Similar User
@AristarickShao
@DiwaniMafuru
@alfajiritz
@sangitoakyoo
@stronglady88
@bonifasalexand1
@weisenthusiat
Wamama waachieni wamama. Sisi tulio wa baba tujuane kwa REPOST. #Lissu2025.
Uchunguzi wa kesi ya MZEE KIBAO umefikia wapi sasa ni zaidi ya siku 40. Mmeamua kutumia neno UCHUNGUZI kama kichaka cha Kufunika useng wenu @tanpol
Jeshi la Polisi limesema kuwa, mara baada ya kupokea taarifa kuokotwa porini Aisha Machano, ambaye ni Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameanza uchunguzi mara moja kwa mujibu wa sheria, kanuni na utaratibu. Taarifa ya kada huyo kupotea na kisha kuokotwa…
Aisha Machano ametekwa na kuumizwa hivi kisa alishiriki kuchoma vitenge ambavyo Rais Samia aliwapa Bawacha alipoalikwa kule Moshi. Inaonyesha issue ya Bawacha kuchoma vitenge vya Rais Samia bado inawauma sana mpaka kesho.
Huna Sababu ya Kupita Pasipo Ku LIKE Picha ya Rais. BONIFACE KANJUNJUMELE MWABUKUSI Anafanya mambo makubwa nchini.
Yupo wapi soka na wenzie Kansas lao nini walilo tend mpka wakafichw alikuwa na madhara gani hata angebaki uraiani mbona mnatuachia maswali mengi kwa sie wananchi kijana mdogo kama huyo mwenye ujasiri wakuhoji kwakutaka utawala Bora na wa sheria uzingatiwe leo sku 50 hawapatikani
Mpaka sasa nimeandika MAKALA 12 Kuhusu UONGO WA MULILO. Kwenye page yangu sehemu ya "highlights" nimezipanga kwa mtiririko mzuri. Ingia hapo usome kwa ufasaha. Repost 200🫡
Samia hata hii ujasikia na kujua nani ameteka kina soka ? Acheni hizo
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natumia siku hii kufanya Challenge ya kukusanya tsh. Laki 5 na kumkabidhi mke wa Elias Mbise ambaye mumewe alitekwa pamoja na Soka na kumuachia mtoto mdogo, mpaka sasa tumekusanya tsh. 248,000 bado tsh. 252000, namba ni 0746777845 voda Jina Twaha…
MBEYA siyo washamba ila kwa asili haturuhusiwi kuvumilia ujinga. Lazima tupate majawabu ni wapi waliko SOKA na wenzake? Tukinyamaza kimya ni usaliti na laana.Mwambie mwenzako Wiki lianzalo ni wiki la kelele.Lazima Soka na Wenzake warudishwe wakiwa hai.@Mwabuk2Boniface
Day 2 ya Mapambano. Nawakumbusha @ExMayorUbungo alitia nia yakugombea Uwenyekiti Kanda ya Pwani, Kamati Kuu ya chama ilimpitisha hivyo sasa ni mgombea kamili wa nafasi ya Uwenyekiti Kanda ya Pwani. Ni kanda nyeti sana na nnaamini ataitendea Haki kanda ya Pwani kwasababu…
Ukikutana na hili bango mahali we repost tu. Linajieleza.
Usipite bila kuipa REPOST kwama kamanda wetu @DEUSDEDITHSOKA @DIONIZKIPANYA25
Rais @SuluhuSamia tunajua kama kuteswa hawa ndg zetu mmewatesa, hakuna haja ya kuendelea kuwashikilia. Waachieni waendelee na shughuli zao.
Waachieni hawa vijana @SuluhuSamia Ripoti za @UmojaWaMataifa zikianza kutoka msianze kulialia Uchunguzi ukianza msiseme mnaingiliwa mambo ya ndani! Mmeshindwa kujisimamia umeruhusu wahuni akina Abduli waendeshe mambo! #FreeAllPoliticalPrisoners #Tanzania
Huna Sababu ya kupita Pasipo ku LIKE picha ya Ndugu @ExMayorUbungo Mpigania Haki.
United States Trends
- 1. Dalton Knecht 46,3 B posts
- 2. Lakers 60,9 B posts
- 3. #LakeShow 5.545 posts
- 4. Jay Leno 4.170 posts
- 5. $QUANT 11,2 B posts
- 6. Hampton Inn 1.812 posts
- 7. Spurs 16,7 B posts
- 8. Jaguar 116 B posts
- 9. #DWTS 26,8 B posts
- 10. Linda McMahon 43,1 B posts
- 11. #RHOBH 11 B posts
- 12. Cavs 52,5 B posts
- 13. Celtics 59,6 B posts
- 14. Dorit 5.492 posts
- 15. Chris Paul 2.982 posts
- 16. Cenk 31 B posts
- 17. Chase U 6.112 posts
- 18. Reaves 5.552 posts
- 19. Tatum 34,9 B posts
- 20. Honduras 49,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.