VeronicaPe48961's profile picture. I โค๏ธ GOD ๐Ÿ™๐Ÿ’

God's Daughter ๐Ÿ’

@VeronicaPe48961

I โค๏ธ GOD ๐Ÿ™๐Ÿ’

Joined March 2024

Wale wenzangu wa ibada Kuna ile ishu ya wachungaji husema Neno la Kila mwezi , kwamba mwezi huu wa mpenyo, huu wa kumiliki, huu wa tambulika Kila mahali, huu wa kushika kila kitu,, miezi kumi na miwili hujaishi ndani ya Neno hata moja miez yote hiyo ,,, ushawahi jiuliza shida nn


Usicheze na maisha ya mtu,maisha ni gharama sana, ukitaka uishi maisha marefu heshimu maisha ya mtu mwingine Biblia inasema yale usiyopenda kutendewa usiwatendee wengine ๐Ÿ’Good Morning


Kwenye safari ya kujitafuta kwako lazima utakuta watu wengi wanakuacha na unakuwa mwenyewe .


United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.