@jimymosha Profile picture

JIMMY MOSHA

@jimymosha

Son||Dady||Agribusinesses||In God I Trust.

Similar User
@Chejo_Wanaa_Man 🐰 photo

@Fundi_machejo

Jesca Robby photo

@jesca_robby

kipulilo photo

@fatpaya

Ivago photo

@ivago14

Balusi photo

@Balusi8

Rajabu Salum photo

@RajabuS75354393

m2 mbad photo

@m2mbad2021

Regan💥 photo

@ReganGeneral

comrade avitus photo

@comrade_avitus

Abdon photo

@NjunwaAbdon

Said Imani photo

@imanisaid818

sereneexpeditions photo

@iamgaxper

Ezekiel Ogbonnaya photo

@MoremoneyZ

paka mwitu photo

@pakamwitu1

Ally Salim photo

@salimdachi

Pinned

Haijawahi kufanikiwa jamii ndani haina mpuuzi


JIMMY MOSHA Reposted

Wanasimba wa Mbagala kesho ni zamu yenu tunakutana kufurahia chama letu na kununua tiketi. Wote mnakaribishwa. #WenyeNchi #NguvuMoja

Tweet Image 1

Wanakesha wakiomba tuachanee, wanaupaka rangi upepoo.🎶 Ufe nikuzike tuzikane tukane kwa pepooo. 🎶


Kuna mwamba chuo alikuaga anakuja class na jezi za chama ni kama alikua anazongua flani hivi na nilikua namchana ila @GeofreyLeons alikua anambeba sana


Soka na wenzake wana haki ya kuwa hai na kuwa huru. Hakuna mwenye haki juu ya uhai wao popote isipokua Mungu. Msitake hasira za Mungu juu yenu na familia zenu Mungu ni mkali sana.


Siku wakibadili vigezo na kuondokana na form 4 failures tutaona mabadiliko makubwa sana kwenye utendaji wao


Kwa hizi meseji zenu za kupiga kura niwaambie tuu mimi sitapiga kura mpaka siku nikipiga kura yangu nione ikienda kwa niliempigia kama ndugu Assad asemavyo


JIMMY MOSHA Reposted

Mungu yuko nawe nyakati zote.

Tweet Image 1

Polisi sisi ni majiri zenu, sisi ni ndugu zenu,sisi ni marafi zenu. Muda mwingi tunashinda pamoja, ni rahisi kutufikia zaidi pale mnapohitaji msaada, kwanini kukubal kuagizwa na mtu mnaekutana asubuh na kuachana jioni kutuumiza? Kumbuka ukikosa chumvi ni rahisi kuipata kwetu


JIMMY MOSHA Reposted

Ni Jumapili nyingine tena boys and girls... Kama unakiri kwamba Mungu huyu mmoja, ndiye alokuepusha kaburi, alikutetea kwenye magumu akakuinua, usijisahau, maana ni Mungu yule yule anayeweza kukuadhibu tena na kuchukua neema aliyokupa iwapo utakiuka kanuni zake. God bless!


Naelewa kwanini Kisamo hulazimika kulipia @GeofreyLeons mpaka ticket ya ndege kwenye negotiations za ofisi.

Haijawahi kufanikiwa jamii ndani haina mpuuzi



JIMMY MOSHA Reposted

Wewe Ndiye Kiumbe Pekee,. Unayeweza Kuishi Dimension, Mbili Kwa Wakati Mmoja! • Physical Reality, • Spiritual Reality, Ukiondoka Kwenye Physical Form, Unarudi Kwenye Spiritual Form. ... ^Abracadabra^


Note. Chochote atakacho post @GeofreyLeons kuazia mida hii msikizingatie amelewa..


Kwa nyakati hizi bongo movie watulie watu wa mjengoni wako site


Ndugu zangu lolote utakalo fanyiwa na mwanasiasa kwa wakati huu ni unafiki usimuonee huruma au kumpa nafasi ya pili ukiweza kupiga chini piga akileta hela kula ila usimpe anachotaka


Kilimo kikifanyika kisasa kinaweza kutèngeneza matajiri wengi kwa muda mfupi kuliko sector nyingine yyte. Ila kilimo bila zana za kisasa umasikini tutakua nao sana


Inakuaje mganga anakuambia aliekuloga na flani unamwamini? Au Unaombea pepo unaliuliza umetoka wapi linakuambia nimetumwa na shangazi yake kumuua wewe una mwamini. Hamjui ya kuwa shetani ni baba wa uongo hawezi kusema ukweli?


Huu ndo ule wakati unaona kabisa watu uliowashimu kabisa wengine wazee wa usharika wakisimama majukwaani na kuongea uongo. Si mnajua shetani na baba wa uongo?


Hii wiki ngumu sana kwa wakamaria, imagine jana man city kawapasua leo Liverpool anawachemsha. @GeofreyLeons jana kabetia hela ya jumuiya leo anaulizwa anasema alikua anaizungusha


JIMMY MOSHA Reposted

The foul occurred utterly outside the penalty box, but the VAR guys decided to award the penalty.


Tumeshindwa kabisa kufata sheria za nchi yetu? Tena sasa mnafanya waziwazi hamuogopi tena


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.