TianFarm🪴
@Tiani_FlowersIf You Love Gardening, Follow us Today! WhatsApp 0715-733-733
Similar User
@RengMjema
@tzs255
@isgrim_
@DagaaAdam
@Josephmoshi34
@adajohnson_
@kingnikhson
@MTANZANIA85
@fajj_swaib
@godchance_edson
@JuniorminjaAlex
Ruto baada ya kukutana na Engineer Hersi wa YANGA, akamwambia Rais wa CAF kuwa “ninamtaka huyu kijana nchini Kenya”. Ruto amekubali kazi kubwa iliyofanywa na Engineer pale YANGA na kwenye soka la Tanzania kwa ujumla.
Hapa wananchi wa Mwanza wamezuia polisi @tanpol undercover A.K.A watekaji wasiondoke na mtuhumiwa mpaka OCS wa kituo cha polisi eneo hilo anakapofika na athibitishe kuwa wale ni polisi. Hongera sana ila siku nyingine wageuzeni majivu maana hawa vibaka wameua watu wengi kweli.
Waliamua kuacha kazi NBC benki na kuamua kuipigania haki, hawa ni Certified Public Accountant (CPA) wanatambulika na NBAA. Kwa elimu zao wangeamua hata wabaki kwenye ajira maisha yangeenda, ila wamechagua kuipigania Haki ya Taifa hili. Mungu awalinde @Ntobi_ na @CatherineRuge 🙌🏼
Hongereni sana Mwanza, mmefanya vyema kuzuia askari msiowafahamu kuondoka na raia mwenzetu bila kujua anapelekwa wapi ukizingatia amekamatwa na watu wasio na unifomu rasmi. Hivi ndivyo tunapaswa kuishi kwasasa
Leo Ni Siku Ya 28 Mchizi Wangu #Deus Hatujui Uko Wapi, Hatujui Uko Hai Au Haupo, Hatujui Unapitia Mateso Kiasi Gani Muda Huu!! Nimewahi Kutekwa Siku 3, Nikikumbuka Mateso Tuliyopitia Ndani Ya Hizo Siku 3, Na-imagine Hizi Siku 28 Utakuwa Kwenye Hali Gani!! Familia Yako Inapitia…
Hii ni mwanza Raia wamewazuia askari jeshi kuondoka na watuhumiwa mpaka aje OCS ambaye wao wanamfahamu kwa sura, jina na kituo anachofanyia kazi. Nchi imeshakuwa ngumu sana kuna hofu kila mahali.
“Hii habari ya kuingia barabarani Watu wanaizungumza visivyo kabisa, kwani tangu lini kuingia barabarani ni haramu Nchi hii?, sheria ya Nchi hii inasema ni haki kuandamana na ukiandamana ni haki kupewa ulinzi na Polisi na ukihitaji msaada sheria inasema unapatiwa msaada na…
Kazi ya kuipigania Tanzania salama nyenye uhuru na maendeleo ya kweli. Tanzania isiyo na machozi ya watu kupotezwa na kuuliwa ni jukumu letu sote hakuna alie salama.
Haya @ChademaTz nimewasogezea hii taarifa 👇🏾 @tanpol na kikosi kile cha utekaji wamepewa maelekezo kukamata viongozi wote wa mkoa na kanda Wanaogopa maandamano Sasa mnafiki @nchimbie asiwatoe focus Muwe makini utekaji wa Khamis Omary ni sehemu ya operesheni hii @PatricOleSosopi…
Aliyemshambulia TL hamumjui,Sativa hamumjui,mzee Mbao hamjui..basi tufanye sio nyinyi ni nani?tuambieni,na kama hamjui basi hamfai kuongoza nchi imewashinda,haiwezekani kikundi kidogo cha watu kikaua na kuteka watu na nyie mpo madarakani hamjui kila kitu,HAKUNA WATU WASIOJULIKANA
Labda kunaweza kuwepo na lugha muhimu kesho. Tusubiri tusikilize , pia tuone kama atawaonya Polisi juu ya kuzuia Wajumbe wa CC CHADEMA kwenda Dar kwa ajili ya vikao vyao. Leo Mjumbe wa CC Bwana Sosopi alizuiwa Morogoro kwa muda mrefu sana.
Nitakapokuwa MAREKANI, nitakuwa na MAZUNGUMZO na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) ndugu ANTONIO GUTERRES. Tutazungumza kuhusu HARAKATI za kupigania HAKI na UTAWALA WA SHERIA katika nchi za AFRIKA, kusini mwa Jangwa la Sahara. Asante MUNGU kwa FURSA hii ADHIMU.🙏🙏
Maumivu makali sana. Jipeni Moyo Mkuu.
Mafwele huyu ni mtu wako. Anawasumbua watu wangu wa karibu kuniulizia nilipo. Nimeshawaambia nipo MBEYA. Naombeni mumsalimie MTEKAJI HUYU.🚮 MAFWELE LEO NIPO BIZE NA MIKEKA NITAKURUDIA JUMATATU.🤝
TAARIFA KWA UMMA. Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) itakutana Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida. Kikao hicho cha siku mbili kitaanza kesho Jumanne, Septemba 17 mpaka 18, 2024 Jijini Dar es salaam. Pamoja na masuala mengine kikao hicho…
Trump amenusurika kuuawa kwa Mara ya pili. Trump alikuwa akicheza Golf kwenye eneo lake huko Florida Kisha mtu mmoja mwenye silaha aina ya AK-47 akaanza kumshambulia kwa risasi japo hazikumpata. Baadaye mtu huyo alikamatwa. Trump amesema hatapunguza mwendo wala hata kata tamaa.
MUFTI wenu kaona tuu ya Maandamano. Hajaona kabisa ya watu KUTEKWA. Sijasikiliza hadi mwisho hotuba yake imejaa PUMBA kavu.🚮 Huu ndio msimamo wenu waislamu sio?
Umewatuliza vijana wasikiwashe msibani wewe si utawatuliza hata 2025 uchaguzi ukiibiwa? Chama hiki kwa sasa kinamuhitaji @TunduALissu shule yake , ujasiri wake na akili yake inahitajika zaidi kwa sasa anapaswa kuaminiwa na kupewa uenyekiti la sivyo kwa mbowe wa sasa hatutoboi
Miongoni mwa kazi ngumu hapa duniani ni kufanya mdahalo na Donald Trump, jamaa anaweza kukutoa kwenye reli kirahisi Mnoo. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, huyu Kamala Harris amejitahidi sana kudili na Trump. Inaonesha wazi kabisa kuwa alipikwa na akajiandaa kweli kweli.
United States Trends
- 1. #chillguy 27,9 B posts
- 2. Good Sunday 56 B posts
- 3. #sundayvibes 5.422 posts
- 4. #SundayMorning 2.343 posts
- 5. #IPLAuction 90,6 B posts
- 6. Chuck Woolery 7.031 posts
- 7. #LasVegasGP 303 B posts
- 8. Bama 38,3 B posts
- 9. Lakers 41,5 B posts
- 10. Love Connection 5.340 posts
- 11. Auburn 35,9 B posts
- 12. Max Verstappen 139 B posts
- 13. Wheel of Fortune 3.682 posts
- 14. F-35 20,7 B posts
- 15. Pant 69,2 B posts
- 16. Ferrari 89,6 B posts
- 17. Lewis 120 B posts
- 18. Sainz 49,2 B posts
- 19. Happy Birthday Anne N/A
- 20. Lando 45,2 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.