Similar User
@petermsirikale
@stephambonisye
@mathewyinza
@brandpicha
@pmarumbo
@MwachaEmmanuel
Hebu tupunguze negativity jamani, hata kwenye masuala ya ufundi mnaingiza siasa.Tubadilike ndugu zangu
TBC ilikua inaonyesha Uzinduzi wa Daraja la Kigamboni alivyoanza kuongea Meya wa Jiji wakakata Matangazo Hivi kumbe TBC bado hawajakua?
Najua kwa sasa tabaka fujaji linamchukia sana Mh Rais bora iwe hivyo lakini wanyonge wengi wafaidi nchi yao kiuchumi
acha tuumie.. kama hujaguswa ipo siku yako, lakini watanzania walio wengi wafaidi cake ya taifa
Ha ha ha ha ha ha wambie Irene, ila sasa naona maisha ya kigamboni kuanza kupanda na kuwa ghari zaidi na kifahari.
Kweli kabisa Papaa Mchoyo ubinadamu na ustaarabu wetu ndio umelifikisha Taifa hapa tulipo.
wanaharakati watalalamika jinsi alivyotimuliwa kwa fedheha.. alivyofanya ufisadi alitupa taarifa? alituheshimu? alituhurumia? tumbuaaaaaaaaa
😀😀😀😀😀😀😀😀mmmmh hapa sasa ubaguzi huu.
Kwa Wazanzibar Wote, Kwenda Kigamboni usipande Boti au Pantoni na ukaenda kuvuka kwa kutumia Daraja Tutawatenga! 😭 Mzanzibari yake Maji
Wewe nae ni kiini, Tamaa ya madaraka ilikuponza mzee wangu.Kama umeashindwa kumtoa kishimba utaiweza CCM??????
Huwezi muita mwenzio mnafiki kama wewe sio mnafiki, inaonekana kuna wanafiki walokubuu hawajijui kama wewe.
Ni hatari Kwa Taifa kuwa Na Chama cha siasa kinachojenga vijana WANAFIKI. Taifa linahitaji vijana wazalendo.
Channel gani wanaonyesha babu?
Asante sana.
Poleni sana kwa mafuriko yaliyowakuta ndugu zetu wa Iringa.Mwenyezi mungu awaepushe na hatari zaidi.Hongera DC
Hali si nzuri Tarafa ya Pawaga. Kisinga, Nyalu na Makoka. Asante jeshi la polisi kwa helicopter na zimamoto asante https://t.co/iBy3Gw5ZYI
Kaka@Chahali je sisi ambao tulikuwa tushanunua kimoja inakuaje kwa ofa hiyo uliyotoa?????
Pata vitabu vyote vitatu kwa Sh 10,000 tu au kila kimoja kwa bei iliyopo pichani. Happy Va… ift.tt/1obToyw https://t.co/ANXpfPqIMT
Kumbe wanatamani mie nilidhani wameingia.
Ha ha ha ha ha i will be the first to trush you out.
If you have saved me on your contact list as "Fundi Bomba". Kindly trash me out.
Umepakutaje na ulitaka afanye nn?
Nimefika bumbuli hapa nimeshangaa sanaa,hapaendan kabisa na mbunge anayejiita wazir. ni aibu sana
Mpigie said fella 0713781414 ndio diwani wake itakuwa rahisi kumuunganisha na wazazi.C.Dickson
Kuna mtoto anaitwa ENJOY FRANK anakaa MBAGALA KILUNGULE amepotea kawe beach plz anaemjua anicheki yuko kwangu hapa
Ndugu yangu kufa na kuzikana, Chelsea dam dam hatoki mtu hata iweje hayo ni mapito tu.
Its true but we are tired with poor results@romanymosha
He won all titles. If they could gave him a chance, championship was his last target #MourinhoSacked
United States Trends
- 1. #SmackDown 40,3 B posts
- 2. Jeanty 13,4 B posts
- 3. $VIRGIN 8.389 posts
- 4. #ANonsenseChristmas 8.975 posts
- 5. UNLV 8.365 posts
- 6. Clay Holmes 5.010 posts
- 7. Tulane 4.859 posts
- 8. Bianca 13,4 B posts
- 9. Naomi 18,2 B posts
- 10. Giannis 18,6 B posts
- 11. #OPLive 1.525 posts
- 12. #loveafterlockup 1.514 posts
- 13. Doris Burke N/A
- 14. Dame 89,7 B posts
- 15. WFAN N/A
- 16. Heyman 3.627 posts
- 17. Gronk 2.949 posts
- 18. Army 333 B posts
- 19. Moss 17,8 B posts
- 20. Maddow 12,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.