@Steinerjr7 Profile picture

STEINER

@Steinerjr7

StEiNeR-16

Similar User
Mustafa Shaikh photo

@Mustafa50704573

Colden breez Tz (cb updates) photo

@colden_breez

जन टाइम्स photo

@JanTimes_

Gaurav Patel (गौरव पटेल) photo

@GauravP80552173

मैं यूपी हूँ photo

@mainUPhun

Ravi Shankar Prasad दिव्यांगजन सामाजिक कार्यकर्ता photo

@RaviShankarPr18

askari zaidi photo

@askarizaidi9

Sandeep kushwaha photo

@sandeepkkushwa3

Neil Enkay photo

@neilenkay

Rishabh Samraat Dubey photo

@RishabhdubeyMP

NदीM photo

@NADEEMNADIR6

दीपक यादव 𓃗 。.。:∞♡*♥ photo

@DeepakY32921427

KIGALICIOUS photo

@Sunsanctus

Baki Naj photo

@baki_naj

Pinned

Wakati mwingine amani inakuhitaji ukae kimya hata kama uko sahihi.


Sikuizi siumii mtu bunda aking'olea Pisi..🤔🎵 Huwa naumia nikichanga harusi hafu nikiona unacheat ....🤫🎵 #TalkToMeNice ~Malume~

Tweet Image 1

STEINER Reposted

Deposit Tshs 45,000/= ama 4,500/= kampuni ya Sportybet. Zile odds zetu 103+ zipo tayari. Ukitia 45K unakula 4,700,000/= Ukitia 4.5K unakula 470,000/= Zinaanza leo hadi Jumapili mchana. Uhakika 100% 👉RETWEET HAPA UPEWE CODE MAPEMA 👉NAMBA YA WHATSAPP IPO PINNED POST

Tweet Image 1

STEINER Reposted

Mtu ambaye Comment yake haitopata LIKE(s) wala REPLY atajishindia Tshs 25,000/= kwenda Mtandao anaotaka. Mwisho wa kushiriki ni saa saba na nusu usiku huu. Vigezo 1. Hakikisha ume-retweet na kuweka comment

Tweet Image 1

STEINER Reposted

Weka CORRECT SCORE na namba ya simu. Comment ya mapema sana kuondoka na zawadi 🤝🏽 Report✌🏾

Tweet Image 1

Wakati Mwingine Ni Bora Mengine Tusiyafahamu.. Ili kulinda Furaha Ya moyo

Tweet Image 1

STEINER Reposted

Ukianza kujisikia vibaya kisa mwanamke wako hakutafuti mpaka wewe umtafute.. Ni dalili moja wapo kwamba hauna mishe za kufanya, tafuta mishe za kufanya kaka.


Fisi akitaka kuwala wanae Hashindwi kuwasingizia wana harufu y mbuzi😅😅


Tunaenda na wale tu waliochagua kwenda na Sisi. Maana mapito yetu ni yao pia. Na furaha yetu ni yao vilevile.


STEINER Reposted

Mtu Mwenye Majivuno Hawezi Kumshukuru Mungu ,Huamini Mafanikio Yake Ni Haki Yake.


STEINER Reposted

Cheating ni kwa watoto wa matajiri tu, Wewe unachokifanya ni umalaya.


STEINER Reposted

Ukimpenda mtu zaidi ya anavyostahili, atakuumiza zaidi ya unavyostahili


STEINER Reposted

📍TRENI LA "OVER 0.5" LINATEMBEA HADI JUMAPILI LIKO TAYARI 💰 📍ODDS 6.6K, MECHI 60✅️. Hili ni kwa WANAOLITAKA TU 📍KAMA UNALITAKA RETWEET HAPO CHINI NIKUONE NIKUPE CODE BURE 💰

Tweet Image 1

STEINER Reposted

Ni kweli kabisa mapenzi bila pesa ni magumu mno. Kuna mda unajikuta anaomba msamaha hata kama hujatenda kosa.


STEINER Reposted

Usimlazimishe mtu abaki kama dhamira yake ilikuwa ni kuondoka mwache aende kwasababu huwezi kujitetea zaidi ya kusema neno samahani.


STEINER Reposted

Ukishagundua msiba ni wako ila mazishi ni yetu, Hapo ndipo utaelewa Upendo ni Bora kuliko Chuki.


STEINER Reposted

Usimuombe mwanaume wako kitu ambacho kwa uwezo au hali yake hana uwezo nacho kabisa. Utamtesa kiakili na kumfanya awe na msongo wa mawazo. Mfariji na mtie moyo pale anapouhisi ugumu sio kumsema kwa ubaya na kumdhihaki.


STEINER Reposted

Ukienda ukweni jifanye umeenda chooni Halafu uache simu juu ya meza iki record. Eniwei sio kila kitu hadi mfundishwe.


STEINER Reposted

Serikali inaziwinda hela kutoka kwako, Na wewe unawinda hela kutoka kwa serikali, ili utoboe ni kuendelea kumshawishi Mungu awe upande wako tu.


STEINER Reposted

Kutembea peku sio ujinga ni kujua unapo kwenda kuna usalama mwingi kuliko matatizo.


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.