Honest Mseri
@honeemseriExecutive Director @ansafforum, Economist, Entrepreneur and Football fan
Similar User
@ACT_Tz
@BBuganzi
@ANSAFForum
@LugendoPrudence
@KulayaHenry
@judyvalek
@EdnaChuku
@g_nyombi
@Embulukutu
@fmishili
@emmerleo
@MsamyRehema
@JosephKMwanzia
ANSAF ilishiriki na kukutana na wadau muhimu katika mkutano wa kitaifa wa 3 wa utafiti wa kilimo hai kinachomlenga mkulima, katika ofisi za SAT, morogoro. Mkutano huu ulilenga kuwasilisha mbinu za kitaifa zilizotumiwa na SAT kushughulikia changamoto za kilimo katika kilimo hai.
ANSAF participated in the Business Development Services (BDS) Conference Summit 2024 in Mbeya, organized by RIKOLTO as part of the AGRI-CONNECT project.
Mtandao wa AMEA nchini Tanzania kwa kushirikiana na Baraza la taifa la Uwezeshwaji Wananchi Kiuchumi inaendesha warsha yenye lengo la kutengeneza Mpango Mkakati wa Huduma za Maendeleo ya Biashara (BDS)zinazolenga sekta kilimo nchini ili kuimarisha mashirika ya wazalishaji.
Upumzike kwa Amani kaka @AudaxR ...Tutaendelea kukumbuka mafundisho yako na kuienzi kazi yako nzuri.
We are deeply saddened to announce the passing of Mr. Audax Rukonge, our esteemed former Executive Director of ANSAF, on October 11th at Ocean Road Hospital, where he was receiving treatment.
Pause and reflect meeting held at SUGECO for the Kilimo Tija Project.
Kwa kushirikiana na @gainalliance , ANSAF imeendesha majadiliano yenye dhima "Dira ya 2050: Kujenga Mifumo Stahimilivu na Endelevu ya Chakula na Ushiriki Hai wa Vijana na Wanawake" katika wiki ya AZAKI 2024. #WikiYaAzaki2024 #CSOWeek2024 #voicevisionvalue #sautidirathamani
ANSAF inashiriki kwenye Wiki ya Asasi za Kiraia #WikiYaAzaki2024 #Azaki #CSOWeek2024 inayoendelea katika Hoteli ya Mt. Meru, jijini Arusha kuanzia tarehe 9 had 13 Septemba.
Ansaf imeshiriki katika uzinduzi wa mradi uitwao "Kuwezesha Wakulima Wadogo kwa Usalama wa Chakula na Ustahimilivu wa Mabadiliko ya Tabia ya Nchi" unaojulikana kama "Nourish Project". Mradi huu unalenga kufanikisha usalama wa chakula kwa kaya 168,000 za wakulima wadogo nchini.
Chagua Viongozi Bora wa Serekali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.
Ikiwa takribani asilimia 90 ya korosho inayozalishwa nchini husafirishwa nje ya nchi ikiwa ikiwa ghafi, mradi wa CASHWIN utachangia katika kuongeza thamani ya zao la korosho na kuchochea uzalishaji ajira kupitia uchakataji wa ndani.
ANSAF kupitia mradi wa "Uwezeshaji wa Wanawake kupitia Uchakataji wa Pamoja wa Korosho na Masoko" CASHWIN inashiriki Maonesho ya NaneNane Kanda ya Kusini yanayoendelea katika Banda la @cashewnutboard Tanzania, viwanja vya Ngongo, Manispaa ya Lindi.
Mradi wa CASH WIN unatoa fursa muhimu kwa ushirikiano na juhudi zaidi za kuboresha ufanisi wa wanawake wachakataji wa korosho nchini Tanzania.Kwa kuongeza viwango vya uchakataji wa korosho, kuboresha ubora wa bidhaa, na kuongeza mapato kwa wanawake na jamii zao.
ANSAF imezindua mradi wa"Uwezeshaji Wa Wanawake Kupitia Uchakataji wa Korosho na Masoko Kusini mwa Tanzania"(CASH WIN) Mradi huu unaofadhiliwa na Bill and Melinda Gates Foundation kupitia mradi wa Beyond Collective Farming na kuratibiwa na Stichting BoP Innovation Center (Bopinc)
ANSAF imeshiriki warsha iliyoandaliwa na mradi wa "Feed the Future Tanzania Imarisha Sekta Binafsi" iliyolenga kuchochea mchango wa vijana na waandishi wa habari katika upatikanaji wa taarifa sahihi zinazoweza kunufaisha jamii na ukuaji wa sekta ya kilimo nchini.
10.07.2024 ANSAF ilifanikiwa kuwa taasisi kiongozi nchini Tanzania katika kuhakikisha mtandao wa AMEA unazinduliwa hapa nchini kwetu. AMEA inalenga kukuza taaluma ya mashirika ya wakulima, ikiwa ni sehemu muhimu katika mifumo ya chakula kwa kuchochea kilimo cha kibiashara.
Our very own, go and make Tanzania proud!
We're hiring‼️ We are looking for a Regional Project Manager to lead our climate resilience & social justice project. Do you have project management experience & a commitment to social justice? Apply now! 📅 Deadline: 25th July 2024 🔗bit.ly/4bE5ubm
Katika uzinduzi wa Mtandao wa AMEA Tanzania, ANSAF na Baraza la Uwezeshaji Tanzania (NEEC) wamesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) kwa lengo la kuimarisha mahusiano kati ya sekta binafsi na serikali. Mahusiano yanalenga kuboresha utoaji wa huduma za maendeleo ya biashara (BDS)
ANSAF inawatakia Heri ya Siku ya Sabasaba
ANSAF inawatakia Heri ya Siku ya Ushirika Duniani. Ushirika hujenga kesho iliyo bora kwa wote .
United States Trends
- 1. $MAYO 10,8 B posts
- 2. Tyson 409 B posts
- 3. Pence 47,2 B posts
- 4. Dora 23 B posts
- 5. Kash 78,7 B posts
- 6. Debbie 21 B posts
- 7. Mike Rogers 11,8 B posts
- 8. #LetsBONK 8.250 posts
- 9. Laken Riley 46,3 B posts
- 10. Gabrielle Union 1.114 posts
- 11. Ticketmaster 17,2 B posts
- 12. Iron Mike 17,3 B posts
- 13. Pirates 19,9 B posts
- 14. #FursuitFriday 16 B posts
- 15. Cenk 12 B posts
- 16. Whoopi 64,4 B posts
- 17. Fauci 181 B posts
- 18. The UK 446 B posts
- 19. Mr. Mayonnaise 1.466 posts
- 20. Scholars 10,9 B posts
Who to follow
-
Agricultural Council of Tanzania (ACT-Kilimo)
@ACT_Tz -
Blandina Kilama
@BBuganzi -
ANSAF
@ANSAFForum -
Prudence Lugendo
@LugendoPrudence -
Henry M.Kulaya
@KulayaHenry -
Judith Valerian
@judyvalek -
Edna D. Chuku
@EdnaChuku -
R.G. Nyombi
@g_nyombi -
Elizabeth
@Embulukutu -
Fulgence Mishili
@fmishili -
Emmanuel Mwang'onda
@emmerleo -
Rehema Msamy
@MsamyRehema -
JOSEPH K. MWANZIA
@JosephKMwanzia
Something went wrong.
Something went wrong.