@dicks_kituu Profile picture

Dicks kituu

@dicks_kituu

gunners

Dicks kituu Reposted

Okoeni watu waliolala kwenye kifusi zaidi ya saa 55. Acheni kuhangaika na huyo mtu anaitwa NIFFER ambaye kwa sasa siyo kipaumbele. Muda mnaotumia kuhutubia mkiwa juu ya VX V8 zenu mngeutumia kuwaokoa masela waliofukiwa kwenye kifusi, ingekuwa magoli sana.


Dicks kituu Reposted

Kila mtu kwenye haya maisha ana umuhimu wake, ni suala la muda tu umuhimu wa mtu kuonekana. Leo, walewale machinga, tunaowaita wazururaji, ndio wameokoa watu wengi zaidi kuliko wale tunaowalipa mishahara. Kila mtu aheshimiwe, apewe thamani anayostahili na tutumie busara juu yao.


Nilikua najuaga watu wanaovaa miwani wana akili lakini nilipokuja kugundua @privaldinho nae anavaa miwani nimegundua kuwa nilifanya makosa makubwa sana


Dicks kituu Reposted

Nyie watu Kila Siku Nawaombea Dua @TunduALissu @MariaSTsehai . Mbarikiwe sana, Mnafanya kazi kubwa sana Ambayo Watanzania hatuna cha Kuwalipeni.#MbarikiweMpakaMshangae ❤️❤️✊✊

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Dicks kituu Reposted

😂😂 CCM wanatugeuzageuza kama chapati! Maana tunadanganywa na sisi tunakubali kudanganyika! Kweli kabisa mlitegemea rufaa zipokelewe na warudishe wagombea wa upinzani? Haya niambieni wamerudisha wagombea wangapi wa upinzani specifically CHADEMA? 😀 @nchimbie alisema haya maana…

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted
Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

SALA KWAAJILI YA @DEUSDEDITHSOKA NA WENZAKE:- “Mungu wa mbinguni nawaweka mikononi mwako Soka na wenzake nikiomba ukaendelee kuwatetea & kuendelea kufanya njia ya wao kuwa huru. Hatutachoka kuomba kwaajil yao kwasababu umesema tuombe bila kukoma. Nasi tunaendelea kuomba” AMEN🙏

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

Overinflated EGO is a huge problem with politicians Yaani wanasiasa wanashawishiwa na waliowazunguka kwa kuwakuuza kujiona kama vile wana umuhimu mkubwa na ni miunguwatu wasioweza kukosolewa Ndo imefika hatua kiongozi akikosolewa anaona kama unataka kummaliza (annihilation)…

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

Tuliza moyo wako. Kubali mapungufu yako. Rahisisha mahitaji yako. Ongeza kipato chako. Chungaa, tamaa mbaya.


Dicks kituu Reposted

#Repost bila sababu ya msingi. @TunduALissu

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

Laana ya utekaji hautawaacha salama madhulmat! Ila IMETOSHA warudisheni vijana! #FreeDeusdedithSoka #FreeAllPoliticalPrisoners #Tanzania #EnforcedDisappearances

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Dicks kituu Reposted

Leo #MariaSpaces tunajadili: Uchaguzi 2024 - tunarudia yaleyale na kutegemea matokeo tofauti ? Einstein alisema kurudia kilekile na kutarajia matokeo tofauti ni uwendawazimu Je tunarudia ya 2019? Kuna nini tofauti inayotendwa na serikali, upinzani au wananchi? Leo saa 2 uck

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

My President @TunduALissu Unafanya kazi ya kitume Naomba nikuombee Dua "Allah akujaalie Maisha Marefu yenye Heri na Baraka,Allah akuepushe na Husda na chuki za Wanadamu,Allah akutimizie Hitaji la Moyo wako,Allah Akuongoze Siku moja uwe Rais wetu Wa Jamuhuri ya Muungano 🇹🇿".Amin🤲

Tweet Image 1

Vijana wakitanzani wengi ni wajinga mpaka wanatia hasira


Dicks kituu Reposted

PGO ya polisi iko wazi hakuna ukamataji wa kutovaa uniform na kuburuza kumweka katika gari la kiraia - huu ni UTEKAJI Watekaji washughulikiwe kama wezi na majambazi kwa nguvu ya umma! Jamii TUSIWAOGOPE 🙄 Kama hii ya leo walikuwa watatu, wananchi mlikuwa wengi mnaangalia! Hawa…

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

Mnateka mtu halafu mnatangaza kufanya uchunguzi. Ama kweli Shamba la Bwana Heri Ngedere nao wa Bwana Heri.


Dicks kituu Reposted

Natumai wenye hotel wana backup ya data za CCTV za tukio la jana. Ili Kufuta ushahidi wale watu watafika na kung’oa mfumo mzima kama walivyofanya kwenye ile nightclub ya masaki. Yule naye aliyenusurika asiende polisi kufungua kesi, wala asikubali kuitwa kwa mahojiano. Apotee.


Dicks kituu Reposted

Itafika hatua wananchi wataacha kutumia polisi na mahakama kupata haki zao. Wezi wanachomwa mitaani kwa sababu wananchi walishaona mara nyingi wezi wanarudi mtaani baada ya kuwafikisha kituoni. Mifumo yetu ya haki ina matundu ambayo yanaruhusu batili itawale haki. Watu wamechoka.


Dicks kituu Reposted

MFUMO ovu unaumiza kila mtu! Hakuna atayeweza kuuhimili. Usidhani kwa kuwa unajitambulisha kama mwana. CCM utaushinda Mfumo ovu. Utakushinda. Uovu haubagui.

Tweet Image 1

Dicks kituu Reposted

CHOMBO CHA HABARI CHA MATAPELI. Wanaohojiwa ni MATAPELI. Watangazaji ni MATAPELI. Wanaosikiliza hiki chombo Cha HABARI ni MATAPELI. ASANTE.🤝🙇🏾

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.