eddna
@eddieddnaHuman & Peoples Rights Defender Gender Activist Child Protection Activist SRHR
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Chalinze kujumuika na familia yangu katika Iftar ya pamoja leo nyumbani Msoga. Nakuombeeni kheri. Allah Atukukubalie funga zetu na aufanye mwezi Mtukufu wa Ramadhan uwe ni wa manufaa kwetu.
Hongera sana mama yetu Samia Suluhu Hassan, umetuwakilisha vyema wanawake na ndio maana ukaaminiwa tena. Umefanyakazi nzuri.Utulivu wako, hekima, busara na Uchapakazi wako umeinua taswira ya mwanamke wa kitanzania, umeonyesha dhahiri kwamba wanawake tunaweza Hongera sana mama
Congratulations Donate for our Organization Tanzania Child Welfare (TCW)
🥳 Thank you for 1 million followers on Twitter today! To mark this day, I will donate TZS 1 million (or more) to charitable causes / initiatives or businesses in need. Top 10 worthy causes with the highest retweets will be rewarded 🙏🏽 #MoGifts2020
In this time of pandemic, @MEtiebetMD is joining the discussion this Friday to speak on the necessity of protecting mothers during #COVID19, and beyond, by placing quality maternal health services at the center of comprehensive #UHC agendas everywhere. #AfricaLeadsUHC
Happy birthday kiongozi
The Center for Women's Global Leadership sends out a "Take Action Kit" every year, detailing how participants can get involved and campaign in order to make a change #StopGenderBasedViolenceKE
Timu ya Maafisa Ustawi wa Jamii kutoka Wizara ya Afya na Mkoa wa Njombe(waliokaa watatu upande kulia)wakitoa huduma kisaikolojia na kijamii kwa Familia ya Bw.Danford Nziku iliyopoteza watoto watatu kutokana na vitendo vya utekeaji na mauaji ya Watoto vilivyotokea mkoani Njombe
Jamboree Muhimu sana kwa kweli
Ukeketaji ni ukiukwaji mkubwa wa haki za mtoto wa kike zilizoainishwa kwenye Mikataba ya Kimataifa, Kikanda na Sheria ya Makosa ya Jinai Tanzania.Tunaiomba serikali kuchukua hatua dhidhi ya Wakeketaji @umwalimu @jtfmahon @nyiizi @SwedeninTZ @UNFPATanzania @UNICEFTanzania @TAMWA_
Congratulations for good job
Ukeketaji ni ukiukwaji mkubwa wa haki za mtoto wa kike zilizoainishwa kwenye Mikataba ya Kimataifa, Kikanda na Sheria ya Makosa ya Jinai Tanzania.Tunaiomba serikali kuchukua hatua dhidhi ya Wakeketaji @umwalimu @jtfmahon @nyiizi @SwedeninTZ @UNFPATanzania @UNICEFTanzania @TAMWA_
Yeah Together we can stop gender violence @umwalimu @DocFaustine @TASWO11 @TzUstawi
#IStandWithDrShule We must all find the courage to speak up when we know of sexual harassment and violence against women. Don't let your silence be taken for acceptance or condoning of this behaviour. Fight for what is right!
Ahsante Mh. Umenena mama Umegusa Mtima wangu Wazazi/walezi, Familia, Jamii, taasisi Za dini tunawajibu kwa ulinzi watoto wetu
Wazazi/Walezi tuwe Karibu na Watoto wetu. Vitendo vya Ulawiti na Ubakaji wa Watoto vinazidi kuongezeka kwa kasi ktk jamii zetu! Ni jukumu letu sote kutokomeza Vitendo hivi -- Fahamu viashiria vya mtoto anayeficha siri ya udhalilishaji mobile.mwananchi.co.tz/Habari/Fahamu-… via @MwananchiNews
United States Trends
- 1. #mondaymotivation 20,4 B posts
- 2. Good Monday 44,4 B posts
- 3. Big Bass Xmas Extreme N/A
- 4. Victory Monday N/A
- 5. #MondayVibes 2.493 posts
- 6. Immanuel 4.710 posts
- 7. MARK LEE 71,2 B posts
- 8. Burna 30,2 B posts
- 9. Trump 2028 7.896 posts
- 10. Carti 45,7 B posts
- 11. Mona Lisa 39,3 B posts
- 12. Alex Bruesewitz 10,5 B posts
- 13. Geno 18,3 B posts
- 14. Sam Howell 6.233 posts
- 15. Yellowstone 12,2 B posts
- 16. Acheron 6.238 posts
- 17. #BaddiesMidwest 15,1 B posts
- 18. Happy Birthday Ernie 1.678 posts
- 19. Feliz Navidad 19,7 B posts
- 20. Hazuki 9.635 posts
Something went wrong.
Something went wrong.