@edwinbubelwa1 Profile picture

Mr.Experience

@edwinbubelwa1

professional teacher by calling. Father, plenty of babies. Non polical interest. humanitarian activist. Radical thinker. Visionary Man Materialist&learner.

Joined November 2013
Similar User
Vee photo

@IamVumelani

🌚Male Bestie🌝 photo

@male_bestiy

T_Bose photo

@ThaboFuyane

Black101 photo

@Black1030382737

ᴇᴍʙᴏᴋᴏ photo

@nakhulo28

Mashebe wa ga Marumo photo

@Mashebe4

Anelda🌹 photo

@AneldaBurds

Meshack M_ photo

@Kay_Moks26

vincyblinks photo

@_vincyblinks

𝐌𝐫. 𝐌𝐚𝐫𝐭𝐢𝐧𝐬 رشيد photo

@Stanley_SA

Vusi Wa Mogwase photo

@Vusiwadj1

Dudu Njengele🇿🇦 photo

@babazi_dudu

Mlondi photo

@Mlondi21117903

Investor John 🇰🇪 photo

@JonteThuo

Swazelihle💙 photo

@PlentyMtimande

Pinned

Leo tunakiamsha kwa Tale, baada ya kuwa jimboni yuko ukoo ughaibuni studio za watu @MariaSTsehai keshaanzisha kumsagia kunguni. Hafai kuendelea kutumia jasho letu. #KatibaMpya itaondoa watu wa aina hii.


Voyage voyage voyage from Mwanza to Bukoba. 🚢🚢🚢 #NewMvVictoriaHapaKaziTu

Tweet Image 1

Abiria nikiamua muda huu majina yenu yabadirike na muitwe marehemu naweza, anayebisha aseme suuu!!!!

Tweet Image 1

Harusini, msibani, kazi vyote vinahitaji connection na twitta kupata vidio ya Chuchu nayo inahitaji connection??🚶🚶🚶 Nimechoka.


Wew labda ukule mbuzi🤣🤣🤣

This post is unavailable.

Binafsi nilikubaliana na wew sentensi ile ya mwanzo, kwamba tulichagua viongozi vichaa kabla ya kuwapima milembe. Hii edited walaa siielewi.

Nilifanya kosa kwa kutolea mfano wa wakati uliopita badala ya wakati ujao kuwa tusipokuwa waangalifu tunaweza kuchagua viongozi wenye matatizo ya akili, hapo nilikosea- Anthony Diallo- Mwenyekiti wa CCM, Mwanza

Tweet Image 1


Ata kama sielewi lugha za Amerika kusini, naona pages zimeandika Messi, Messi ,Messi . Nazani mdau atakuwa amechukua kopa Amerika ukoo🙄🙄🙄


Hivi hawa @Haloteltz wanajua kuwa mtandao wao unaleta shida?


ivi ile pubic air kwa anus inafunction ipi?


Napoitazama structural male sexual organ najiuliza critoris iliwekwa ya nini Sasa!!


Huyuu @Eric_Bernard94 simuelewi🙄🙄 kwenye vitu kuntu yumo, vitu ya ujinga yumo, mistari ya Bible yumo, Siasa yumo.. kiufupi jamaa amesheheni makontenti ya kila aina. Naamin jamaa ni MVP wa Twitter ajae.


Nyagi ni yakiseng* yaani hadi mda huu nimelewa. Qmmmk


Pdf kaitwa MAku na watu hamsemi🚶🚶 kila pahari ni fitaa muraaa


Sipend unafik,nimevunga weee lakn acha nitoe ya moyoni, happy birthday @ModestaZ7 pisi kali isiyo na majivuno, ishii miaka 987654321,furaha tele na usisahau kunizalia mtoto mmoja tu kati ya uzao wako.🙏🙏


Twitter kumajaa undergraduates balaa


Mr.Experience Reposted

Handle and I follow you 👇✌😁


Hizi ni chokochoko, 😂😂😂 zile millioni za lisanamu si zinatatua changamoto hizi za tangu uhuru

#HABARI Wanafunzi zaidi ya 400 wa shule ya msingi Ifwagi, iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wapo hatarini kuugua magonjwa ya kuhara kutokana na shule hiyo kukabiliwa na changamoto ya vyoo, hali inayowalazimu baadhi yao kujisaidia ovyo vichakani.

Tweet Image 1


Jobless Leo tunaanzisha vita na nani??


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.