@jitu_kubwa Profile picture

Jitu Kubwa

@jitu_kubwa

mpenda haki #Katibampyanihakiyetuwatanzaniasiyoombi #2025Hakunauchaguzibilakatibampya

Similar User
Freddy Lyimo photo

@FLyimo2

Joe photo

@MnyamaleJoseph

CPSP(T) MBARI MBUSIRO photo

@bbabaivan

Connie. photo

@ConsoNyambune

Douglas Timothy photo

@dougie_beatz

Jitu Kubwa Reposted

Kaka yangu mpendwa KM @jjmnyika, ndugu zetu George Sanga na wenzake walipata kesi ya mauaji wakikipambania chama kipate kura 2020. Nimejulishwa kwamba @ChademaTz imeshindwa kutoa mawakili kwa ajili ya kesi yao inayoanza 18/11/2024. Tafadhali tusiwavunje moyo,tutafakari hili jambo

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Kila siku nasisitiza hasa sisi wenye miili mbaombao tutembee na zana za kilimo. Binafsi kila ninapoenda sikosi zana na kila ninapokaa zana inakuwa pembeni. Ni heri nimpeleke kuzimu mtekaji nikaenda geto jela kuliko kwenda kusikojulikana. Bonge asingepambana now angekuwa missing.

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Na tusisahau kuwa sheria inakuruhusu kujilinda au kumlonda ndugu au Mali yako dhidi ya vitendo vya kijinai dhidi yake vinavyofanywa kinyume cha sheria na yeyote akikushtaki katika hilo utakuwa na utetezi. Tujijengee ka utaratibu ka kusoma sheria za msingi...Katiba,Jinai,Makosa…

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Leo nilikuwa GARAGE kupunguza VYUMA kwenye taya.👊🏾 Bado operation Ndogo 4.🙇🏾 Asanteni @tanpol kwa haya mateso.

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

AHSANTE @ChademaTz 👏💪🏾

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jitu Kubwa Reposted

Wakili wangu MSOMI @MiriamMkanaka Naombeni Wishes zenu kwake mnyakyusa huyu wa KYELA.💜

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Wazee wa UCHU NGU ZIIIIIIIIIIIIIIIIIIII 1.Tunasubiri uchunguzi wa Kuteswa na Kupigwa risasi kwa Edgar Edson Mwakabela (SATIVA) 2.Tunasubiri uchunguzi wa Kutekwa na Kuuwawa kwa Ally Mohammed Kibao 4.Tunasubiri uchunguzi wa Kupotea kwa Shadrack Chaula 5.Tunasubiri uchunguzi…

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Nimesikiliza maelezo yote ya muhudumu wa Rovennpec Resort, Kiluvya, Dar es Salaam akieleza tukio zima la jaribio la kumteka ndugu Deogratius Tarimo. Niwapongeze Rovennpec Resort kwa kuruhusu wanahabari kufika katika hoteli na kufanya mazungumzo na wafanyakazi wao. Ni uungwana.…


Jitu Kubwa Reposted

Endelea KUPUMZIKA kwa Amani mwamba. Uliwakilisha Vyema. KWA HESHIMA.👊🏾

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Mnaobisha hawa sio @tanpol mtakuwa MNA MAVI VICHWANI. Jamaa alifungwa PINGU mkono mmoja. Na kwenye mabishano hawa MAPOLISI walisema wao “sisi ni ASKARI twende GOGONI” Hawa ni WATEKAJI ni kikosi maalumu cha FAUSTINE MAFWELE (TASK FORCE). Hawa wanamiliki SILAHA za Moto na za…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jitu Kubwa Reposted

Tumekamilisha uchunguzi wetu kuhusu tukio la utekaji dhidi ya mfanyabiasha kwenye moja ya hotel hapo Dar. Tumejiridhisha kwamba watekaji ni askari wa jeshi la polisi task force wakitumikia kituo cha polisi Gogoni Kimara. Tutapeleka uchunguzi wetu UN pamoja na wafadhili wote wa TZ

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

1. Huyo jamaa tall mwenye aliyevaa raba na shati la mistari amepiga JKT Orjoro mwaka 2008 (Operation Kilimo kwanza) Alifahamika pale jkt kwa jina la NYANG'AU na alikuwa kombania B (B Coy) Mwaka 2009 akaajiriwa na jeshi la polisi na urefu wake ndio uliombeba. Mwaka 2021…

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Jitu Kubwa Reposted

Huyu mtu ana mama, ana baba, ana mke, ana watoto, ana ndugu jamaa na marafiki. Hivi mnafikiri wanajisikiaje muda huu baada ya mtu wao kunusurika? Msilazimishe mpatwe na laana zisizo na sababu. Leo Mungu kaamua kuwaanika.


Jitu Kubwa Reposted

Ukiitazama ile clip kuna mwana alipita kimya kama anaaga maiti, hajaongea hajasimama.


Jitu Kubwa Reposted

Uchunguzi wetu wa awali unaonesha kwamba hawa vibaka waliojaribu kumteka mtu katika hoteli ya Rovvenpec Resort Dar ni askari waliopo kwenye kikosi cha Task Force kinachosimamiwa na Mafwele kwa baraka za Betina. Jamaa walifanikiwa kumfunga pingu mkono mmoja lakini akawashinda.

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Ukisikiliza hiki kipande ndio utajua HAWA WATEKAJI NI WAKINA NANI. “Sisi ni maaskari” “Twende Gogoni” Kila siku nawaambia hawa @tanpol chini ya MAFWELE ni watekaji mnasema napiga kelele. Sitaacha kupiga kelele mpaka MNIELEWE. Repost 200 chap chap.🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥


Jitu Kubwa Reposted

Mwaka 2012. Miaka 12 iliyopita. Tunaruka mangoma ya Gervalius Duke Mlunde (Duke Tachez) kutoka M-LAB Records na LUNDUNO. Hip-Hop runnin’ in my big veins tangu kitambo. Unakubali ngoma gani ya UNO? (Ukitaja hata mbili siyo mbaya). Cc; @onetheincredibl 👏

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Mheshimiwa @Dr_DGwajima fuatilia haraka taarifa ya kubakwa na Kulawitiwa kwa AZ Tarehe 9/11/2024 majira ya Saa 5 usiku Mtaa wa Kenedi,Kata ya Iringo Manispaa ya musoma Alibakwa na kulawitiwa na Hakimu Namba ya Kesi iliyofunguliwa ni M.Y. C/A.R/489/2024 Wanataka kuhonga Wazazi

Tweet Image 1

Jitu Kubwa Reposted

Kuna ghasia kubwa sana Mozambique tangu baada ya uchaguzi. Mgombea Urais wa upinzani, Venancio Mondlane aliita maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi tangu 21.10.24. Polisi wa Msumbiji ni makatili lakini wananchi wameandamana kwa siku ya 21. Ipo siku tutafika huko. YES! ✌🏾

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Jitu Kubwa Reposted

Mchengerwa. Tunaelewa kwamba ni Mkwe wa RAIS. Umemuoa binti yake, WANU. Tunaelewa ni waziri TAMISEMI (wizara ambayo ipo ofisi ya RAIS). Tunaelewa ofisi yako ndiyo msimamizi wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Tunaelewa kwamba wagombea wa CHADEMA wameenguliwa wasigombee. Tunaelewa.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.