Ugali Mkavu ⚪
@UgaliMkavuBaitos Nsigonza | Mwananchi mwenye hasira kali
Similar User
@Fevady91
@mile_Tza
@invzibo
@Pedee_isma
@AbediMuharami
@gubeberu
@Pdizainna
@abuuyus
@yuzzleknows
@AllieTitoo
@TimesMajira
@AuntieePendo
@SitiniNaTisa
@urassannko85
@eyooken
Mheshimiwa Mpina sisi tupo nyuma yako kufa kupona. Tulisamehe mengi ila katika hili tusiwaachie! Kaza spana kaka!
How it stings, how it stings, to be a smart man among fools, to have vision among the blind. Rather I be but a blind fool.
Article inaongelea states za Marekani. Kwa Kiswahili tunayaita majimbo. Soma kabla ya ku screenshot na kushare ovyo ovyo ndugu, utajaza gallery OP nyingi.
Mtu unaishi kwenye nchi hamna hata umeme alafu ukiitwa third world country unaanza kulalamika. Unataka uitwe first world kisa fly over tatu?
Dear fam, Samia ashakuambia yeye na Magu ni kitu kimoja na wewe bado unaongea nyenyenye Samia mabadiliko this Samia mabadiliko that. Get your mind straight son! Hamna maendeleo yoyote Tanzania ya ccm. Ni wananchi tunajiendeleza bila jitihada za serikali. Sincerely, U.M.
The dawn of a new e̶r̶a̶ error.
BREAKING NEWS: The 2021 #NobelPrize in Literature is awarded to the novelist Abdulrazak Gurnah “for his uncompromising and compassionate penetration of the effects of colonialism and the fate of the refugee in the gulf between cultures and continents.”
Technique iliyotumika kuzima SPACES energy ya bongo ni the same inayotumika miaka yote kuzima upinzani by ccm. CONGRATULATIONS @kigogo2014 @Rodrigo88192003 You consciously/unconsciously fucking did it! Washa acid vat @TasteCyanide hawa majamaa wanaua movement!
Huko tunapoelekea wafu watapigwa tozo ya kufa. Kifo kitakuwa sio bure tena. Sasa sijui na kufa mtakwepa kama miamala ya simu au itakuwaje? Kwa wale ambao hawalijui hili kuna kitu kinaitwa estate tax (hilo jina hutumika kuficha dhana ya kifo) na tayari kuna watu wanaijadili huko.
Kukosolewa hamtaki kila kitu mkiambiwa mko defensive!. Halafu mnataka kushika madaraka na nchi muongoze!. Yaani mtakuja kuwa madikteta kuliko hata Meko na CCM Yesu atarudi atawakuta bado mnapanga slogans za kuongoza nchi na mwisho wa dunia utafika mko hapo hapo! KILA LA HERI
Alhamdulilah kila nikimsikia Kigogo nafurahi sana na ninapata matumaini na taifa langu 🙏🏿
Hivi kwa kingereza nikitaka kusema Mama anaupiga mwingi nisemeje?
Nawashukuru sana wote tulioweza kujumuika na kujadili spaces ya UGALI MKAVU FM 🎙️ Poleni kwa usumbufu wa network uliojitokeza. Tutakua na mengi zaidi kama haya kila wiki kadri iwezekanavyo. Asante sana kwa michango yenu, usikivu wenu na zaidi ya yote uvumilivu wenu.
United States Trends
- 1. Spotify 2,53 Mn posts
- 2. #EarthMeta 1.641 posts
- 3. Pete 920 B posts
- 4. $EMT 4.055 posts
- 5. Mbappe 164 B posts
- 6. CEOs 28,8 B posts
- 7. Arsenal 413 B posts
- 8. Snape 3.341 posts
- 9. Brian Thompson 155 B posts
- 10. United Healthcare 87,2 B posts
- 11. $HAWK 5.232 posts
- 12. Hawk Tuah 23,7 B posts
- 13. UHC CEO 8.811 posts
- 14. Citibike 11 B posts
- 15. Preemptive 28,8 B posts
- 16. Chipotle 8.842 posts
- 17. $TOAD 5.685 posts
- 18. Ancelotti 38 B posts
- 19. Newcastle 62,3 B posts
- 20. Valverde 26,3 B posts
Who to follow
-
FEVADY🔰
@Fevady91 -
Mile_99
@mile_Tza -
Invisible
@invzibo -
CHORWA ✍️
@Pedee_isma -
Official- Amo 💥
@AbediMuharami -
Ole
@gubeberu -
Pdizaina05
@Pdizainna -
Techn. Enthusiastic
@abuuyus -
ყ𝗎𝗓𝗓𝗅e
@yuzzleknows -
Mipower💪🍁🍃🇯🇲
@AllieTitoo -
TimesMajira
@TimesMajira -
Ahjumma
@AuntieePendo -
cyanide
@SitiniNaTisa -
urassa.
@urassannko85 -
ken🦧
@eyooken
Something went wrong.
Something went wrong.