Similar User
@Mwaky_
@yohana52618868
@Chogondizi19
@NelsonLaizer
@mengo_james
@JosephChimba4
@telesphory_og
@NgaizaJohnson
@mariki_robert
@Gapppa
@gastojustin
@msfarida2
@mpendahakiiii
@simba_mseba
Kumbe hata yeye anajua sheria haziko Sawa sasa uoni.kuwa ni moja ya sababu ya kuanza mchakato wa kuwa na katiba ambayo ni Bora zaidi na itayoweka Sawa hayo madhaifu unayaona kwenye ucheleweshwaji wa kesi na kufanya ushahidi unatafutwa Kwa Mika Saba Hadi kumi #haki
Hata kama mlicheza vibaya lakini mmeshinda mtasema tuuu mechi ilikuwa nzuri kila.moja kaona lakini je kuna haki na uwazi kwenye mechi hizo au Kwa kuwa we pia ni miongoni walioshiriki kucheza rafu dhidi ya timu pinzani na mwamuzi alikuwa upande wa washindi mana ndo waliompendekeza
UNAPENDA KUJIFUNZA PROGRAMMING NA HAUJUI PA KAUNZIA? Nimekuwekea njia 10 rahisi za kujifunza programming kwa wale wanaoanza (beginners). Uzi🧵
Hawa ndo viongozi wa kiafrika huwa hawatofautiani Sana falsafa na mitazami Yao juu ya wapinzani wao kisiasa na bado wanafanya kosa lile lile kuwa Jambo liko mahakamani kwanini usiseme Tu Hilo Jambo hatuwezi kulizungumzia lakini unalizunhumzia kisha unasema liko mahakamani tafsir
Unaposema tusiongee Jambo liko mahakamani na wakati we umeita press conference kuelezea Jambo Hilo tunakuelewaje sasa?
Utaishi kwenye mioyo ya kizazi hiki na kizazi kijacho Usichoke wala kukata tamaa hata kipindi cha kudai Uhuru wako walioitwa magaidi lakini walisimama kwenye misingi na walichokiamini heshima kwako.
Ukoloni mambo Leo bado upo kwenye bara hili hasa nchi hizi zinanaendelea inakuwaje mnaona shida kuwaacha watu wajadili juu ya Taifa Lao kwanini watawala mnateseka hivyo.
Kwani ni lazima kutuma pesa Kwa mitandao ya simu na kama tusipofanya hivyo tutakuwa na tatizo gani kwani ?
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa hii kauli ina maana kubwa Sana kwetu wananchi tunatakiwa kujitambua sasa ndo wakati wenyewe.
Inakuwaje mpaka tureact ndipo waseme wamesikia inamana mswada mpaka unakuwa Sheria wao hawakusoma au hawakuelewa nini kitatokea Kwa wananchi pia mheshimiwa Raisi mpaka anasaini akuelewa hilo kweli inaoneknaa Bunge letu ndo lile la ndio Mzee mana wamesahau wajibu wao.
Inamana kipindi wanaanda mswada mpaka unasainiwa na yeye mwenyewe raisi hakujua kuwa huu utakuwa ni tatizo Kwa w.ananchi wake kweli?
Watu ambao mishahara Yao haikatwi Kodi ndo wapangaji wa Kodi ya mshikamanio we unafikiri nini kitatokea?
Tozo za simu je ni kweli zitakuwa msaada Kwa Taifa kwenye maendeleo ya miundombinu na mambo mengine na je maumivu ya haya yakoje Kwa wananchi wa kawaida hili ndo inatakiwa kuwa ajenda kubwa sasa Kwa wote.
Waziri wa fedha daaa kama kweli ndo hivyo basi tunasafari ndefu kama Taifa.
Uhuru wa mahakama ndio msingi wa haki kwenye Taifa lolote duniani.
Mahakama zinahitaji Uhuru ili kufanya mambo Kwa Uhuru hiki kinachoelezwa kama ni kweli basi siasa taka za afrika ndo chanzo cha matatizo Kwa wapenda haki na wazalendo.
Vijana mnasifu tuuu hamtoi hoja za maana ndo nini sasa hicho?
United States Trends
- 1. Cowboys 68,5 B posts
- 2. Clippers 10,1 B posts
- 3. Texans 55,4 B posts
- 4. Norman Powell 1.736 posts
- 5. Cooper Rush 11,7 B posts
- 6. Jerry 42,9 B posts
- 7. Mike McCarthy 3.166 posts
- 8. Joe Mixon 10,3 B posts
- 9. Trey Lance 3.128 posts
- 10. Lindy 3.445 posts
- 11. Dyson Daniels 2.629 posts
- 12. Keon Ellis 1.634 posts
- 13. sabrina 106 B posts
- 14. #WWERaw 61,8 B posts
- 15. Harden 18,8 B posts
- 16. Podz 1.326 posts
- 17. The Herta 20,4 B posts
- 18. #TheFutureIsTeal N/A
- 19. #HOUvsDAL 9.516 posts
- 20. Pulisic 24,5 B posts
Who to follow
-
Kyulu
@Mwaky_ -
yohana
@yohana52618868 -
Chogondizi
@Chogondizi19 -
Dr laizer nelson
@NelsonLaizer -
James
@mengo_james -
Dreamer~👑
@JosephChimba4 -
mrretweets
@telesphory_og -
Huru Kwelikweli
@NgaizaJohnson -
Robby
@mariki_robert -
Braza Buda Ziziphus
@Gapppa -
Gasto.Justin1
@gastojustin -
ms_farida
@msfarida2 -
..........🇮🇱🎤
@mpendahakiiii -
Simba Mseba
@simba_mseba
Something went wrong.
Something went wrong.