@UbaloziUganda Profile picture

Tanzania High Commission I Uganda

@UbaloziUganda

The official account of The High Commission of Tanzania to Uganda.

Similar User
WizarayaMamboyaNdani photo

@WizaraMNN

National Museum of Tanzania photo

@MuseumTanzania

National Defence College Tanzania photo

@Ndc_tz

Tanzania Mission to The UN Office | Geneva photo

@UbaloziGeneva

Tanzania Consulate General | Guangzhou photo

@TZCGGuangzhou

Zanzibar Bureau of Standards photo

@BureauZanzibar

Tanzania High Commission | Namibia photo

@UbaloziNamibia

Tanzania Embassy | The Netherlands photo

@UbaloziTheHague

Tanzania Embassy | Zimbabwe photo

@UbaloziZimbabwe

Embassy of Tanzania | Brussels photo

@UbaloziBrussels

Wizara ya Maliasili na Utalii photo

@MNRT_Tanzania

Tanzania Embassy | DRC photo

@UbaloziDRC

Small Industries Development Organization (SIDO) photo

@SIDOTanzania

Tanzania High Commission I United Kingdom photo

@UbaloziUK

Tanzania High Commission | Canada photo

@UbaloziCanada

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

🇹🇿#UhamiajiUpDates Kamishna Jenerali wa Uhamiaji CGI Dkt. Anna Makakala jana tarehe 11 Oktoba 2024 amekutana na kusalimiana na Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli, Balozi wa Tanzania Nchini Uganda katika mpaka wa Tanzania na Uganda Mutukula OSBP uliopo Mkoani Kagera.

Tweet Image 1

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wananchi wa Geita kabla ya kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Geita wakiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani humo tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mkutano wa kufunga Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji katika sekta ya madini Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na watoto wakati alipopita kukagua mabanda mbalimbali ya Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia mfano wa uchimbaji wa madini ya dhahabu wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua mabanda mbalimbali wakati wa Maonesho ya Saba ya Teknolojia na Uwekezaji kwenye sekta ya madini yaliofanyika Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Tanzania High Commission I Uganda Reposted

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kuhusu hatua mbalimbali za upokeaji na uuzaji wa madini ya dhahabu katika Soko Kuu la Dhahabu Geita mara baada ya kuwasili Mkoani Geita tarehe 13 Oktoba, 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3
Tweet Image 4

Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda unapenda kuwatakia wananchi wote wa Jamhuri ya Uganda Heri ya Miaka 62 ya Uhuru.

Tweet Image 1

Hon. Anthony Mavunde (MP), Minister for @MadiniTanzania delivering his key note speech on the Tanzania's experiences in the mining industry during the 13th Uganda Annual Mineral Wealth Conference 2024.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Ubalozi umefarijika kupata nafasi ya kutembelea kiwanda cha kuchakata pamba cha NGS Investment Co. Ltd kilichopo Mkoa wa Simiyu. Kiwanda hiki ni sehemu ya wanufaika wa uhusiano mzuri uliopo wa kibiashara kati ya Tanzania na Uganda.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Leo, Mhe. Balozi @Simulikisesa ametembelea Bandari ya Portbell iliyopo Kampala kwa ajili ya kujionea shughuli mbalimbali zinazoendelea katika eneo hilo. Bandari hiyo inatumika kusafirisha mizigo na abiria kati ya Tanzania na Uganda.

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Mhe. Balozi @Simulikisesa akiwa na ujumbe wa Tanzania katika ufunguzi wa mashindano ya Michezo ya Shule za Afrika Mashariki yanayofanyika Mbale Uganda. Tanzania inawakilishwa na wanafunzi zaidi ya 400 kutoka shule za Msingi na Sekondari Tunawatakia kila la kheri wawakilishi wetu

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.