Juita12
@juita8888Nothing without reason somtime is gud than a lot of talk//SIMBA SC//GGMU//REAL MADRID FAN💦💦 Mental health is crucial
UUMBE HUU UFIKE MBALI ILI UWAFIKIE WAHUSIKA🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙌🏼 BROTHER KAONGEA MADINI MATUPU
Mnamkumbuka huyu jamaa?? Sad kwenye nchii watu kama hawa wanaonekana wahaini na wajuaji na waovu but deep down ndio watu ambao wangepatiwa nafasi ama kusikilizwa wangesaidia nchi in one way or another
Daaaah huyu jamaa akiona hii video yake roho itamuuma sana 💔💔😭
Hii imenisikitisha! Watanzania wanaamini hawataokolewa wakionekana kuisema serikali! 😭 This is the level we have sunk! Keep the Fatih our brethren na Mungu awasimamie mtoke salama ndugu zetu - hata kama kuna machawa humo wote watoke salama 🙏🏽
This is absolutely saddening and heartbreaking. Tumewaangusha sana ndugu zetu hawa. Mungu tusamehe maana siwezi kufikiri ni adhabu gani utatupatia. #Kariakoo.
KULA VYAKULA VYA ASILI KUNA FAIDA NYINGI KIAFYA.... 🩺🩺 Vyakula vyenye antioxidants kama matunda na mboga mboga husaidia kupunguza hatari ya saratani. Vyakula vya asili mara nyingi vina kalori chache na mafuta kidogo, hivyo kusaidia kudhibiti uzito wa mwili. Vyakula vya…
LIBIDO ninini....?? Kwa lugha za mtaani hujulikana kama Upwiru au Ugwadu. Yaani ni ile hali ya msukumo wakiaina yake wa kingono. Unaoathiriwa na uhusiano wa kihisia kati ya homoni ya testosterone na mishipa ya fahamu. Usiombe ukakubwa na hiyo hali ungali hauna mpenzi, au upo…
Huyu mwanetu anaitwa Ibrahim Yucel, Kutokea nchi ya Uturuki hapa alikuwa na umri wa miaka 42 wakati wa anapiga hii picha , Unaambiwa mwaka 2013 aliamua kufunga kichwa chake kwenye ngome ya chuma kwa nia ya kuacha kuvuta sigara; mke wake pekee ndiye aliyekuwa na funguo na…
Maajabu ya Vitunguu na Tangawizi kwa Nguvu za Kiume💪🏽 Uzi 🧵, Twende Sawa 👇
Inawezekanaje wagombea wa chama kimoja jimbo zima wamekosea kujaza fomu? Naona kichupa cha ghadhabu zinazidi kujaa kila uchwao, mwisho kitamwagika na hapo, nyie mtapanda Private Jets kwenda nje na sie, tutabaki na watoto wetu migongoni kutafuta hifadhi misikiti na makanisani.
Piga 1 Glass Dak 30 Kabla Ya Game, Husaidia Mzunguko Imara Wa Damu.🍆💦 CHEMSHA: Karafuu & Tangawizi, No sukari. Twende Sawa 👇
Some of the Most Intriguing Moments from History. A Thread🧵 1. Muammar Gaddafi with one of his lady bodyguards. Cairo, 1994
Kitakachokufanya Uwe Rijali sio kingine Zaidi ya KEGELS na “UBIDA” Usitumie Boosters wala Kingine zaidi ya Vyakula Asilia na Viwili hapo juu, Uzi 🧵 Shuka Nao 👇
𝐖𝐀𝐓𝐔 𝐖𝐀 𝐀𝐉𝐀𝐁𝐔 𝐓𝐇𝐑𝐄𝐀𝐃🧵 𝐘𝐮𝐩𝐢 𝐊𝐚𝐤𝐮𝐬𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚𝐳𝐚 𝐒𝐚𝐧𝐚? 𝐉𝐞 𝐔𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐔𝐧𝐚𝐦𝐣𝐮𝐚 𝐀𝐰𝐚𝐥𝐢?
Ukienda kwenye ofisi za watu kuomba kazi, alafu wakakwambia kwamba kazi unayoitaka haipo, waulize: 'Siwezi hata kupata ya kufagia?' Hiki ndicho Chino alichofanya—wakati game inaanza, yeye na mabro zake kina Mario, mwamba hakuwa najua kama anajua kuimba. Soma Zaidi:👇👇
Hizi Hapa ni Silaha Kuu 10 za Kukufanya Kuwa Mwanaume Imara na Rijali Kwa Kutumia Vyakula Asilia Bila Dawa Yoyote. 1. Nazi – Husaidia kuongeza viwango vya testosterone na nguvu mwilini. 2. Asali – Husaidia kuongeza stamina na kuimarisha hamu ya tendo la ndoa. 3. Tende –…
KILA ASUBUHI....! 1. Kunywa kikombe cha maji kabla ya kupiga mswaki asubuhi hii. Ni nzuri kwa mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. 2. NO soda leo. Fanya hivyo kwa ajili ya meno yako. 3. Kula angalau yai moja leo. Ni nzuri kwa moyo na ubongo wako. 4. Ota jua La Asubuhi, Unasaidia…
UNAFAHAMU KUHUSU FAIDA ZA KOROSHO KWA MWILI? Soma Uzi 🧵 Huu Mfupi kwa dk Chache, Zina virutubisho muhimu kama vile protini, madini ya chuma, magnesiamu, na mafuta yenye afya. 1. Kuimarisha afya ya moyo Korosho zina mafuta yenye afya ya aina ya monounsaturated, ambayo…
MAMBO YANAYOWEZA KUKUSABISHIA UKAWA NA UZITO ULIOPITILIZA. 1. Lishe mbaya: Kula vyakula vya mafuta, sukari, na wanga rahisi. 2. Ukosefu wa mazoezi: Kutofanya mazoezi ya mwili mara kwa mara. 3. Matatizo ya homoni: Homoni zisizo sawa kama hypothyroidism. 4. Msongo wa mawazo:…
United States Trends
- 1. Thanksgiving 637 B posts
- 2. Custom 84,6 B posts
- 3. #ConorMcGregor 6.819 posts
- 4. #BillboardIsOverParty 80,8 B posts
- 5. Mbappe 420 B posts
- 6. #CONVICT 6.658 posts
- 7. Madrid 528 B posts
- 8. Zuck 4.172 posts
- 9. Liverpool 336 B posts
- 10. Vindman 28 B posts
- 11. #YIAYlist N/A
- 12. #drwfirstgoal N/A
- 13. Gonzaga 6.735 posts
- 14. Verify 30,2 B posts
- 15. HAZBINTOOZ 8.288 posts
- 16. Brandon Crawford 2.555 posts
- 17. Kissing 48,5 B posts
- 18. Ferrari 34,3 B posts
- 19. Standard Time 13,4 B posts
- 20. Juan Williams 1.597 posts
Something went wrong.
Something went wrong.