@ejheroes Profile picture

Heroes

@ejheroes

We need to change everything that makes us to be negative,

Joined December 2019
Similar User
Sudimali photo

@lesempiter

Mufasa photo

@Mufasa______

Mwangamilo photo

@MwangaAdo

Keegan photo

@KcKeegancalvin

NANDUGUZE photo

@AdiliMimi

PESA PESA 💰 photo

@BackUpIsPower

Gungurugwa Abbas photo

@gungurugwa

Braxs photo

@cryptojamaaa

Wessy photo

@cocaboi92

Harold Kaaya HK photo

@HKwachuga1

Barester photo

@EBarester

hoppin25th®️ photo

@hoppin25th

Ndwatta_PGR photo

@IddiNdwatta

Donforgen photo

@BDonforgen

𝐉𝐔𝐌𝐁𝐄 photo

@jumbejerry

Pinned

Nimekwenda kuweka mafuta Petrol station nilitaka aweke sh 90,000 yeye kaset 900,000 kwenye mashine bila kujua alafu kaondoka kuhudumia mwingine, mimi nikaendelea na mambo yangu, kushtuka mafuta yanamwagika chuma ishajaa na inasoma 205,000. Nimemuonea huruma huyo dada.


Heroes Reposted

Marafiki tuliopewa🤣. Sasa mzee ulisahau tupo kwenye wedding ama nini? @EMtawangu @rollymsouth @ChefGBongo @kingjames_tz


Anza na Mungu


Hii harusi ya Jose imejaa watoto wazuri sana, hakika Makongo juu imebarikiwa

Hii Harusi ya Funjo imejaa watoto Wazuri balaa 🙌🙌🙌🙌



Bando linakata kwa speed 120, au ni kwangu tu🙌


Heri ya siku ya kuzaliwa masta, uishi sana🥂

Birthday Treaty😎 Happy Birthday to Me🔥🎂🎁🎉

Tweet Image 1


Au jua limesogea karibu na dunia🙌


Maisha yana changamoto nyingi lakini marufuku kukata tamaa.


Mtandao wa @YasTanzania_ simu haziingii, shida tupu


Heroes Reposted

THIS IS SIMBA 🦁 🦁🦁


Ni ndugu yangu lakini wacha asurubiwe😂😂

Ila Eng Si mlimuita Master Mind nyie!?



Nenda kuna nafasi za hapana kama hukubaliani na mgombea

Mimi Nisiwe Mnafiki Sijaenda Hata Kupiga Kura Hata Kituo Chenyewe Sijui Kiko Wapi.



Umepiga kura??

Tweet Image 1

Kwa wagombea gani

Amkeni tukapige kura ziibiwe mapema



Anza na Mungu


Ile ni machine ya Ujerumani😂😂

Tweet Image 1

Dadeq😂

It was easier than we imagined.😎💙 #فخر_السودان | #Forza_Hilal | #TotalEnergiesCAFCL

Tweet Image 1


Yule anadaka mpaka mishale😂😂😂


Ambao mnaangalia mpira tupeni update please 🙏🏽


Dodoma was🔥🔥 @JacquilineHenr7 thank you very much. Wanangu wa Dar see you soon 😊

Tweet Image 1

Damn🤣🤣

This guy's comeback is crazy 😂😂 He really cooked her 😂💔



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.