Old timer ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
@kelly_isaackThe Scholar ๐๐๐๐
Similar User
@mwitamakena6
@MajidHamis2
@mgosya
@Benson1605
@kennxmasai5
@DigitalCopy_
@BBahindi
Ujinga huu ulifanywa na kina Chuckie Taylor mtoto wa Charles Taylor Rais wa zamani wa Liberia. Ukafanywa pia na Kongulu Mobutu kijana wa dikteta Mobutu kule Zaire, alifanya hivi pia kijana wa Saddam Hussein kule Iraq. Baadae Makonda na Sabaya. Upumbavu haukubaliki.
Uswahili nikiswahili
Telki -Madaha Darji -Majivuni Mbuji (kama nimeskia vizuri) -Mwalimu Buruji -Kundi la Wataalam Tweta -tetemeka/hema kwa kasi Vangavanga -tapatapa Masamasa -jitetea Dafrao - mshangao Nimeelewa hivyo naomba kuimarishwa zaidi. Kiswahili lugha tamu Sana ukimpata fundi.
Sikiliza utamu wa Kiswahili.
@nyuki_malkia @Adventure_36 @arusha_icon @McinikaWaLamar wakuu naomba tuisapot hii kwaajili ya kumsaidia mwenzetu @FadhiliEnos akapate matibabu
Usichokijua Kuhusu Honda Crossroad.. . Hii ni moja ya jina la gari lililotumika na SUV mbili zinazouzwa na Honda [Generation 2].. . Generation ya kwanza ilikua [rebadged] au ikijulikana kama Land Rover Discovery [compact SUV] iliyouzwa Japan mwaka 1993-1998.. .
There's a new version of everything, just a matter of time. Mind should be flexible
It'll cost you $0.00 to Retweet my art ๐ @Cristiano
Tyre ikishafikisha miaka 4 na zaidi inakuwa na uwezekano mkubwa wa kuburst inapopata joto kwa muda mrefu.. . Hii inatoka na rubber yake kukakamaa na kupata cracks .. . Ukinunua tyre tafadhali angalia sana DOM [Mtu akishaona tyre mpya basi].. . Thanks to RT You may save someone..
Unaweza bishana na watu humu twitani kumbe akili zao haziwatoshi ๐
Mnajifanya wanaharakati kumbe mmejifunika vazi la chuki na roho mbaya
Kuna watu Wana roho mbaya Sana...Mtu anapambana na Maisha take ,atoke...mfano @diamondplatnumz ,wewe unamsagia kunguni afeli,wakati wewe Huna mbele wala nyuma ,takataka kbs
Kumbe hata mm mwenye followers 91 ,naweza kumkera Legend ๐
Embe, passion, parachichi na tangawizi kidooogo ๐ฅ๐ฅ
Being blocked by this beautiful soul after expressing my feelings to her, world has never been fair@rommiekellz
Watu wengi Sana humu twitani Wana post mawazo ghafi, nadhani tunahitaji zaidi mawazo yaliyochanganuliwa
Wananchi km Wananchi
Mwenyenzi Mungu hekima zake hazipimiki.Mithali 8:1-36
The more the beauty the woman has,the more stupid she becomes
United States Trends
- 1. Carti 43,3ย B posts
- 2. #MARK_Fraktsiya 187ย B posts
- 3. Good Monday 34,3ย B posts
- 4. #MARKxYOUNGJI_Fraktsiya 83,4ย B posts
- 5. Sam Howell 6.052 posts
- 6. Geno 18ย B posts
- 7. #BaddiesMidwest 13,8ย B posts
- 8. Seahawks 34,7ย B posts
- 9. Mona Lisa 34,7ย B posts
- 10. Packers 56,2ย B posts
- 11. Acheron 5.866 posts
- 12. Klay 13,3ย B posts
- 13. Alex Bruesewitz 8.864 posts
- 14. Burna 25ย B posts
- 15. #GoPackGo 9.692 posts
- 16. Hazuki 9.425 posts
- 17. Weeknd 15,7ย B posts
- 18. Pred 10,3ย B posts
- 19. Yellowstone 11,7ย B posts
- 20. Trump 2028 6.396 posts
Something went wrong.
Something went wrong.