc #timuborabidhaabora

Tweet Image 1
Tweet Image 2


Dead_balls_specialist🏑(Qs) Reposted

If you traded coffee in July 2023, by July 2024 you would have gained 49.8%. Drink it. Sell it. Trade it.

Tweet Image 1

This Mwita brother ni ChatBot😅😅 you cant tell me otherwise anaandika kwa AI language kabisa

Karibu sana Mkuu Maluhula, Kwanza nikupe taarifa kwamba Kigoma ni miongoni mwa Mikoa ambayo ina miradi mingi sana inaendelea ili kuifanya; Kwanza, kuwa centre ya Kanda ya Magharibi, na pili kuifanya kuwa gateway ya biashara kati ya Tanzania na nchi za Maziwa makuu. Zaidi ya…



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.