Similar User
@mndemeHR
@CaptainGerry_
@emilykasu
@BarakaDavid20
@WensislausWilli
@siravianny
@MtumbicaChwaa
@t3rrencejr
@MAJANI_MASHA004
@ntyeka2
@baumbajunior
@JamesElisey
@Chibojr2
@DezideriAdrian1
@JustineMassai
Tofauti ya Yanga SC na Simba SC inaanzia hapa, RED CARD ya Bacca jana ungesikia maneno na shutuma kibao zingeandikwa hadi mitandaoni kwamba tutafika mpaka Zenji na tutajua kilakitu, Yanga SC wamepigwa wamekubali na maisha yanaendelea, kama wana jambo linaongelewa ndani linaisha
"Serikali yetu imefanya mambo mazuri, mazuri fulani tunayaona hata kama ni ya vitu siyo ya watu; madaraja, mabwawa, majengo, ndege barabara na kadhalika, ni vitu vingi imefanya, jambo ambalo ni zuri. Lakini bila uongozi bora, na mfumo wa kidemokrasia unaowawajibisha watawala…
BREAKING NEWS, Chaapaaa REPOST 1000 FREEMAN MBOWE THE PRISEDNT AJAYE NO FEAR (2025) Nitakupa kura nyangu baba ✌️🙏
Mkapa alinikamata mara moja. Kikwete alinikamata mara tatu. Magufuli alinikamata mara nane. Hii itakuwa mara ya pili kwa Samia kunikamata. Mara zote hizi sijawahi kutiwa hatiani & mahakama yoyote. Sijawahi kutenda kosa la jinai. Mimi ni mpigania Uhuru & Haki. Huo sio uhalifu!
Mimi kama mimi hadi dakika hii siwadai mshapigania haki na uhuru wa nchi hii, ila Bado raia hawajui mbaya wao ni nani, Whatever the weather we love you, Mungu awalinde Mungu awaongoze🙌🏼🙌🏼😭😭
Thank you Balozi. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
“Nimeelezwa wanakuja kwa ajili yangu wakati wowote sasa. Ikiwa, na wakati, watafanya, nitakuwa tayari. Itakuwa mara ya 2 nakamatwa ndani ya miezi 2. Itakuwa mara yangu ya 10 kushikiliwa na polisi wa Tanzania kwa tuhuma za uongo ndani ya miaka 8. Nilinusurika katika risasi 16;…
Polisi mkafanye kazi yenu ya kulinda raia na mali zao nasi vinginevyo. Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Wizara ya Afya, mkaweke vituo vya huduma za dharura na gari za wagonjwa kwa ajili ya waandamanaji. Hatuhitaji kuwa na hofu kama tunawajibika. Muwe na J'pili njema Watanzania wenzangu.
Imagine unatumia nguvu zako kukisaidia kikundi kidogo cha watu kiwe madarakani kienjoi life na familia zao ili kikulipe mshahara mdogo ,kikukalishe kota chafu kikufanyishe na dhambi ukifa unaenda motoni yani unateseka ukiwa hai na ukifa
Hongera kwa Jeshi la Polisi kwa kutimiza miaka 60. Nimetazama sherehe zenu. Sehemu kubwa ya maonesha yenu ilionesha uwezo mkubwa kudhibiti raia kuliko kuwalinda. Ushauri wangu, ongezeni nguvu kwenye kulinda raia na mali zao, kuliko kwenye udhibiti na matumizi ya mabavu.
Sote tunaelewa MAPITO ya Lissu ni KUPIGWA risasi na mpaka leo hakuna aliyekamatwa. Kwa hivyo ukikosa NIDHAMU unapigwa Risasi? Sijaelewa…. Nani kaamuwa RISASI ni adhabu ya kukosa NIDHAMU kwa Rais? Sheria gani?
CHATU WA JIRANI NI CHATU WA MAELEKEZO..! Ghafla idadi ya watu waliomezwa na chatu wanasema imefika 185, wengine 250 na wengine 280 kuona Kila mtu analaani na kupinga vitendo vya kikatili vya chatu mmeza watu, taasisi za dini wakristo kwa waislamu kwa mara ya kwanza wamesimama…
😂😂😂 Did she go off script jana? Maana hajasema haya! 😂😂😂
Wanaomkamata @ExMayorUbungo wanaenda kwenye Mjengo wake wanajishangaa wenyewe wakistaafu hawawezi Jenga huo Mjengo. Mzaha sio mzaha?
Repost bila sababu wahusika ndo watajua sababu ya wewe ku repost. Muda unaenda na hatumuoni mwanetu.
Leo SSH katoa mfano wa majaribio ya kumuuwa Trump kwenye hotuba yake. Naomba kumkubusha: Tarehe 23 July 2024, Mkuu wa Secret Service wa 🇺🇸 alijiuzulu. Hakuna aliyejiuzulu Tanpol, TISS au la Waziri. Fuateni MIFANO ya kujiuzulu si ya UCHUNGUZI tu.
Wewe imba wimbo unaotaka, lakini nitakukumbusha maana hio ngazi ulioipanda imekutoa kumbukumbu. ZNZ kulifika wakati ASKARI POLISI hawavai sare wakitoka na kurudi nyumbani. Wanazibeba kwenye mifuko ya RAMBO! Wanasiasa kama wawe wanalindwa na ving’ora. Polisi wanapanda DALADALA!
Mshaambiwa! Kama hamuelewi nakupeni pole.
Mh. Rais @SuluhuSamia asante kwa pole. Hata hivyo ujumbe kama huu ni plausible deniability, Idara ya usalama wa taifa ndio watuhumiwa wakuu na wewe ndiye sponsor wa TISS. Si rahisi kwa polisi kuchunguza TISS na polisi hawawezi kujichunguza. Hivyo ama tumia inquest act au…
Nilipingana sana na Magufuli kwa sababu ya VIFO na UTEKAJI wa Raia! Nitapingana na SAMIA sana tena kwa sababu ya VIFO na UTEKAJI wa Raia! Nitapingana na SAMIA zaidi kwa sababu anatoka kwetu! Naona AIBU ya ndani ya NAFSI!
United States Trends
- 1. Cowboys 46,9 B posts
- 2. #WWERaw 54,2 B posts
- 3. Texans 56,8 B posts
- 4. Cooper Rush 7.986 posts
- 5. Pulisic 15,2 B posts
- 6. Mixon 11,9 B posts
- 7. #USMNT 3.029 posts
- 8. #HOUvsDAL 6.340 posts
- 9. Turpin 2.912 posts
- 10. #AskShadow 5.640 posts
- 11. Aubrey N/A
- 12. Jake Ferguson N/A
- 13. Bruins 4.724 posts
- 14. Bray 3.723 posts
- 15. #90dayfiancetheotherway 1.763 posts
- 16. Zach Lavine 1.955 posts
- 17. Mike McCarthy 1.211 posts
- 18. Sheamus 2.059 posts
- 19. Weah 2.033 posts
- 20. Trey Lance 1.418 posts
Who to follow
-
OFFICIAL MNDEME♌💚
@mndemeHR -
Captaιn Mƙυυ🎖️
@CaptainGerry_ -
Emily Godfrey
@emilykasu -
𝑩𝑩𝑴 𝕏
@BarakaDavid20 -
ULUGURUNI_ GREAT_EMPIRE 204
@WensislausWilli -
MJAPANI_MWEUSI
@siravianny -
Mtumbica Chwaa
@MtumbicaChwaa -
Davy
@t3rrencejr -
THE LIFE OF MAJANI004
@MAJANI_MASHA004 -
ANDAJAIV
@ntyeka2 -
Joh
@baumbajunior -
Jimmy_james_joh
@JamesElisey -
Baba Careen
@Chibojr2 -
DPE Store
@DezideriAdrian1 -
Justine Massai
@JustineMassai
Something went wrong.
Something went wrong.