Samsoni Kishako
@SKishakobaba mwenye majukumu kishenzi 😇Matthew en belicia😘
Similar User
@adelid377856968
@Chaxmark27Mark
@AnnipherC36284
@naunje_mat25789
@FredyAmoss27077
@gifturio85
@Charles80387633
@NjauFamily83843
Kununua hii inabidi ufanye kazi gani😂💔
UNATAKA KUANZISHA BIASHARA YA KUUZA DAWA ZA BINADAMU NA HUJUI UANZIE WAPI? TARATIBU ZA KISHERIA ZIKOJE? JIFUNZE KISHERIA NAMNA YA KUFUNGUA BIASHARA YA PHARMACY NA UKA RUN BILA MASHAKA. _MAOMBI _ GHARAMA _FINES/KIFUNGO👇
“Kuna Miss Tanzania mmoja ni maarufu sana anatumia sana aina ya madawa ya kulevya yaliyomuua Mangwea. Lakini kuna Mtangazaji mmoja mnampenda sana na huyo ndiye amesababisha wasanii wengi wamekuwa mashog@” — Chidy Benz
Huyu ng'ombe ana maisha mazuri kushinda hata ya huku wana x
Haichukui nafasi ya Daktari lakini inatoa wazo zuri ya kile unachoweza kupitia.😅
barnaba na ex wake katika mahafali ya mtoto wao steve ambayo na raya mke wa sasa wa barnaba amehudhuria pia mama steve na yeye alishaolewa kwingine muda mrefu. wewe utaweza hii? 😁😁
Wasukuma reli wanavyoangalia hii post mda huu😂😂😂
Hapo kwenye uzazi ni penyewe aisee Siku hizi kuanza clinic ni 60,000 halafu eti mjamzito bure🥹🥹 Mjazito kila akienda clinic aende na 5000,yaan siku hizi ukiwa huna pesa usiende hospital za gov kwa kigezo cha bure Yaan mtu unaomba watoto wako wasiugue
Mh, Hii Poist inaumiza hisia. Point to Note ✍️ "Nchi nzima ikiingia barabarani tarehe 23 polisi wenyewe watafurahi kimoyomoyo" "bila maandamano makubwa hakuna kitachokaaa kubadilika kwenye maisha" "bila maandamano nchi nzima mtajikuta mnakuwa wafanyabiashara na huku hakuna…
Nimeisha jipigia ki bao changu kimoja hapa tumbo linawaka moto
Watu wengi wananisifia kuwa ni bora siku hizi namkosoa Samia bila matusi. . Nyie watu mnaosema hivyo sijui mnawaza nini? Hivi mnadhani huwa nakosoa serikali kwa matusi sababu mi chizi au vipi? Huwa nakosoa kwa matusi sababu that’s the only way ya kukosolewa CCM huwa wanaelewa……
Mke wa mwijaku ndo bye bye au ndo walikuwa wanataniana ubaya ubwela
Mark Angel where are you in the picture. Lagos comment with a ♥ id you are in Lagos
"Mimi sasa hivi ukitaka kuongea na mimi usiniite kwenye vibao/vikao kata huko mtaani sijui kwenye visherehe vya hovyo, niite Ngorongoro au Mikumi huko kwenye sehemu za maana tukazungumze. Nimejitambua mimi ndiye Angelina Jolie wa Bongo "- Wema Sepetu.
Ulisha wahi kujiuliza baba mwenye nyumba yako muda huu anafanya nini? Au ndo kaamkia bar
United States Trends
- 1. DeSantis 36 B posts
- 2. Pete 312 B posts
- 3. Jokic 12,8 B posts
- 4. Kerr 7.414 posts
- 5. Mavs 12,7 B posts
- 6. Podz 3.462 posts
- 7. Clemson 25,3 B posts
- 8. Wiggins 2.820 posts
- 9. XDefiant 18,9 B posts
- 10. Nuggets 17,2 B posts
- 11. Brea 2.720 posts
- 12. Jamal Murray 1.555 posts
- 13. Kentucky 19,3 B posts
- 14. #SpotifyWrapped2024 6.931 posts
- 15. azealia 4.508 posts
- 16. Kuminga 2.384 posts
- 17. Marcus Smart 2.720 posts
- 18. NBA Cup 15,6 B posts
- 19. #MFFL 4.209 posts
- 20. SecDef 9.058 posts
Something went wrong.
Something went wrong.