@kimnana7979 Profile picture

Sumaira😘

@kimnana7979

God is good

Joined July 2022
Similar User
LAST BORN🇹🇿 photo

@Last_born97

𝑱𝑺 photo

@JsMtuPoa

kalumuna p photo

@patikalumuna

Muwindaji (PhD) photo

@Muwindaji

Nikki Wa Pili photo

@mugumufinnest

Rastafarian culture photo

@Ireneigora

Mbaade 🤠 photo

@Hamisi_Mbaade

Robson Mathew photo

@RobsonMathew3

Adrian photo

@adrianijr

Mkinga13 photo

@Tracer1813

Obi’s Daughter photo

@ObiDaughter

Mw.LucaS📚📝 photo

@Mwalimu_Lucas11

Mzee Mchafu 🎩 photo

@runjipapi

Aggy Amon photo

@Aggy_Amon98

Elly photo

@tsingtson

Sumaira😘 Reposted

Moyo wangu tulia hakuna mapenzi bila kelele za mafarakano Hakuna maisha mazuri bila mapambano Nahuwez kutoboa bila uvumilivu Lkn penzi bila ugomvi hakuna radha kbsa tibuaneni tu ukiona hakupi hekaheka ujue sio wako uyo Ukumbusho HAMUWEZI KUJUANA PASIPO KUKWAZANA 😂😂😂😂

Tweet Image 1

Sumaira😘 Reposted

BACK BENCHA tunawakumbusha kuwa UVUMI unaweza kukusababishia KUCHUKIA watu wasio na HATIA na KUWAPENDA watu WENYE hatia kaa kitaalam. Morning Africa.


Sumaira😘 Reposted

Unapoharibu maisha ya mtu kwa kuongea uongo, ichukue kama mkopo ipo siku itarudi kwako na riba


Sumaira😘 Reposted

Mara Nyingi Huwa Kuna Ukweli Ndani Ya Neno "NATANIA" Na Kuna Siri Nzito Ndani Ya Neno "SIJUI" Na kuna Maumivu Makali Ndani Ya Neno. "NIPOSAWA" .!✍


Sumaira😘 Reposted

Ikiwa unataka kufanya jambo vizuri, lifanye mwenyewe. GOOD MORNING 💥🥴


*Ukitaka kujua BAO 5 ni nyingi waulize wanandoa...😁🖐🏾*


Sumaira😘 Reposted

Mwanaume una nguvu ya kuamua nini mwanamke wako akufanyie, kuna baadhi watakupa treatment kulingana na unavyo wa'treat. Tunatakiwa tukiwa kwenye Bond nao [ mahusiano] tuweke standards yaani wao wana akili ya kufanya kitu mara 2 au 3 zaidi ya ulichofanya wewe mfano: Umempost…


Sumaira😘 Reposted

Km ukipata nafasi ya kutoka Mkoa wako na kwenda Mkoa mwengine Kusoma ukabahatika kumaliza fresh nakushauri usirudi kwenu hata km mambo ni magumu kiaje hakikisha Unapambana Sana ujipate kabla hujarudi kwenu usijiroge ukasema urudi nyumban ujipange kwanza,my friend utakua Umeishaaa


Allah akawe mtetezi kwenye ndoa yako da mkubwa😍


Sumaira😘 Reposted

Ifikie muda tung'ang'anie baraka za Mungu kwa kufanya yaliyo mema..life ni gumu zaidi bila Mungu hata kama una kila kitu


Sumaira😘 Reposted

"Ukiambiwa Ubaya wa mtu, tafuta na wema wake. Hakuna mzinga unao beba nyuki tu, Bila asali ndani yake."


Sumaira😘 Reposted

NGAO YA JAMII: Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza jopo la waamuzi watakaosimamia mchezo wa fainali ya #NgaoYaJamii ambapo mwamuzi wa kati ni Jonesia Rukya kutoka Kagera. Rukya atasaidiwa na Mohamed Mkono (Tanga) ambaye ni Mwamuzi Msaidizi namba moja, Hamdani…

Tweet Image 1

Sumaira😘 Reposted

Ni jambo la aibu kushangilia ushindi wa penati na Singida


Sumaira😘 Reposted

Nikiwa nimechoka na mishe zangu nipige doggy tu kifo cha mende sitoboi🙌


Sumaira😘 Reposted

Men, hakikisha mwanamke uliye naye hatamani wanaume wengine

Tweet Image 1

Sumaira😘 Reposted

Jumapili Agosti 13, 2023 kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga itashuhudiwa Derby ya Kariakoo kati ya Simba Sc na Yanga Sc ambapo miamba hiyo ya Soka ya Tanzania itakutana katika fainali ya Ngao ya Jamii. Hapa kila shabiki, mwanachama na Mpenzi wa Soka nchini atataka kuona…

Tweet Image 1

Sumaira😘 Reposted

Hivi ni kweli,.?🤔🤔


Acha mafumbo ban tafta pesa hatuna muda wakutafsiri mafumbo jua ni kali mno😋

Tweet Image 1

Sumaira😘 Reposted

Cha ajabu wasio tupenda wanatufuatilia zaidi ya wanao tupenda.. Good morning


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.