@Wana_Foundation Profile picture

Wana Foundation

@Wana_Foundation

We are devoted to making a Positive Impact in the World by promoting Lifestyle Giving and advocating for Education, Environment, Skills Development.

Similar User
Insta:breno_15lz 🎀 photo

@breno_15lz

ZAE in LA photo

@ZaeInLA

Kuhely photo

@Kuhely001

Ominee photo

@_ominee

WADENYA WADENYA photo

@WadenyaWadenya

Okey Onwugbonu photo

@DoubleOGrooveFM

A K Y O O 🇹🇿 photo

@respectson10

jirit Joseph🐐 photo

@jiritjoe

Loba-Loba of MUFC photo

@lobar_

#DAVIE_BET™🇰🇪 photo

@Ck_davie

Folahanmi Oyefi photo

@haywhy_42891

🏁Kgopas_Wilson photo

@Kgopas69458428

Eaziwose IA Elayo 🐐 photo

@Eazy_Elayo

Ms.Mwendwa photo

@veraharia

Collinspowel photo

@Collinspowel6

Women of God❤️ Kama lipo jambo Mungu anatafuta kwenu ili awabariki basi kupitia huu Upendo wenu tu Mungu na awabariki. Tukutane tarehe 19/10/2024 More info: 0692328552

Tweet Image 1

Welcome and join us to support the Vision that brings us all together as family to serve and touch part of the needs of the needy and create a better community. For more updates! Call: +255692328552 JUST US FOR LOVE

Tweet Image 1

If you’re not blessed with an extraordinary talent to gift the world, do what we say in Swahili; 'Ishi na watu vizuri' (be good to everyone). Long after you are gone, someone will live to carry your memories. Mungu awabariki sana!!!

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Wana Foundation Reposted

Wiki hii Msichana Initiative ilipata nafasi ya kutembelea Shirika la @GlamiTanzania kwa lengo la kujifunza namna wanavyotekeleza Mradi wa KISA na Binti Shupavu. Tunawashukuru sana @GlamiTanzania kwa kutupokea vizuri na kutupa ushirikiano wa kutosha🙏 .#MsichanaUwezo

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Wana Foundation Reposted

Nimekuwa na wakati mzuri jana Ikulu ndogo, Tunguu Zanzibar, nikiwa na Mheshimiwa Rais Yoweri Museveni na Mheshimiwa Rais William Ruto. Pamoja na mambo mengine tumejadiliana kuhusu;- 1. Kuongeza kasi ya kupatikana kwa Shirikisho la Afrika Mashariki. 2. Hatua za kuchukua na…

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Huwa tuna share Upendo na Furaha kwa michezo, mashindano, nyimbo, kula na kunywa lakini pia tuna-share stori, kujifunza mambo mbalimbali na kutiana moyo kwa namna tofauti tofauti. Just us for love! Tarehe 14/04/2024 tukakuwa kwenye kituo cha watoto yatima Simambwe, Mbeya!


Tutakuwa na muda wa kupiga stori, kuimba, kucheza, kuulizana, kufurahi na kufanya mambo kibao na hawa watoto tutakao watembelea kwahiyo huku vibe tu hadi Mungu anakubali. Halafu kuna zawadi ya T-shirt kwako wewe utakayeshiriki nasi siku hiyo. CHANGIA CHOCHOTE TUKAWAGUSE WATOTO

Tweet Image 1

Wanawake ni jeshi kubwa na Volunteers Wanawake wa WANA FOUNDATION wamekuwa na mchango mkubwa sana katika kufanikisha shughuli hizi njema na za baraka. Mungu awabariki sana katika maadhimisho ya siku hii. Let’s inspire inclusion❤️❤️❤️ #iwd #WomansDay #InternationalWomensDay

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tunaendelea kupokea Michango na Sadaka kwaajili ya Charity ya April, Mungu akubariki KUWAONA WAHITAJI NI IBADA KITUO: HICO, SIMAMBWE Tarehe: 14/04/2024 Airtel Money: 0692328552 M-Pesa: 0759750086 Jina: Frank Mwainyekule Lipa No. Airtel: 13232961 Jina: Wana Foundation


Wana Foundation Reposted

Good Deeds is not about planning extravagant events or assembling large crowds; rather, it's about the genuine intention to spread more goodness in our World🌎.

Tweet Image 1

Wana Foundation Reposted

On 17th January we had an opportunity to participate and support CHICAYETA Team on their intention to provide school materials to 30 children from Airport Primary School. The event was small and well organized. Kudos to them👏🏾 Let’s keep doing good together! @gooddeedsdaytz

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

REGISTRATION FOR GOOD DEEDS DAY 2024 IS OPEN🔥🔥 Register here👉🏾 bit.ly/RegisterGDD2024

Tweet Image 1

Good Deeds Day inaunganisha mamilioni ya watu Ulimwenguni kote kufanya Matendo Mema kwa manufaa ya wengine na Dunia kiujumla. Wito kwa NGOs, Vikundi, Shule, Kampuni, Mashirika, Familia na Watu binafsi kujisajili ili kushiriki siku hii ya Matendo Mema. 👇🏾👇🏾 bit.ly/RegisterGDD2024

Tweet Image 1

Good Deeds Day inaunganisha watu Ulimwenguni kote kufanya Matendo Mema kwa manufaa ya watu wengine na Dunia kiujumla. Wito kwa Taasisi binafsi, Vikundi, Shule, Kampuni, Mashirika, Familia na Watu binafsi kujisajili ili kushiriki siku hii njema. Registration will open soon❤️✍🏾

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.