Similar User
@Joel54John
@heri_hoza
@HajiMnasiPhD
Nikiongoza matembezi ya kumbukizi miaka 25 kumuenzi Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere tangu afariki Dunia.
2 Timotheo 1:7 Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali ya nguvu na ya upendo na ya moyo wa kiasi.
Muombe Mungu uishi kama Kitunguu ili kila Watu wakikukata wewe, walie wao
Raha tupu baada ya umeme kuwashwa kwa mara ya kwanza. @SuluhuSamia @ikulumawasliano @ccm_tanzania @nchimbie
Siku ya Ijumaa iliyopita nilifanya mkutano wa kusikiliza na kutatua kero ambapo Wananchi walinipa kilio chao cha kukosa umeme, niliwahaidi kutatua changamoto hiyo. Siku 3 baadaye nilienda kushuhudia umeme ukiwashwa kwa mara ya kwanza Kijijini hapo toka Dunia iumbwe
Nawatakia Kila la heri na mtihani mwema wa Taifa Wanafunzi wote wa Darasa la saba. Wakawe vichwa kwenye matokeo yao
Niliwatembelea Wanafunzi Darasa la saba kuona maandalizi yao kuelekea mtihani wa Taifa na pia kuongea nao, kuwasihi wafanye vizuri mitihani yao, walinihaidi Watafaulu vyema. Niliambata na Kamati ya Usalama (KU)
"Kila nilipokua nikitaka kung'atuka, walikuwa wakiniambia Mwalimu endelea tu, hii nchi ni changa na umeitoa mbali sana! Nchi hii haitaendelea bila wewe. Nami niliiendelea hadi pale nilipokuja kugundua Kumbe nchi changa walioiongelea ni familia zao na hazitaendelea bila mimi"- JK
Nilipata wasaa kuwatembelea, kuwapa pole na faraja baada ya kupatwa na janga la moto kuunguza nyumba 2, jiko Moja.
United States Trends
- 1. Cowboys 70,4 B posts
- 2. soobin 77,3 B posts
- 3. Clippers 11,3 B posts
- 4. Norman Powell 1.992 posts
- 5. Jerry 42,6 B posts
- 6. Texans 54 B posts
- 7. Cooper Rush 11,8 B posts
- 8. Mike McCarthy 3.263 posts
- 9. sabrina 109 B posts
- 10. Joe Mixon 10,6 B posts
- 11. Lindy 3.640 posts
- 12. Trey Lance 3.207 posts
- 13. Dyson Daniels 2.794 posts
- 14. Keon Ellis 1.702 posts
- 15. Herta 38,7 B posts
- 16. Harden 18,6 B posts
- 17. #AskShadow 7.274 posts
- 18. Podz 1.483 posts
- 19. #WWERaw 63,5 B posts
- 20. KADOKAWA 25,4 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.