@Shayo4Shayo Profile picture

Mr happy JR

@Shayo4Shayo

let's make people to love JESUS

Joined November 2022
Similar User
Breaking News photo

@ElijahKiramana

Raymond Dart(Mr Dart) photo

@RaymondMukazika

رانــ Ronaــيا 🇵🇸 photo

@Ron1907a

محمد اسلام photo

@7ambolae

Caitlyn🥹🫂❤️ photo

@itz_steve09

‏᷂اليتيمه photo

@fooii0

JPEGMAFIA photo

@Gaddafff

Raymond Kulwa photo

@RaymondKulwa

ثٓ photo

@_9jox

🔥هيوف👑 photo

@hywf049

Просто Мiкола photo

@ProstoMikola

صدقه جاريه عن نجمه خلف العنزي photo

@najma720

Islam_Swalha707 photo

@ibs707

Nirved Gupta photo

@NirvedGupta

K.k.k. photo

@1Bsm30256477

Mr happy JR Reposted

Hizo ni fikra zetu sisi wanadamu. Kwa MUNGU ni tofauti kabisa, na huwenda sisi huku tunaomsakama tuna madudu kumzidi hata yeye😄

🗣️😂✍️Mtu unawaza mbona umeme shida + mvua Adi keloo + maokoto ayasomi 😂 Kumbe makanisa yetu yanapokea vitu vya ajabu

Tweet Image 1


Mr happy JR Reposted

Ahsanteni sana. Mungu awabariki.

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Alaf ngoja niwachane nyie watu wa mention Kwann mnatabia mbaya? Kwann baada ya mention mnapotea woote mtu hata akiomba rt hapati kisa sio mda wa mention? Badirikeni😂😂😂😂


Mr happy JR Reposted

Kuna watu wanakuchokoza MAKUSUDI ili UONGEE NENO ambalo watalitumia baadaye KINYUME chako. Uwe makini sana UNACHOONGEA wakikuchokoza, wengi wao huwa wanaweza rekodi Ya kila unachoongea ili kesho WATUMIE MANENO yako KUKUMALIZA KABISA. Be Smart! See You At The Top


Mr happy JR Reposted

Kati ya watu hatari kudeal nao kwenye maisha ni wale ambao hupenda “Excessive Admiration&Attention”; Yaani wanataka kila saa UWASIFIE na UWAONYESHE wao ni wa muhimu. Hatari yao ni kuwa, huwa HAWAJALI kabisa HISIA za wengine. Wenyewe wanataka kwenye mambo yao UWE MSTARI wa mbele…


Mr happy JR Reposted

"Huwezi kuwazuia binadamu kusema. Wasiposema upenuni watasema sirini." ~Togolani Mavura.

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

I feel this song in my spirit🔥


Mr happy JR Reposted

Janaa

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Happy Birthday To Me 🎉🎁🙏+1💙

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Kila mtu kwenye biashara atafanikiwa ila endapo tu ataweza kustay long in a business, kuwa flexible na kuweza kuadapt na reality. Ni statment ngumu kumeza ila soma huu uzi alafu utanielewa

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Kama Umefikisha Miaka 20, Soma Hii Kabla Hujachelewa. Zingatia haya ili kujenga kesho yako! Repost Wote Tujifunze! 1. Siku ukitamani ku-quit jiulize kwanini ulianza. Usikubali kukata tamaa kizembe. Keep pushing - Mengi mazuri yako mbele. Never quit, unless there is something…

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Usiruhusu Mke au Mtoto wake wa kike apige picha na Mbowe.

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Haya wale ndugu zangu chini ya 1k mda wenu ndio sasa, kabla Elon hajanifungia Hata kama nilikua nimeshakumention nakurudiaaa tenaaaa mpaka tufike 1k


Mr happy JR Reposted

Haya Round ya pili Weka emoj rt follow wenzako na wao watakufollow back leo watu ni wengi🥺 Kama bado qt rt


Mr happy JR Reposted

Kwa namna nimeumizwa moyo wangu aah nyie sitaki tenaaa🙌

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

YOU CAN'T ATTRACT WHAT YOU ATTACK 🧠 Ikiwa kila ukiona watu waliozichanga unahisi maumivu, kuna shida mahali. Kama kila ukiona kijana ametusua, unamsema vibaya, jitafakari. Ikiwa furaha yako ni kuona wote mpo kwenye ufukara na hakuna anayejiokoa, jitafakari. Ukiona kila…

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

Siku uliyozaliwa imebeba hatma ya maisha yako yote hapa duniani. Kuwa makini. ~Mwl Mwakasege.


Mr happy JR Reposted

Unaweza kuwa unafanya matangazo sana lakini hupati wateja Kumbe tatizo ni KUTOJUA MBINU NA NJIA SAHIHI (CHANNEL) ZA KUFANYA MATANGAZO ZA KUFIKIA WALENGWA Zijue MBINU MUHIMU na namna bora ya kuchagua CHANNEL sahihi ya matangazo ya bidhaa zako. Ilikufikia walengwa 🧵👇🏾

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

SIRI 7 ZA KUFANIKIWA KWENYE JAMBO LOLOTE 🧠 Repost Iwafikie Wana #TUISHIHUMO 1. Kataa kuishi na waliokata tamaa. Ukizungukwa na walalamikaji na wewe unakuwa mlalamikaji. Watu wanaokuzunguka wanapanda mbegu kwenye maisha yako. Unakuwa wastani wa watu 5 unaokuwa nao kila siku.…

Tweet Image 1

Mr happy JR Reposted

PESA SIO KILA KITU 😄 We acha bhana, Kudeal na matatizo mengi lazima utahitaji pesa. Pesa sio kila kitu, lakini mambo mengi yataisha kisa pesa. Mara nyingi kushughulikia jambo, ni kusaka pesa na kuclear. Ukiwa na pesa matatizo mengi yanatatulika. Wakati mwingine, pesa…


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.