Similar User
@Kelvin__France
@Barrikbenson
@fire_255
@Meddyhassan
@Allymasoudzungu
@gody_B4563
@kimwaga_son
@denniehanda
@Ibuu12
@mbokoshayo
@prosperityoffi2
@Ms__Charles
@binsumaye3
@YasinMohamedAl1
@Ndomba_9
New record: Largest Ugandan Rolex - 204.6 kg (451 lb) A popular street food in Uganda, this giant Rolex contains fried egg and veggies inside a chapati 😋
This is big. Kongole wa ukae @Afruturist
I'm honoured to be appointed as a Board Member of the Tanzania Institute of Education (TIE). TIE is responsible for ensuring the quality of education at the pre-school, primary, secondary and teacher training levels. I'm looking forward to sharing ideas on education in the 4IR.
Dr. Hamid Choi is the first Korean Muslim to translate the Quran and Sahih al-Bukhari into Korean language, taking more than seven years.
Balozi umetisha sana 👏🏿👏🏿👏🏿. Unaishi moja kati ya ndoto zangu. Naamini soka letu litakua na faida, tukiweza kuwapeleka vijana wetu nje mapema. Wataendelezwa vizuri na fursa ya kuvuna fedha nyingi pamoja kua mchango mzuri kwa timu ya Taifa. Unanidai kahawa na kashata Ustadh wangu.
Nikiwa kama mmoja wa wakurugenzi na wamiliki wa kituo cha kulea vipaji cha Mabibo Football Foundation ninayofuraha kuutarifu umma kuwa kijana wetu Marungu Omary Ally ambaye tulimpeleka Mtibwa amefanikiwa kusajiriwa na Club ya Napoel KFS ya Israel.
Reading this gem. Cant put it down, usingizi umepaa kabisa. @FredrickMax63 @CharlesMishetto @TarimoIvan @mmwakapusya
Wadogo zangu wa Kike..Single Parenting is HARD. Wouldn’t wish it on anyone. Malezi ya mtoto ni baba na mama..sielewi siku hizi kwanini wasichana wanadhamiria kabisa na kusema ‘I want to be a single mother’ It’s NOT that easy unavyofikiri, si financially wala emotionally.
Today my first born turns 13 years old. Waaaaaaaaah! 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Abbah Father..Ni kwa Neema Tu..You know it. Alicia-Franklyn (1 name) blessed my life..heart..spirit. She made me who I am today. Happy Birthday Cia. Officially a Mother of a Teenager! 🙏🏾🙏🏾 GOD Got us!!
Ifikirie tu safari yako ya kwenye daladala; Haujui litafika saa ngapi, litasimama vituo gani, atapanda nani atashuka nani, utakutana na nani, nani atakusaidia siti au nani atasukuma uliposimama, konda atakudai nauli au atasahau etc. Na maisha hivyo hivyo. Furahia safari yako.
Nobody, absolutely nobody Man utd: kwa serikali hauniwezi, kwa mpira hauniwezi na uchawi hauniwezi, nipe mkono tushindane nipe mkono tushindaneeee!
Naomba kuuliza hii DORIA ina saidia nini? Italeta MAJI au UMEME? WAZIRI wa Nishati hawezi kufanya kazi yake bila ya kufanya DORIA za mito? Wizara ya Nishati haina MAPS ya mito inayoingiza maji kwenye mabwawa ya vituo vyote vya kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji?
Waziri wa Nishati, January Makamba, ameanza doria katika Mito inayoingiza maji katika Mabwawa ya vituo vyote vya kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji, katika doria hiyo Waziri Makamba ameambatana na Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO, Maharage Chande na Maafisa wengine wa Shirika hilo.
Manchesta wamethibitisha ushetani wao kwa kumfukuza kazi Ole. Yaani hawana ubinadamu kabisa! Hajawaza Ole wa watu ni baba wa familia ana watoto na ndugu wanaotegemea. Ataishi vipi sasa! Mashetani wakubwa nyie!!
Manchester United can confirm that Ole Gunnar Solskjaer has left his role as Manager. Thank you for everything, Ole ❤️ #MUFC
Hapa Twita kuna watu wananifurahisha, kunipa hamasa kwa tweets zao, maisha na career zao. Nafurahi kuwasoma. @tonytogolani @Afruturist @mafolebaraka @KneeNjure @dumaloreto @SNdandala @michaelbaruti @kaimollel @anabahatimlay @vanessazbliss @FarajaNyalandu @jokateM @iamKaga etc
Tz is definetely next. Our comparative baseline study for Startu Act, will be done this December, and from there we will have a strong case backed by research and clear path forward. Fingers cross!
Mtu mnyenyekevu hajivuni, hajioni wa muhimu kuliko wengine, kwamba anajua sana, yuko sahihi sana, mkubwa sana, Hapana. Ukikutana na mtu mnyenyekevu atakufanya ujisikie huru, sawa na yeye, hata kama ana vitu anakuzidi mara 100! Kamwe, hatokufanya ujione si kitu! #HK #NjeYaBox
So, guys do you remember this tweet? Then @NMBTanzania Sandbox and Seed fund happened later. Now trust me, more things to come. Shout out to everyone in my team at @TanzaniaSA for your sacrifice.
Yesterday i received a phone call from one of Deputy Governor of our Central Bank(BOT). Based on our conversation, i can picture best years ahead for our Fintech, entrepreneurship and innovation ecosystems. Iam excited! @KneeNjure @lilly_makoi @Positivenga1
Unaweza kuwajua watu maelfu, lakini pengine ni mmoja tu kati yao ndio aliyebebeshwa 'kifurushi' chako cha mafanikio. Tatizo ni kumjua ni yupi na unamfikiaje alipo. Usimdharau yoyote unayekutana nae au anayekuzunguka, aweza kuwa ndiye, au daraja la kumfikia mwenye kifurushi chako.
On my way to meet my crush. Wish me luck.
Baba yake aliugua kansa, na waliazimia kumpeleka marekani kwa matibabu lakini baba aligoma na kuishia Nairobi, ambapo alirudi Tz na kufariki hapa, mwaka 1959. Biashara rasmi zikabaki mikononi mwa Sir Andy Chande. Familia yake ikamshauri aoe, na akatafutiwa mchumba huko Uganda.
Baada ya masomo ya kidato cha nne, akapelekwa India kusoma high school. Huko anasema ilikua shule ya ghali na kimataifa na ndio iliyomjengea connection ya kupata marafiki dunia nzima. Baadae akajiunga na chuo kikuu, ila baba yake akamuambia aache chuo arudi kusimamia biashara.
Tatizo kubwa kwenye kutofautiana ni kutotafuta kuelewa juu ya tofauti za wenzetu zinazofanya tutofautiane. Unapotofautiana na mtu, jitahidi sana ajue kipi unachotofautiana nae na kwanini. Jitahidi pia kujua na kuelewa sababu zake za kutofautiana na wewe. Tukubaliane kutofautiana!
United States Trends
- 1. Pete 294 B posts
- 2. Jokic 11,9 B posts
- 3. DeSantis 34,3 B posts
- 4. Kerr 7.075 posts
- 5. Mavs 12,1 B posts
- 6. Podz 3.250 posts
- 7. Clemson 25 B posts
- 8. Brea 2.638 posts
- 9. Nuggets 16,6 B posts
- 10. Wiggins 2.758 posts
- 11. Kentucky 19,2 B posts
- 12. Jamal Murray 1.477 posts
- 13. Bama 41,2 B posts
- 14. Marcus Smart 2.597 posts
- 15. Kuminga 2.291 posts
- 16. NBA Cup 14,9 B posts
- 17. Grizzlies 6.248 posts
- 18. #MFFL 4.040 posts
- 19. #GSWvsDEN N/A
- 20. Braun 8.388 posts
Who to follow
-
Golden Heart 💥
@Kelvin__France -
Benson Mkondya
@Barrikbenson -
handy malone👊
@fire_255 -
Ahmed Hassan
@Meddyhassan -
zungu
@Allymasoudzungu -
SHAFT
@gody_B4563 -
Kim Putin
@kimwaga_son -
HANDA
@denniehanda -
Ibuu Mliverpool
@Ibuu12 -
JEREMIAH MBOKO
@mbokoshayo -
prosperity official
@prosperityoffi2 -
Nuru🌸
@Ms__Charles -
Binsumaye
@binsumaye3 -
YAMOAF
@YasinMohamedAl1 -
Ndomba Jr
@Ndomba_9
Something went wrong.
Something went wrong.