Sulley hustler 🇹🇿 🇵🇸 🇮🇷
@SulleySHassan1I WILL LIVE ALL MY LIFE FOR IMAAN ※IT & phone Technitian※ new activist※ ●Businessman ● Father and fighter 🌍Tanzanian Broda. 🦁
Christians listen to this man you say that's all Jewish and his people is the chosen people from the god so that your not choosen., NATION OF THE GOD 🤣🤣🤣🤣
🇮🇱 Zionist rabbi calls for Jews to destroy CHURCHES… “We must purify the non-jews”
Unamfukuza kocha kwa kuwa timu imepoteza michezo miwili? Au mkataba ulieleza hivyo? Miguel Ángel Gamondi katurudisha CAFCL group stage baada ya miaka 25. Katupa makombe. Pamoja na madhaifu yake (hatuelezwi) alihitaji kuvumiliwa kidogo. Tutapata taabu, lakini sisi ni WANANCHI.
Ninatoa salamu za pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki, wasanii na wapenzi wote wa muziki nchini kufuatia kifo cha mwanamuziki nguli Boniface Kikumbi Mwanza Mpango ‘King Kikii’. Kwa zaidi ya miaka 50 King Kikii ametoa burudani kwa mamilioni ya Watanzania, na amekuwa mlezi…
Big brain SOKA, upo wapi mwanangu?.
Swali: Maneno aliyoyasema @TunduALissu juzi ndio yale yale aliyoyasema miezi sita iliyopita wakati wa uchaguzi wa @ChademaTz wa kanda kule Iringa. Kwa nini chama hakikutoa tamko la kukanusha wakati ule?🤔 Pili, ni nani aliyechuliwa hata hatua za kinidhamu kwa kufanya haya…
MBARALI: Wagombea wetu bado wapo kwenye ofisi za DAS saa nne usiku huu, wengi bado hawajasikilizwa kabisa. Wagombea hawa wameshinda kwenye ofisi hizi za DAS #Mbarali tokea juzi. Wana njaa na wengine wanalala sakafuni kwa uchovu. Jana wamelala kwenye maturubai maeno ya jirani na…
SIASA: Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisisitiza umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa ujumla Tamko hili limewasilishwa na Rais wa TEC, Askofu Wolfgang Pisa akisema…
HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA RUFAA ZAO ZIMEKATALIWA..! Jimbo la Kibamba lilikuwa na Jumla ya Idadi ya wagombea wa CHADEMA walioenguliwa na wasimamizi wasaidizi 200 Idadi ya wagombea wa CHADEMA waliokata rufaa katika kamati ya rufaa ya wilaya ni 200…
Kanisa Takatifu Katoliki la mitume limetimiza wajibu wa kitume. Amani ya bwana iwe nanyi baraza la maaskofu katoliki Tanzania (TEC) na maaskofu wote 37. Sauti ya wananchi ni sauti ya Mungu. Kanisa katoliki limegoma kuwa wapambe wa serikali katika kuharibu demokrasi ya nchi yetu.
“Mwenye hivi vitambulishi amekutwa ameuawa upande wa Zambia Nakonde kwa anaemfahamu mwili umehifadhiwa mochwari ya Nakonde.”
"Jumuiya ya Kikristo Tanzania CCT katika kikao chake cha utendaji kilichofanyika leo (Novemba 14, 2024) kimejadili kwa kina hali ya kisiasa, CCT imekuwa ikifuatilia kwa makini mchakato mzima wa uchaguzi huu kuanzia mwanzo...kwanza malalamiko kuhusu daftari la wapiga kura;…
Siku kama ya leo mwaka 2015 Kamanda Alphonce Mawazo aliuawa. Roho yake ipumzike kwa amani
Huyu jamaa kwenye video anaonekana akipita Hapo hapo mbele ya tukio huku Tarimo akiomba Msaada jamaa alipita kama vile hajaona jambo lolote Wanaume wa Dar Bwana 🤨🦇
Tarehe kama ya leo 14.11.2015 Alphonce Mawazo aliuwawa kikatili kwa kukatwakatwa na mapanga na mashoka,chini ya tawala ya JPM tukumbuke kwamba ni miaka Tisa Sasa toka kamanda wetu atutoke Mtu pekee wa kumwamini katika struggle ni wewe mwenyewe . R.I.P Alphonce Mawazo💔🕊️🙏
Kwa UBONGE huo 👇, sasa itabidi WATEKAJI waongeze BIDII kwenye suala zima la MENU.😂😂😂
Ukiiona hii sura unajua kabisa kinachoongelewa ni UCHUNGUZI usio na majibu.🤝
NGONGWE wamefanyaje kavideo kamefutwa? Wame'report na genge lao lote? Ngoja turudishe tena kumbukumbu hii nzuri sana.
Yupo wapi Albert Nitwa? Nani mwingine ambae haumski siku hizi?
Polisi @tanpol wamewakana watekaji kuwa sio askari, lakini huyo tall kibaka Nyang'au amepiga JKT Orjoro 2008 na 2009 akaajiliwa na jeshi la polisi na amekuwa undercover. Huyo kibaka wa kapelo anaitwa Evarist naye ni polisi kwanini polisi wanawakana askari wao baada ya kuumbuka?
‼️ APPRECIATION ‼️ Kwa heshima na kutambua mchango wa alie record video ya tukio hili sisi kama wana X tunatuma salamu nyingi na shukrani kwa mtu huyu ni shujaa kwetu na tuna hamasisha watu wa record matukio haya ili dunia na watu waone Tumpe retweet 500 alie record hili tukio
Nishajiuliza sana hivi hawa wanaojenga Dar huwa wanawezaje ??
United States Trends
- 1. Josh Allen 29,3 B posts
- 2. Chiefs 14,6 B posts
- 3. 49ers 33,2 B posts
- 4. Geno 30,6 B posts
- 5. Niners 6.204 posts
- 6. Bo Nix 12,7 B posts
- 7. #KCvsBUF 12,6 B posts
- 8. Falcons 18,5 B posts
- 9. Mahomes 26,9 B posts
- 10. Seahawks 22,3 B posts
- 11. Broncos 29,3 B posts
- 12. Paige 18,1 B posts
- 13. WWIII 75,1 B posts
- 14. Ravens 84,4 B posts
- 15. Steelers 121 B posts
- 16. Bears 117 B posts
- 17. Shanahan 4.212 posts
- 18. #FTTB 4.381 posts
- 19. Packers 77,4 B posts
- 20. Lamar 34,1 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.