@evanderkweka Profile picture

evanda

@evanderkweka

evanda10

Similar User
Nasty Gee🇺🇸 photo

@Nasty_Gee1

josh_dago_📸 photo

@josh_dago_

hpm_richer_this_year photo

@hazardpoundsug

kevinboss photo

@_kevinboss

living Trust photo

@LivingTrust17

kojo help photo

@kwadwosamuel101

Just Focus ✨✨ photo

@Mawukodelphezj

@@SIMBA🦁🦁 photo

@JOELBOSSASSERU3

SonOfGrace🇺🇸 photo

@KyeremehCliffo3

David Bwambale photo

@DavidB_UG

Marvin Paul photo

@mvp_ug

evanda Reposted

3 DAYS LATER THEY REPLIED!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤️😭❤️❤️😭❤️❤️❤️😭❤️ TWITTER PLEASE DO YOUR THING!💕

Tweet Image 1

Fuck Lexus, just texted porsche for a new car. I need my luck more than ever.🤞🏽😔



evanda Reposted

NARUDIA TENA Tusipojipigania Tusiposaidiana wenyewe Tusiposhikamana Tusipoambiana ukweli Mjue tumekwisha maana hakuna anayetuonea huruma wala kutujali. Endeleeni kuwa machawa wakati mnaishi stoo, hamna uhakika wa kula wala ajira na ndugu zenu wanateseka vijijini huko.


evanda Reposted

Sehemu ya mahojiano ya Wakili Msomi Peter Kibatala na Mkuu wa upelelezi Mkoa wa kipolisi Kinondoni, SSP Gerald Ngichi kuhusu kesi nambari 112 ya Mwaka 2018 iliyowahusu Freeman Mbowe na wenzake. KIBATALA: Umesema Freeman Mbowe aliondolewa kwenye Mkutano na walinzi wake? SSP…

Tweet Image 1

evanda Reposted

Tumejitahidi sana kukaa kimya na kuacha vyombo husika vifanye kazi zake. Lakini ukimya na mambo mengine vinatupa mashaka. Huu ni ujumbe mfupi toka kwa watoto na familia ya Mzee Ali Kibao kwa Rais @SuluhuSamia Kuna mengi hatuyafahamu. Lakini pia kuna mambo makubwa manne ambayo…


evanda Reposted

Ukisoma kitabu cha Enoko, anasimulia kuanzia mwanzo mpaka mwisho, jinsi alivyotokewa na malaika wawili, na kama ilivyo kwa malaika wote wanapowatokea wanadamu huanza na neno “Usiogope”. Kwa nini? Ni kwa sababu malaika ana muonekano wa kutisha, kwa binadamu, huwezi kuwa kawaida…

Tweet Image 1

evanda Reposted

Timu zangu za faida🇹🇿🌚

Tweet Image 1

evanda Reposted

🤣🤣💔

Tweet Image 1

evanda Reposted

Aisee kumbe nchi yenye uhuru ndo inawabana wasanii hiivi, watu wameamua wateme nyongo 😬

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

evanda Reposted

This woman should be protected at all costs 😂🔥 Here is an explanation why men need sex every day 🎉 Some of us are denied that we have to first beg beg and quarrel Video below 👇


evanda Reposted

Man Mambo 3 yanayokuchelewesha kufanikiwa, 1.KURIDHIKA -comfort zone -raha nyepesi 2.AIBU -kuogopa macho ya watu -kuchagua kazi 3.MATUMIZI KUSHINDA KIPATO CHAKO. -kutokuw na bajeti -kudharau pesa ndogo As a man Ni wajibu wako, kuyadhibithi ayo na kuwa IMARA. Man Up.


evanda Reposted

Nimewahi kuwa apeche-alolo, sina mbele wala nyuma. Sijui mchana nitakula nini. Mfukoni pakavu mbaya. Nakatiza mtaani, nakutana na msiba. Halafu ndiyo mchana, muda wa kula. Nikapanga foleni pale. Nikachukua posheni yangu, nikafinya, nikazuga, nikatembea. Oyah! usikubali umaskini.


evanda Reposted

Nikikuambia wewe kijana jobless unaweza unda mpaka $50 kwa siku, Kwenye PIKI kwa kutumia smartphone na bundle lako utaniona MOTIVATIONAL SPEAKER Anyway, Niko na full course. Natoa BURE hakuna kisingizio. Like & Repost... Comment neno PIKI kisha ni DM neno PIKI

Tweet Image 1

evanda Reposted

Makalio ni yake, hajaazima 😂😂😂 #ThursdayVAR

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

evanda Reposted

Treni Lina ODDS 104+ Linaanza taree 18-20 Anaetaka Code hakikisha Ume Retweet Ii Post, then comment apo Chini nikuletee CODE dm✅

Tweet Image 1

evanda Reposted

Ninalaani tukio hili la kikatili .Kumekuwa na matukio kadhaa ya Ukiukajiwa taratibu. Uchaguzi ni vita ya kura na sera. Tusiruhusu watu wajinga kudhihirisha na kufurahia ujinga wao hadharani. Tukio hili ni shambulio la dhahiri dhidi ya demokrasia na muhalifu huyu hatakiwi…


evanda Reposted

Kukimbilia kufanya Maombi na kuacha kupiga kura kwa kutumia akili ni kukwepa wajibu. Viongozi hawaoatikani kwa Maombi bali kwa kura yako. Iwapo kweli wangepatikana kwa maombi basi Mungu anakosea sana kwa aina ya viongozi tulionao Afrika.. Jiandikishe na piga kura kwa akili…


evanda Reposted

Abduli Mjinga ni kijana wa #CCM aliyebeba tofali na kumpiga MCHUNGAJI Ngatunga jimbo la ukonga hii ni baada ya kuwahoji vijana hao wa ccm waliomshambulia kuwa kwanini wanaandikisha wananchi nje ya Kituo (barabara ya kuelekea kituo cha uandikishaji) cha Kwa Mussa?


evanda Reposted

Kukimbilia kufanya Maombi na kuacha kupiga kura kwa kutumia akili ni kukwepa wajibu. Viongozi hawaoatikani kwa Maombi bali kwa kura yako. Iwapo kweli wangepatikana kwa maombi basi Mungu anakosea sana kwa aina ya viongozi tulionao Afrika.. Jiandikishe na piga kura kwa akili…


evanda Reposted

Sio Kila Anaekuacha Amepata Mwingine Sometimes Unaachwa Kwa sababu Umeshindikana..😜😁


evanda Reposted

Wanaume wa shoka wanaangushwa na vitu vidogo sana. Dunia ime-host wanaume wa shoka kweli kweli, Mike Tyson akiwemo. The irony man, moja ya wanaume wakatili zaidi kuwahi kuikanyaga sayari ya dunia. Amezaliwa mwaka june 30, 1966 pale Brooklyn, USA. Soma zaidi: 👇👇

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.