Similar User
@JimmyMathayo1
@mshbet
@Saullygman117
@KipondaBaraka
@lugwaja
@RichardSams16
@BlessingChess
@AtirutName
@malaikamzee
@tekisim_sahibi
@ChiffuMakavel
@diklabugota
@WhenMoon100k
@MnokotaIssa
@NoOne42674154
Ni Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika.Hakuna Nchi inaitwa Tanzania Bara iliyowahi kutawaliwa na baadaye kupata Uhuru. TANGANYIKA ilipata uhuru wake tarehe 9 December,1961. TUZINGATIE UKWELI HUU.
Taarifa kutoka kwa @KumbushoDawson Mkurugenzi wa taasisi ya #Reachouttanzania "Polisi wenye silaha wamevamia ofisi za taasisi yetu zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar. Kundi hilo la skari wenye sare na wasio na sare wanadai kumtafuta Mwanssheria wetu @LusakoAlphonce ambaye…
Ndugu yetu @LusakoAlphonce yuko hatarini. Ofisi yake iko Makumbusho jirani na BAKITA tushirikiane kumsaidia. @zittokabwe @MariaSTsehai @IAMartin_ @Advocate_Jebra @jjmnyika @TunduALissu
Profesa ametikisa mahakama Pia mahakama imejiumbua kwenye kesi ya @mdudechadematz alichokuwa anasema ndicho mahakama imefana kwenye kesi ya Mdude
Kwahiyo walipoona kelele zimekua nyingi wakaamua kumchoma sumu na kumuachia ili akafie mbele ya safari sio??
Anaitwa Gerald J. Kaombwe, ni Mwenyekiti pekee wa Kijiji cha Muuyu kata ya Kamsamba kupitia CHADEMA, aliyetangazwa kwa nguvu ya Umma Jimbo zima la Momba. Tangu ametangazwa Anatishiwa na Kulazimishwa kujiuzuru na watu wa CCM. Leo Amekamatwa na Polisi bila kuelezwa Kosa lake.
Just Imagine, Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba anasema waziwazi kwamba Idara ya Usalama(TISS) na Polisi @tanpol zimetoka kwenye malengo ya kuanzishwa kwake na kua Tawi la chama tawala CCM huyu sio katibu wa Shina wa CCM ni Waziri mkuu mstaafu. Mwenye masikio na ASIKIE.
Maadhimisho ya Sherehe za uhuru wa Tanganyika zinafutwa. Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar zinafanyika kama kawaida. Sherehe za Muungano zinafanyika kila mara na hazifutwi. Watanganyika hatutaki Tanganyika yetu ishaulike, sherehe zake ziwepo. Kama ni kufutwa, futa na mapinduzi.
Warioba: Amani imepungua sana "Inaonekana Mtanzania akifa ama akipotea inakuwa kama ni suala la vyama vya siasa, [huyu] ni Mtanzania, sisi wote ni Watanzania, tusitazamane kutokana na uanachama wa chama chochote."
Mboga Mboga Bado hawajaita Press ya Kumsema Mzee Waryoba, 😂 Hakuna Press ya Kumuonya Mzee, hakuna Press ya Kusema Wasimpotezee MAZA kwenye Malengo yake Hakuna Press ya Kusema Wazee Wapumzike Wameisha Maliza yao. Hakuna Press ya Kusema Wazee Wana-Washwa. #MzeeWaryobaPigaSPANA
Licha ya kumtesa sana @abdulnondo2 JESHI LA POLISI @tanpol walimuwekea na SUMU. Mpaka sasa MADAKTARI AGA KHAN wanapambana kujua ni SUMU gani aliyowekewa NONDO. Tuendelee kumuombea Mpambanaji mwenzetu. Haya yote polisi wanafanya kwasababu zipi? Mnaishi mkiamini nyie mtaishi…
Hizi Death Squads zilijitokeza wakati wa JK. Ulimboka akatekwa. JK akamlipia Ulimboka matibabu na akamtembelea hospitali. Sijui kilichotokea nyuma ya pazia lakini ikawa MWISHO. Swali: SSH amekwama wapi? Maana kamlipia Sativa matibabu lakini death squads ziko kazini. Sielewi.
Nimeambiwa wana X wananiulizia na baadhi ya marafiki walio na namba zangu wamenipigia kuniuliza kama niko salama. Niwatoe hofu niko salama. Nilishasema kabla mimi kutekwa jitu litatangulia mbele za haki akhera. Hilo nasema wazi mjue. Nimekataa kukubali kutekwa kizembe.
Waliomteka Aisha Machano ndio wamemteka Abdul Nondo, upigaji ni uleule maneno aliyoambiwa Nondo ndio aliambiwa Aisha Machano. Tuungane kukomesha mateso haya, tuungane kuwapigania wakina Soka.
Huyu dogo anahusika Kwani aliahidi mbele ya vyombo vya habari. Awajibishwe. 👇👇x.com/godbless_lema/…
Polisi wamenitaarifu kuwa Mdude @mdudechadematz yuko Songwe alipelekwa jana.
Pres @SuluhuSamia, muachie @mdudechadematz Unawajibika kwa sababu ndo Mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama, hawa wanaokuzunguka na chawa sio wanakupenda wewe kama binadamu, wanapenda hicho cheo na madaraka yako! Usiyatumie madaraka vibaya kutesa watu! Power come and Go
Mdude ni kati ya viumbe jasiri kabisa. Mdude hawezi kuwapa polisi kitu chochote ambacho mnakitaka kutoka kwake. Ametekwa, ameteswa, ameishi gerezani, amepewa kesi ya dawa za kulevya. Hizi safari za Mbozi-Ileje-Mbeya-DSM-Mbeya haziwezi kumtikisa. Mnapoteza muda tu. Muacheni HURU.
Kutana na Mtanzania wa kwanza kuchukia kifo, ila alizuia Bunge lisijadili mauaji nchini.. ameomba achelewe kufa. Huyu mtu ni mjinga kiwango gani?
Moja ya watu wanaovunjiwa haki sana nchini ni mahabusu. Tunahitaji katiba bora ambayo itasaidia kuainisha muda maalumu wa kukaa mahabusu na mazingira mazuri ya kutonyanyasika mapa mahakama itakapotoa hukumu #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi
United States Trends
- 1. #Cutoshi 5.119 posts
- 2. Walter Payton 1.218 posts
- 3. Hawk Tuah 56,2 B posts
- 4. Harvard 16,8 B posts
- 5. Bitcoin 1,15 Mn posts
- 6. #thursdayvibes 2.812 posts
- 7. Good Thursday 27,9 B posts
- 8. Bob Holt N/A
- 9. #ThursdayThoughts 3.237 posts
- 10. $SOLSHI 1.054 posts
- 11. DiamondSanta N/A
- 12. #5Dic 2.604 posts
- 13. #MorningJoe N/A
- 14. Happy Friday Eve N/A
- 15. Hama 149 B posts
- 16. IQ of 73 1.000 posts
- 17. RIP Bob N/A
- 18. Obamacare 14,1 B posts
- 19. Toronto Tempo 1.534 posts
- 20. Kath 16,6 B posts
Who to follow
-
Jimmy
@JimmyMathayo1 -
Liis
@mshbet -
Britt Maggs
@Saullygman117 -
B2K Arsenal
@KipondaBaraka -
Paulinho
@lugwaja -
Richard Sams
@RichardSams16 -
BlessingChess
@BlessingChess -
Atirut Boribalburephan
@AtirutName -
Malaika Binti Maufi
@malaikamzee -
Tek İsim Sahibiyim Altan
@tekisim_sahibi -
westside connection
@ChiffuMakavel -
DICKSON BUGOTA
@diklabugota -
John Jonny (JJ)
@WhenMoon100k -
Issa Mnokota
@MnokotaIssa -
No One
@NoOne42674154
Something went wrong.
Something went wrong.