The East Africa Press Councils (EAPC) was formally launched at the .@jumuiya headquarters in Arusha, Tanzania, this morning. Members called for enhanced collaborations to safeguard media freedom in the region. More: bit.ly/45BbhM8
In line with ongoing commitment to advancing media regulation and self-regulation across East Africa, the Rwanda Media Commission (@RMC_Rwanda) hosted members of the @eastafrica_pc
Strategic Planning: We recently convened in Kigali to develop our Strategic Plan. The event was attended by all member organisations. MORE: bit.ly/3zmJX9Y
Let's protect press freedom....and handle live coverage professionally
STATE OF THE MEDIA REPORT TANZANIA 2022-2023 PRE-LAUNCHED IN KIGALI, RWANDA mct.or.tz/smrprelaunch/
Afisa Rasilimali Watu na Utawwla wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Elizabeth Okuli (kulia) akimkabidhi fomu ya kujiunga na uanachama wa MCT meneja wa Kituo Cha Redio cha Living Water FM, Leah Emma wakati MCT ilipotembelea kituo kilichopo Mwaloni, jijini Mwanza Juni 8, 2024.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura akisaini kitabu cha wageni Juni 10, 2024 alipotembelea ofisi za Klabu ya Waandishi wa Habari wa mkoa wa Mwanza
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura (katikati) akiwa na makamu mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari mkoa wa Mwanza Debora Malaba (kulia) na Mjumbe wa Klabu hiyo, Kwilasa Mahigu (kushoto) mara baada ya kutembea Klabu hiyo Juni 10, 2024
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura akiangalia ramani ya ujenzi wa ofisi za Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC). Ramani hiyo inatarajiwa kuweka ofisi na kituo cha uwezekezaji wa klabu. Pembeni ni mjumbe wa MPC Ndugu Kwilasa Mahigu.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Ernest Sungura (wa nne kutoka kushoto waliosimama mbele) akiwa na baadhi ya waandishi na wafanyakai wa Radio Sengerema iliyopo jijini Mwanza. Sungura amefanya ziara ya kikazi Radio Sengerema Juni 11, 2024.
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Ernest Sungura (kulia) akiwa na Meneja wa Miradi wa Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania, Stephen Chimalo wakibadilishana mawazo wakati walipohudhuria kongamano la Maendeleo ya Sekta ya Habari lililoanza leo Juni 18, 2024.
"Waandishi wa habari tumieni kalamu zenu kwa kuweka mbele maslahi ya taifa letu" Mhe. Selemani Kakoso, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu
“Vyombo vya habari ni mshirika wa Serikali na si mshindani kama baadhi ya watu wanavyodhani” Daktari Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Samia to officiate 2nd National Media Sector Development Conference mct.or.tz/samia062024/
Nape to Launch State of the Media Tanzania 2022-2023 Report mct.or.tz/nape0624/
Extending our best of wishes....
Dear Papa...
Promoting Professionalism in the Creative Industry: The .@MediaCouncilK is calling for enhanced adherence to professionalism by creatives as they form a huge part of Kenya’s media landscape. The Council CEO .@DavidOmwoyo today met creatives in Nairobi where he launched a report…
Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) atembelea Sengerema FM redio iliyopo wilayani Sengerema mkoani Mwanza. Pamoja na kujionea shughuli mbalimbali za kituo hicho, lakini pia alifanya mazungumzo na Meneja wa Redio hiyo na wafanyakazi.
United States Trends
- 1. Jaguar 161 B posts
- 2. #wednesdayfeelings 1.952 posts
- 3. Good Wednesday 27,9 B posts
- 4. Hump Day 1.777 posts
- 5. $TGT 2.408 posts
- 6. Hampton Inn 2.832 posts
- 7. #BlankRecapSS2Ep6 77,2 B posts
- 8. FY REACT BLANK SS2EP6 76,7 B posts
- 9. Happy Hump 8.090 posts
- 10. #20Nov 4.061 posts
- 11. #WednesdayMotivation 4.678 posts
- 12. #TheHeartKillersEP1 97,7 B posts
- 13. Jay Leno 5.790 posts
- 14. $JEFFY 3.496 posts
- 15. Linda McMahon 55,5 B posts
- 16. Bud Light 6.726 posts
- 17. Nancy 6.437 posts
- 18. Delaware 19,8 B posts
- 19. Sonny 48,1 B posts
- 20. Dalton Knecht 58,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.