Mojawapo ya kitu kinachomfanya Mwanaume aanze KUJITAMBUA, ni kuachwa na Mwanamke aliyempenda.. Kwa Wanaume wote smart imewatokea hiyo, ni mojawapo ya hardway ya Mwanaume kuanza kujitambua🔥
Wanangu mnaowahi kumaliza tendo jipeni muda kufanya hatua hizi kila siku ndani ya mwezi mmoja👇 1. Fanya zoezi la kegeli dakika 20 2. Bana mkojo na kuachia kila unapokojoa & Bana mk*nd* na kuachia kwa kuhesabu 1 - 10 kila siku 3. Kanda uume wako na maji ya moto dakika 15+
MUNGU awarehemu wenzetu waliotangulia! MUNGU awasaidie majeruhi kupona kwa wakati! SISI SOTE NI WAMOJA!🙌
Mwanamke hana huruma linapokuja suala la kuchagua Mwanaume wa kuwa nae, hawezi ona jau kukuacha wewe kumchagua Mchizi mwingine bora kukuzidi.. So, usione jau kumuacha Mwanamke fulani ambaye huoni kama anakidhi vigezo vyako, hakuheshimu na haeleweki! Sio chuki, ni STANDARDS!
Kama upo Chuo, ni fursa nzuri kwako kutoa USHAMBA wa Wanawake.. Imagine, unasoma kozi ambayo ina Mademu 100+ na 3/4 yao ni wazuri; ukiwa smart enough utagundua uzuri ni kawaida kwa Mwanamke maana wanao wengi! Kama unaona Mademu wakali 90+ kila siku hiyo ni EXPOSURE tayari!🔥
Ukichukua maji ya moto, ukawa unaukanda uume wako kwa dakika 15+ kila siku asubuhi na jioni.. Taratibu utakuwa unaongeza unene wa uume wako na kuongeza muda wa kufanya sex bila kumwaga mapema! Jaribu, utanipa majibu!🙌
Kwa namna jua lilivyo kali, una uhakika Mpenzi wako akitongozwa na Mchizi mwenye gari atachomoa?!😀 Hili jua likukumbushe kutafuta hela zaidi My Brother, kipindi kama hiki ni rahisi kuibiwa Mwanamke wako au yeye kukucheat kwa Machizi wenye magari! Good morning🙌
Ukitaka kuamini kwamba kupata hela ngumu kuliko kupata Wanawake jaribu kuchunguza, idadi ya Wanaume wenye hela nyingi na idadi ya Wanaume wenye Mademu wakali ipi kubwa.. Unakuta Mchizi mmoja ana Mademu zaidi ya watatu tena wote wakali lakini uchumi wake mgumu kinoma!😀
Build yourself My Brother, make a lot of money.. Asitokee Mtu yeyote kukwambia MWANAMKE WAKO KAKUONEA HURUMA kuwa kwenye mahusiano na wewe, ni dharau kubwa! Hakikisha unatengeneza mkwanja, tena mwingi!🔥
Idadi ya Wanaume wenye Wanawake/Mademu ni wengi kulinganisha na idadi ya Wanaume wenye hela Kwanini?! Kwa sababu, Mwanamke sio ngumu kumpata kulinganisha na hela; ndio maana idadi ya Wanaume MALAYA ni kubwa kuliko Wanaume MATAJIRI🙂 Chase money My Brother, CHASE THE BAG!
Unahisi Kwanini Ni Ngumu Sana Kwa Mwanamke Kusema Wazi Kuhusu Idadi Ya Wanaume Aliowahi Kuwapea?! Tofauti Nyingine Kati Yetu Na Wao Ipo Kwenye Jibu Utakalolipata Hapo!
My Brother, Kwenye Safari Yako Ya Kujitafuta Please Usifanye Chochote Kile Kutaka Kuwaimpress Wanawake Wakupende.. UTAUPONZA Muda Wako Upotee Kiboya UTAZIPONZA Hela Zako Ziteketee Bila Sababu Ya Msingi UTAPONZA Nguvu Zako Bure Chase The Bag Tu Mwanangu🔥
Kwa unavyoona, huyo Demu uliyanaye sasa hivi ikitokea umekuwa broke kiuchumi; ataendelea kuwa na wewe?! Unaamini atabaki ama atakuacha?! Kama atabaki basi keep her! Kama ataondoka unajua maana yake?! Jijali wewe kwanza ( jiweke priority + weka hela priority )
Ukishauriwa Mwanaume weka NDOTO yako mbele kuliko Wanawake haimaanishi WANAWAKE SIO MUHIMU, hapana! Wanawake ni muhimu lakini sio muhimu kuliko NDOTO zako; ndio maana hata ukioa Mke anakuja kuwa msaidizi wa hizo NDOTO zako wewe sio zake yeye! NDOTO kwanza mengine yafuatie✌️
United States Trends
- 1. Pam Bondi 117 B posts
- 2. Jameis Winston 3.244 posts
- 3. Gaetz 938 B posts
- 4. Brian Kelly 3.372 posts
- 5. Browns 31,6 B posts
- 6. Bryce Underwood 18,3 B posts
- 7. #911onABC 9.995 posts
- 8. #GoBlue 5.888 posts
- 9. Michigan 68,2 B posts
- 10. #TNFonPrime 1.769 posts
- 11. #PITvsCLE 2.472 posts
- 12. Lindor 3.579 posts
- 13. #DawgPound 2.645 posts
- 14. Shohei Ohtani 50,1 B posts
- 15. Trump University 10,2 B posts
- 16. Seton Hall 1.101 posts
- 17. Aaron Judge 18,2 B posts
- 18. Keanu 10,1 B posts
- 19. Brad 33 B posts
- 20. Ken Paxton 23,6 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.