@TashaStanslaus6 Profile picture

TUTU

@TashaStanslaus6

Financial Freedom is my only hope👊🏽-TUTU ||Hip Hop✌️

Joined May 2015
Similar User
Teye jr photo

@TerazziJr

Machibya Jr DR.(III)💣 photo

@Yusufhudaya4gm1

*utoKOLO* photo

@B2bMaestro

Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 photo

@mackphason

Ismail Mkobo photo

@mkobo198

Ngikari Shio photo

@JeromeAgapiti

PEBBY photo

@Kaka_Pebby

Hushah Shashaa photo

@HushahShashaa

King Kola 🇳🇱. photo

@Kanenamagufa

Bwana Yule photo

@vaskazumbula

I’M ALMAS 🔰 photo

@IM_Almas1

nouahnicklas photo

@NicklasNouah

forex tz photo

@Silumbu2

Benson Mkondya photo

@Barrikbenson

Sam the nobody😀🫵🖕 photo

@cartless15

Kunywa Bia 2 nalipa

Usichoke kuanza upya mpaka utakapoona uko sehemu sahihi. Tunapitia mengi sana, ila Mungu ANATUFUNDISHA, ANATULINDA na ANATUONGOZA. Mungu abariki kazi za mikono yako 🙏🏾



TUTU Reposted

Mungu akiamua kukupa ulaji ni anakupa tu ase. Sasa kama yule anaeonyesha Lugha ya alama pale U-tv kwenye taarifa ya habari sini anakula pesa za bure.😀


TUTU Reposted

Usichoke kuanza upya mpaka utakapoona uko sehemu sahihi. Tunapitia mengi sana, ila Mungu ANATUFUNDISHA, ANATULINDA na ANATUONGOZA. Mungu abariki kazi za mikono yako 🙏🏾


Napenda vipini 😍0713675852

Woiiii wameniambia nmeficha sura hadi imeharibika😭😭💔😂

Tweet Image 1


TUTU Reposted

Mafanikio kwa mtu ambaye amezaliwa kwao pesa zipo, yawezekana kisiwe kitu cha kushangaza. Ila mafanikio kwa mtu ambaye amezaliwa kwenye familia yenye hali ngumu, utamu wake ni kama kitimoto iliyo chomwa.


TUTU Reposted

Kushindwa hakukufanyi kuwa mtu dhaifu. Inakufundisha somo bora zaidi. Usikate tamaa pale unapo shindwaa.


TUTU Reposted

Watu duni hutoka kwenye mazingira duni na kuwa na akili duni , hivyo usichangamane nao maana Tabia Ina ambukiza 🤔 .


TUTU Reposted

Unakumbuka lile gheto lako la kwanza feni hadi uipe support ya kuizungusha ndio izunguke? Gheto flani choo na bafu ni kitu kimoja na kipo nje ? Yule mwanamke kwao kulikuwa na kila kitu na akachagua aje kwako! Muoe huyo mwanamke kama hajafa na hakukukosea.....


TUTU Reposted

Zipende sana nyakati ngumu ndizo zinakutambulisha upo na watu wa namna gani Good morning friends


TUTU Reposted

Iko hivi Mungu aliachaga kuongea kupitia ndoto, sasa hivi anaongea kupitia Yesu tu. Ikae hivyo.


TUTU Reposted

Moja ya mtihani mkubwa kwenye maisha ni kuuguza kwa muda mrefu! Unachanganyikiwa kuliko anaeumwa..... Mungu aendelee kuwapa nguvu wote mnaouguza ndugu zenu.


TUTU Reposted

Ukiona sehem kuna riziki basi kuna vita kubwa sana kimwili na kiroho, usiache kuomba Mungu🤞🏿


TUTU Reposted

Na hii je?

Tweet Image 1

TUTU Reposted

Subaru haina madeko


TUTU Reposted

Acha uzinzi/uasherati Acha kutembea hovyo na wanawake/wanaume Acha kutoka nje ya ndoa yako Ngono inaua uhusiano wako mzuri na Mungu.


TUTU Reposted

Wafalme, Acha kuleta masihara maishani, Wazazi wako hawatokuwa hai milele, Fanya kazi kwa bidii japo waone mafanikio yako.


TUTU Reposted

Kuna watu hawajui kama tulikuaga na @ITVTANZANIA 1 & 2 … 😂; ITV2 ndio ilikua kama MTV Base yetu enzi hizo!!!! #TBT


😅 ukimuuliza kwamba anauelewa na mchakato mzima unavokuwa hana majibu..

Watanzania bhana na ujuaji......kila mtu anajifanya mtaalamu wa kila kitu....mwishowe wanaokota okota vitu hata hawavielewi wanavibwaga Tu bila ufafanuzi wowote....



TUTU Reposted

Wanawake Wakishaolewa Wanakua na Amani sana Tofauti na Mwanaume Akishaoa. Broo Amua kwa Busara.


Ka pussy😅😅

Nikitulia kidogo, ka-pussy hako!

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.