@jfmganga Profile picture

jackthedev

@jfmganga

life is an adventure

Joined September 2019
Similar User
AreolaGrande photo

@toastedclit

John Gastone photo

@mshuajohn

Benny photo

@Benny0053

Lucas photo

@Luqmanian1

Samwel Pissi photo

@SamwelPissi

Sule_0089 photo

@Sule0089

A B O U photo

@HeIsAbou

TiLiTo photo

@ErickoNgowi

Jafar Salum photo

@jafarsalum07

Kanju_The Emperor🇹🇷 photo

@DullahKanju

jackthedev Reposted

Watch on YouTube: youtu.be/nhWBNjzv_6g


jackthedev Reposted

Vijana wetu hawa😀

Vijana wetu hawa.

MarekaMalili's tweet image. Vijana wetu hawa.


Hii app inaitwa LBL na nyie mmeisikia?


jackthedev Reposted

Months ago, while I was cross-checking some of my previous projects, I got hungry. The thought of entering the kitchen didn’t seem appealing, so I started thinking of local apps that could help me order a dish from nearby, local restaurants. With a little research, I realized...


jackthedev Reposted

Nchimbi anasema kuna genge la watekaji hali sio shwari, IGP anasema hali ni shwari.


jackthedev Reposted

Unaweza kujiuliza SATIVA mbona anaongea sana mambo ya hatari ambayo yanahatarisha zaidi maisha yake? The point is alishauawa na ss ni testimony tu, Maumivu aliyopitia wakati anatekwa na kwenda kutupwa msituni ni zaidi ya Kifo. Pale alipo hakuna maumivu zaidi ya kile alichopitia.


jackthedev Reposted

Imagine kiongozi anaweza akaamka akasema tu Dar hawatakiwi kuishi watu na tukaamishwa kweli tukapelekwa Uyole, dharau.


jackthedev Reposted

Kuhudumia Wananchi wa Kisesa sio Msaada, ni Kodi zao.


jackthedev Reposted

Maza katia pamba masikioni?fresh atatusikiliza Mungu..Mifano ya kweli tunayo uzuri.


jackthedev Reposted

MAFWELE MUNGU HAPOKEI HONGO. Repost 200.

Sativa255's tweet image. MAFWELE MUNGU HAPOKEI HONGO.

Repost 200.

jackthedev Reposted

Yani ugomvi binafsi wa waziri na mbunge usababishe serikali isipeleke huduma kwa wananchi? sisiemu wanatudharau sana


jackthedev Reposted

MSEMAJI WA JESHI LA POLISI LIPI...? Kuna 1.Polisi OG na 2.Polisi Mwendokasi 1.Polisi OG siku kama ya leo Dunia na Wananchi wangetegemea Jeshi la Polisi wawe Kimya wakisubiri msimamo wa serikali Kuhusu madai ya CHADEMA kwa serikali. 2.Polisi OG hata kama wangeita Wanahabari…


Hii taarifa ya polisi HAPANA. @SuluhuSamia


jackthedev Reposted

Simba wamenyimwa penati !!👀


jackthedev Reposted

Mkubwa wa matamasha yote barani Afrika. 🦁𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘🦁 #SimbaDay2024 #UbayaUbwela #WenyeNchi #NguvuMoja

SimbaSCTanzania's tweet image. Mkubwa wa matamasha yote barani Afrika.

🦁𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘🦁
#SimbaDay2024
#UbayaUbwela
#WenyeNchi
#NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Mkubwa wa matamasha yote barani Afrika.

🦁𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘🦁
#SimbaDay2024
#UbayaUbwela
#WenyeNchi
#NguvuMoja
SimbaSCTanzania's tweet image. Mkubwa wa matamasha yote barani Afrika.

🦁𝐒𝐈𝐌𝐁𝐀 𝐃𝐀𝐘🦁
#SimbaDay2024
#UbayaUbwela
#WenyeNchi
#NguvuMoja

jackthedev Reposted

Asante Mungu...! kwa kutupatia KIKOSI CHA KISASI Nimebakiza ombi moja tu,nakuomba uwalete uwanjani Watani zetu siku ya tarehe 08 August 2014. Asante Mungu,najua utatenda.


jackthedev Reposted

Kutoka Maktaba. #Supusupu

funjojr's tweet image. Kutoka Maktaba.

#Supusupu

jackthedev Reposted

Karma is a Bitch


jackthedev Reposted

Kumshindanisha CHAMA na PACIME ni kumjengea presha PACOME bila sababu. Chama ni kama KAMBARAGE aliyeishi Ikulu miaka 23 halafu unamshindanisha na Rais aliyeko madarakani kwa miaka 2. Kushindanishwa na CHAMA inabidi uwe na muendelezo wa mambo mazuri walau misimu 3, sio miezi 6.

jemedarisaid's tweet image. Kumshindanisha CHAMA na PACIME ni kumjengea presha PACOME bila sababu. Chama ni kama KAMBARAGE aliyeishi Ikulu miaka 23 halafu unamshindanisha na Rais aliyeko madarakani kwa miaka 2. Kushindanishwa na CHAMA inabidi uwe na muendelezo wa mambo mazuri walau misimu 3, sio miezi 6.

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.