Ntuwadili
@justindiamiCo-ordinator Viva Soccer Academy Mtwara Azamfc fan from Masasi employed by DED-Masasi
Similar User
@yoki_kgl
@Shabiki255
@VNgailo
@mtmtson9
@keneth_isack
@SENKUNDE1
@lexmlatino
@chuse1990
@tinoagu12
@Ashrafufarajimu
@Azizjajatz
@HBardizbah
@kingtarieq
@KassimKonk
@boyz2men27
Watoto wa Baba naomba Repost 200. Nimeambiwa hizi picha zinaumiza masisiemu. Nataka ziwafikie.🔥🔥🔥
Uwongo dhambi huyu maza black mwenye tattoo anajua sana aise ningeomba afanye collabo na Ebang Engonga tufunge mwaka 😅
Mungu Jaalia Kibunda Nivute hata Disco 4 tu Liwe na Sun Roof kama zote Baba
Tafuta marafiki wachache watakao kuelewa na wewe utawaelewa yaani mtaelewana Then nenda nao, Usijaze watu kwenye Maisha ambao Hawana msaada.
Bora waseme unajiskia kuliko wakujue jue sana, Wakikuzoea sana Wanaanza Madharau.
Unatumia zaidi ya miaka 10 kuutafuta utajiri, Ila unaweza kufilisiwa ndani ya Dk moja tu.
Rafiki yako akikufundisha kuvua samaki, Usivue kwenye Bwawa Lake.
Kuna wale wana wanakusaidia Wakiona unaanza kufanikiwa zaidi yao, Wanaanza Kukunja. Mungu aendelee kuwapa uzima maana mchango wao kwetu tunauthamini. Tunaamini ipo siku watakua na nafsi safi.
Mzingatie sana yule mnaye gombana mnaachana ila Baada ya Muda anarudi Mwenyewe Na Kukumbia Mbali na yote yalio tokea Bado anakupenda Sana. Kuna kitu Amekikosa Ndio Maana Anarudi tena Muanze Upya. Mahusiano bora lazima Hii kitu iwepo.
Kuna kitu kinaitwa ubinadamu, Ukiwa nacho bila kuangalia standard ya mtu wewe Umebarikiwa sana, Leo K/koo watu wanaofanya uokozi ni wale wasukuma mikokoteni na wafunga mizigo, Matajiri wote Wanaogopa wakiohofia na wao Kufukiwa Dunia haitaacha Kutufundisha Namna ya Kuishi na watu.
Mimi na wewe hatujui siku yetu ya mwisho ni lini, Hii pumzi tulio nayo sasa, Tuitumie Kufanya toba na Kutenda yaliyo Mema.
Tuishi Vzr Na Jamii Inayotuzunguka Tusidharauriame Kwa Muonekano "Ukichunguza Tukio La Kariakoo Waliohangaika Na Kujitoa Zaidi Siyo Wavaa Suti" Muwe Na Muda Mwema Nawapenda🙏
Kwenye hizi nchi zetu Uhakika wa kuishi ni mdogo sana, Ila ukivuka ng'ambo Tofauti na ufala wao wa ubaguzi wa Rangi kuna Uhakika wa Kuishi, Mara nyingi Afrika Tunakufa kwa mipango ya watu nasio mipango ya Mungu, Allah anisamehe kama Nakufuru.
🚨MZIGO MPYA UMEINGIA..‼️ Trousers za kitambaa kwa Tsh 8,000/= tu. Trousers zmenyookaa🔥🌵 Bei ya kizawa ili kila mtu Ashinde💪🏽 Contact; 068 766 3394 / +255 61 883 3394 Location; Karume TBL RT na wengne pia waone na sote Tupate🙏🏽
Technology is very powerful, mtajificha hadi uvunguni mtaonekana, Maovu, Visasi, Tamaa, Ubinafsi na matumizi mabaya ya madaraka haviwezi kwenda na Mungu.
Kamwe Usiache Kujaribu, Usiache Kuamini, Wala Usikate Tamaa Jikubali,Pambana,Jitume Siku Yako Inakuja💪🫶🙏 Usiku Mwema Toka Kwangu #HappySweetSnacks Karibuni Kwa Vichangamsha Mdomo. @BakizaHamiss @EngMapundajr @PabloYende @Adventure_36 @Dj_ELLY_ @MalilaSunday @Hammy_Ole
Natamani nianze kuandika vingi ila hakuna wasomaji. Guess haya majani yana kazi gani na wapi umeyaona? @MkundaFarmTz @msakufarm @DorothNengai @lilianchonya
🚨Mkwaju kama huu wa “Playboy”..Dark Blue unapata kwa Tsh. 8,000/= tu…🌵 Contact; 068 766 3394 / +255 61 883 3394 Location; KARUME TBL #TupendezeWote🥂
Nimekubali wamarekani hajawa tayari kuwa na Rais Mwanamke, wakati mwingine, ila demokrasia imeonesha nguvu yake.
#BirthdayWishes Enjoy your day our legend! 🎂🎂🎂 @HimidMao #weareazamfc #timuborabidhaabora
United States Trends
- 1. Gaetz 767 B posts
- 2. Ken Paxton 9.624 posts
- 3. Attorney General 199 B posts
- 4. DeSantis 23,1 B posts
- 5. Volvo 15,1 B posts
- 6. Gary Gensler 27,1 B posts
- 7. Mike Davis 2.984 posts
- 8. Andrew Bailey 2.578 posts
- 9. 118th Congress 4.468 posts
- 10. Mark Levin 1.120 posts
- 11. Rubio's Senate 8.376 posts
- 12. ICBM 221 B posts
- 13. Dragon Believer 1.350 posts
- 14. Denver 41,9 B posts
- 15. The ICC 377 B posts
- 16. Netanyahu 740 B posts
- 17. Jussie Smollett 18,9 B posts
- 18. $SOLCAT 5.374 posts
- 19. Flat 55,5 B posts
- 20. Illinois Supreme Court 17 B posts
Who to follow
-
Yoki
@yoki_kgl -
Mkataumeme
@Shabiki255 -
Mzee wa kazi chafu
@VNgailo -
TRYSON
@mtmtson9 -
Nyang'uye
@keneth_isack -
CHEIF
@SENKUNDE1 -
MLATINO 🏴
@lexmlatino -
man_chuse
@chuse1990 -
Shakur
@tinoagu12 -
Ashrafu Muro
@Ashrafufarajimu -
Aziz M. Iddi
@Azizjajatz -
humairaaa bardizbah
@HBardizbah -
KintaX
@kingtarieq -
Kassim majaliwa Suleiman
@KassimKonk -
Avatar
@boyz2men27
Something went wrong.
Something went wrong.