Similar User
@dconscious3
@Jonatha56849049
@myonga_mussa
@HonestSeraphin1
Khaaaaa!😳, Nyie majobless wabunifu kuliko wanavyuo aisee hapa nimemkuta mwenzetu mmoja anakula mihogo na Supu ya Parachichi, nimesema Supu sio juice🌚
Tax Bases; Income-income tax Consumption-VAT Assets-capital gain How about Solidarity 🤷!?
Alafu Kuna siku itakuja kutokea tukatangaziwa kwamba wameziondoa hizi tozo, na tutapiga makofi na kuwashangilia as if wamefanya Jambo la kishujaa, na kwa uzembe wetu tutawaamini na kuwapa kura Tena😢😢
Mambo kumi (10) muhimu ya kuwa nayo makini kabla ya kuingia kwenye ndoa: 1. Sherehe ya harusi ni ya siku moja, ndoa ni ya maisha yote 2. Upole na ukimya si kiashiria cha tabia njema 3. Bora uishi mwenyewe kuliko kuoa au kuolewa na mtu asiye sahihi
Alafu huenda kila kitu ambacho watu wanatufanyiaga huwa wanafanya kwa interest zao but kibinadamu tukaamua kwamba Mambo mabaya tu ndio yawe😢
Kama hauwezi kumpongeza anayestahili kushinda Basi ujue wewe haustahili kuwepo kwenye list ya washindani.
Tunawashukuru Sana wanaotupa moyo na kutusuport katika kipindi kigumu na hatuwalaumu wote ambao wametutapika na kutukataa kwa sababu ya Hali zetu, kwani hata sisi wenyewe hatukubali Hali hizi ndio maana hatuachi kujituma✊
Ulimwengu uliumbwa Safi bila pesa, lakin hii pesa ikaja kuchafua ulimwengu kiasi kwamba kila aliyetoa bure akaona dili, tukaanza kuringiana mwisho wa siku kilimo Cha matango🥒🍆 kikawa dili na viwanda vya sabuni vikaongezeka😢😢
Tunafahamu kwamba tupo pamoja na wapenzi wetu kwakuwa tu hatuna mazoea na marafiki zao (tunashindwa kujua mengi), Lakin sio kesi siku, mda na wakati utaamua
Ukweli unaoweza kutukera ni kwamba kila mtu huwa anaamini kila kitu kitapita lakin hii huwa tunaielekeza zaidi kwenye kipindi kigumu, ila inapofika kipindi Cha kusherehekea huwa tunajisahaulisha kwamba nacho kitapita na huenda ndicho ambacho huwa kinatugharimu baada ya apo.
Thamani yako ni kubwa kuliko Ile matatizo yako yote, endelea kujiheshimu na kujali harakati zako.
Hakuna aliyezaliwa nacho lakin Kuna waliovikuta. Tuamke Sasa tukaendelee kuforce
Kinachofanya mtu apotee njiapanda ni kutokujua au kukosa uhakika na anapokwenda. Nadhani vijana wenzangu ambao bado hatujaoa/olewa tunaelewana
Kujifanya mjanja kila mahali, kwa kila kitu, ni ushamba kuliko, Ushamba wenyewe 🥴🥴
Ivi kwanini neno Danga, lilitaka kufanana na neno Danganya, au kwakuwa zote ni aina za upigwaji🤔?
Ivi wanaume ambao hawana nguvu za kiume wananguvu za kivipi!?🤔🤔
Ivi ni kufeki live au kuangaliana kwa wasiwasi ndo kunafanyaga tunaachana baada ya kuzoeana😢😢, maana mwanzoni mnaitana Beiby Kila baada ya dakika 10 but baada ya wiki10 Kila mtu na lake
Hizi Gates mbili zinazokiki zisitupoteze vijana,hela bado zina umuhimu mkubwa kwenye mapenzi tukumbuke hata demand ina kitu inaitwa "exceptional demand" na hii ndo imetokea kwa Bill Gate.
Huwezi kuwa tajiri kwa kujibana kimatumizi, utajiri unaenda sambamba na investment Funzo: Mwanachuo kula boom ukimaliza chuo utakuwa na mda wa kuhustle.
Just imagine love is blind but iko inatutesa vibaya mnoo, je ndo ingekuwa inaona si tungekufa wotee😄😄
United States Trends
- 1. #AskFFT N/A
- 2. Good Sunday 67,4 B posts
- 3. Southampton 38 B posts
- 4. #SOULIV 15,1 B posts
- 5. #AskZB N/A
- 6. Michael Oliver 1.650 posts
- 7. #RollWithUs N/A
- 8. #sundayvibes 7.791 posts
- 9. Chuck Woolery 12,4 B posts
- 10. Robertson 10,5 B posts
- 11. Geraldo 4.381 posts
- 12. Robbo 2.263 posts
- 13. Bannister 1.376 posts
- 14. Konate 3.122 posts
- 15. Liverpool 103 B posts
- 16. Rachel Maddow 26,4 B posts
- 17. Love Connection 6.138 posts
- 18. Wheel of Fortune 5.122 posts
- 19. King of the Universe 2.233 posts
- 20. $RWA 13,7 B posts
Something went wrong.
Something went wrong.