@franc_mwita Profile picture

France Mwita

@franc_mwita

Kama unamjua huyu Bi. Mkubwa yupo kwenye tangazo gani bac naamini huwa unakereka ka mm 🤣🤣🤣. WANAFELI KINOMI HAWA UMBWI.

Tweet Image 1

France Mwita Reposted

C&P⬇️ MIMI NAOMBA KUULIZA MACHACHE TU KUHUSU BIMA @nhiftz Report ya CAG mwaka 2023, inasema hivi kwenye kipengele cha dawa za Kansa. 1. Dozi ya docetaxel ambayo bei ya sokoni kawaida ni sh. 200,000, kwenye BIMA inatolewa kwa shilingi 574,000 (ongezeko la 374,000). 2. Dozi ya…

Tweet Image 1

France Mwita Reposted

Hii mnaweza msiipende wengi, lakini ndiyo demokrasia tunayoihubiri. Chonde chonde wabunge na viongozi wa upinzani, I’m sure 2025 wengi wenu mtarudi kwenye lile jumba Dodoma, please msibadilike!! Sasahivi wengi wenu tunachat nanyi humu 24hrs, DM zetu mnasoma na kureply kwa…


France Mwita Reposted

Napenda kutoa PONGEZI kwa uwepo wa “UTATA TRILIONI 1.7 KUTOLEWA BoT. Nchi INALIWA NA WENYE MENO. Chukueni 🌹💐🌷 yenu tafadhali.😂😂

Tweet Image 1

France Mwita Reposted

Ukiacha Lewandoski na Haaland wengine wote hajawahi fanyiwa robbery kwa sababu walikuwa wanajaribu kushindana na Superhumans at their prime; CR7 na Messi, na ata vigezo vilivyokuwa vikitumika kwamba kwa mwaka mmoja wa calendar mchezaji kafanya nn, kiliwabeba sana hao CONSISTENCY


Huyu ni Waziri wa jinsia, wazee na watoto akiwa anatoa majibu juu ya swala la Sativa. Kwa hiyo ukatili wa kijinsia wanafanyiwa wanawake na watoto tu, wanaume hawawezi kufanyiwa ukatili??? Kwani nn maana ya ukatili wa kijinsia. TUANZIE APO.

Njooni hapa tujibu swali la Mhe. Waziri Gwajima kuhusu sakata la Sativa. #JusticeForSativa

Tweet Image 1


Tanzania tungekuwa na hii kitu" MDAHALO" tusingekuwa na mambo ya hovyohovyo kiasi hiki. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿

Uchaguzi wa Marekani: Biden na Trump kukutana leo katika mdahalo bbc.in/3zthNde

Tweet Image 1


Af mbaya zaidi, he's just a chairman wa vijana wa chama chake mwisho wa cku hii itawafanya na hata vyama vingine viige huu ujinga once vikipata madaraka

Yalianza haya Matamko, Sasa Naona Taratibu Utekelezaji Umeanza. We aren't safe anymore. Get well soon Sativa 💔



France Mwita Reposted

Six Al-Ahly and Simba players in the CAF squad! A merited dominance of the Egyptian and Tanzanian giants, the two centre backs, Monem and Inunga, how I wished they were in the same team! This duo is the best in the continent right now! #YallaYaAhly #NguvuMoja

Tweet Image 1

France Mwita Reposted

Wimbo gan unaukubali kutoka kwake .?

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.