@bukombejr67 Profile picture

Bukombe junior.

@bukombejr67

Arakati za mtu mweusi... Tukipatacho ndiyo tunachokitumia.. kikubwa Dua,,,,,,,,,,,,, simba & liverpool fc.

Pinned

Tukisemq arne slot ball tunamanisha hiki... Watoto wa London nakuja hapo weekend kuchukua point zangu...

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

“Kila hatua unayochukua leo inakuweka karibu zaidi na ndoto zako za kesho. Usikate tamaa, endelea kujitahidi.” Goodmorning😁


Bukombe junior. Reposted

°°°Hakikisha kwenye Circle yako huna watu kama hawa kama wapo tumia njia yeyote kuwachomoa🚀. °Machawa °Wanafiki °Waongo °Wambea __________________________________


Bukombe junior. Reposted

"Usiogope hang'ati huyo " Jibu kama mgeni😁

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Leo humu unaweza kukutana na shangazi yako kapostiwa R.I.P, wakati yupo zake Njombe huko na hajawahi kufika hata Daslamu.😂

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Mungu mkubwa.🙏🏽 Repost 200 kama unaamini atazidi kutenda ✊🏽

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

MUNGU AMENIHURUMIA, TENDO HILI KUBWA SANA, SIKUSTAHILI JAMBO HILI, NIMELIPATA BURE TU...... 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏


Bukombe junior. Reposted

🙏🏾

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Kifo ni ndoto ambayo kila mtu lazima aote. Unaishi ukiwa upande gani? Mkumbuke Muumba wako siku za ujana wako kabla hazijaja siku zilizo mbaya

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Huyo Jamaa Mnaempost Amekufa Sio Kweli Jamaa Hajafa Ameokolewa Saivi Yupo Hospital🙏

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Leo ukipita vibaya kwenye mitaa ya chambuzi @George_Ambangil unakula upper cut za kutosha tu😂

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi 🙏🏽

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Yeyote mwenye ndugu kariakoo au aliyekuja kufanya manunuzi awasiliane nae kujua usalama wake, Kuna gorofa imeporomoka mtaa wa mchikichi na Congo na wote waliokuwepo hawajafanikiwa kutoka kuanzia underground


Bukombe junior. Reposted

Pray 🙏 🤲

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Tunatembea na Kifo Poleni sana wafanyabiashara wa kariakoo, poleni mliofikwa na janga hili, MUNGU awe nanyi🙏

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

"Wakati wakuzaliwa, ulilia; lakini ulimwengu ulifurahi basi ishi maisha yako kwa mtindo ambao siku ukifa uifanye dunia ilie Wewe ufurahi" The beautiful irony is that our loss is another's reunion💙...........✍

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

Kama haya nayosikia hapa ni kweli toka kwa KACHERO wetu aliyepandikizwa kwa siri pale AMPHIBIA basi tutegemee KESI toka FIFA muda wowote. Ila AMPHIBIA timu inaendeshwa kibabaishaji sana 😂😂


Weekend hii bila slot ball aisee dahhh tushamilimisi pila safi aiseee...

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

GOOD MORNING Mr=used for all adult men Mrs=used for marriage women Ms=used for adult women Miss=used for girl/single Women

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

TUKUMBUSHANE: Toa Sumu Mwilini, Fanya Detox...🩺 Punguza Wanga, Hakuna Sehemu Imeandikwa Asubuhi kunywa chai na chapati mbili zito za kusukuma..🫵

Tweet Image 1

Bukombe junior. Reposted

#ThrowBackAlhamis......Tunaimaliza siku kama hivi wazee 😅👇🏽 👉🏽Nameless~Nasinzia🎶 👉🏽Kidum & JayDee~Nitafanya🎶 👉🏽JuaCali & Sanaipei~Kwaheri🎶 👉🏽Radio & Weasel, Blue3~ Where you are🎶 👉🏽Jaguar~Kioo🎶 👉🏽Juliana & Bushoke~Usiende mbali🎶 👉🏽Wahu~Still a liar🎶 👉🏽Alicios &…


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.