@WillbertSande Profile picture

sande Willbert

@WillbertSande

Similar User
Nyerembe Lucas photo

@LucasNyerembe

Amos Masolwa photo

@Masolwa366

Mwalimu Melele photo

@AyubMelele

Deogratias Egidio photo

@egidioson

Abdallah Mabukusela photo

@AbdallahMabuku6

Mr collection photo

@Mrcollection6

Shadow Swax Ktz photo

@KtzSwax

Deogratias William photo

@DeogratiasWill6

sande Willbert Reposted

Kwa hiyo weupe wote huo anaenda usukumani


Mbona nikienda huko inaniomba number kadi ya malipo nifanyeje

Unaweza. Kwenye profile yangu kuna sehemu ya subscription. Unakula uzi mzimamzima



Wana nn hao Rc acha kutisha watu wewe?

Ndio maana nakwambia wewe na huyo jamaa ako, hamuijui RC.... utoto wa mjini ni mali mdogo wangu...



sande Willbert Reposted

Ndio maana nakwambia wewe na huyo jamaa ako, hamuijui RC.... utoto wa mjini ni mali mdogo wangu...


Kavae na wewe hicho kitambaa tu.mbona unajifanya unajua Sana wewe dada

Hiyo siyo uniform ya jeshi Wamemshoneshea kutoka kitambaa cha uniform ila bila rank siyo uniform rasmi ni mfananao!



Inyonga mkoani katavi hapo Hilo banda la bati wanauza supu ya mbuzi


Inasemekana huna uhakika kwa hiyo?na kwa nn Kama huna uhakika umsingizie mtu.kwa hiyo mwigulu kuwa waziri tu kila Mali ni ya kwake acheni kuchafua watu

Inasemekana ni za Ramadhani Madelu Nchemba... Ndiye Mmiliki halali wa Mabasi ya Esther



Ndio hilo mkuu lipo iringa hilo

Nilifika iringa lkn sjaon hii jeng😂😂😂😂



Picha hii imepigwa inyonga wilaya ya mlele mkoani katavi na hilo banda hapo mbele wanauza supu ya mbuzi

Huu ni unyanyasaji why wanawake wamebeba watoto wapigishwe magoti na huyu jamaa tena kainamia baiskeli?😭😭😭

Tweet Image 1


sande Willbert Reposted

Unalipwa kiasi gani? Matumizi yako kwa siku ni bei gani, emergency unatenga kiasi gani kwa kila sku? Ni parents ngapi unaweka kwenye saving or investment? Tukianzia hapa tutajua kama maisha ni magumu ama yanafanywa kuwa magumu.

This post is unavailable.

Sasa hata akirudisha ni kazi bure maana zitapigwa tu

Simple kuonyesha unapigania maslahi ya wote ungerudisha kiasi ulichopokea.



Kwa hiyo mzee hii hadithi umeiamini kabisa.

Ni aibu sana mambo kama haya kwa taifa kama Tanzania. Sijui katika hali kama hii ya ufujaji ni lini Mwafrika ataheshimiwa na Mzungu 🤔



Morogoro hiyo wanafanya ziara sana

😂😂😂 wafanyakazi wa moruwasa bana 😂😂😂



Depo mpya hawa

😂😂😂 ila Maccm uwa yana michezo ya kitoto sana



Naomba namba zenu

Thanks for the appreciation Mkuu, be blessed



Umeongea point wanauhakika Sana na maisha haya

Waliobahatika kupata aijra za mishahara inayovuka 3m kwa mwezi wana nafasi kubwa ya kuweza kuishi kila siku bila kupungukiwa hela endapo hawatochukua hatua za kuanzisha miradi binafsi kama ujenzi, uwekezaji, n.k. Tuliopo mtaani kila mtu anabahatisha tu leo hiki kesho kile



sande Willbert Reposted

Waliobahatika kupata aijra za mishahara inayovuka 3m kwa mwezi wana nafasi kubwa ya kuweza kuishi kila siku bila kupungukiwa hela endapo hawatochukua hatua za kuanzisha miradi binafsi kama ujenzi, uwekezaji, n.k. Tuliopo mtaani kila mtu anabahatisha tu leo hiki kesho kile


Lami ilishakamilika mzee

Mungu ni mwema namuona kwambali mwarabu wa shinyanga anavyosubiria rami ikamilike na yeye alete vyuma



Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.