R² Sembeta
@RiteiRingaAll who have accomplished great things have had a great aim, have fixed their gaze on a goal which was high, one which sometimes seemed impossible.
Similar User
@lonjumuya
@Magisa96929511
@AlakaraJr
@loserian_maoi
@LazaroRotiken
@megolikimoko1
@LPalalet
@parmundoro
@nkonkatmo
@EzekielFaraay
@LeringaH
Mzee anaitwa nani tumtumie AFUTATU? Ukimsikia mtu anasema CCM bado ina mvuto kwa umma, fahamu huyo anatumia dawa za kulevya...
Tangu @SuluhuSamia aingie madarakani, uporaji wa ardhi ya wananchi imepindukia kuliko wakati mwingine wowote. Sehemu pekee salama ni Zanzibar Wakati wa @MagufuliJP, Kanda ya ziwa ilipata upendeleo wa miradi ya maendeleo kuliko sehemu yeyote nchi hii hasa Wilaya ya Chato
Wazungu wanatu-treat hovyo sana,Wenyewe wakija huku tunawatetemekea
Utendaji kazi wa marais hawa Retweet kwa Hichilema, au like kwa Samia....Tuanze kupiga kura.
Miaka mitano iliyopita leo in 2017 @TunduALissu survived a heinous attack Ni Mungu tu mwamuzi wa yote! Waovu madhalimu waliyohusika kutaka kuchukua uhai wake wataondoka kwanza 🙏🏽 Walaaniwe! Today we celebrate you Lissu - tunakuombea maisha marefu #TunduLissuDay #LongLissu
Ukatoa lakiri ndiposa barua isomwe na asiyehusika, ukaondoa laka ndiposa sanduku likafunguliwa na asiyehusika, chuoni hujafanya vizuri umerudi na himila, umewatweza wazazi wako. Nayeyuka
Simama tisti, usisimame dede, wewe si tu shibli bali wewe ni simba buka ikiwa utasadiki. nayeyuka
Nachelea kusema hewala!, -Ujumbe umfikie Mwanazuoni @MabalaMakengeza
Rajamu, Mtanziko, Mtule, Mhafidhina,
Mh Rais nakusalimu.Pole na kazi. Umezungukwa na wapigaji,do not give them a good smile,una waita WANANGU, lakini hawakuoni MAMA yao.Wizi, rushwa,njaa umasikini,dharau na uonevu vina kwenda kuingiza watu barabarani. Wameanza kufikiri pesa za urais 2025/2030.Hifadhi hii meseji.
Ni kicheko taanusi mhadhiri anapopata sabatiko, ni kicheko bojobojo mwana anapoona titi la nina, ni kicheko tumbitumbi baharia anapopata halasa, ni kicheko belele mkulima anapopata mtamba na liweya, ni kicheko biwibiwi biharusi anapopata ukonavi, wewe kijulanga unachekea nini?
Anza kusema, Kiswahili ni lugha AKRAMA.
It’s important to #StandWithTheMaasai as they face government pressure to leave their ancestral home in Ngorongoro, and have been evicted by force in Loliondo by illegal land grab through purported conservation #StopMaasaiEviction #StopMaasaiLandGrabbing
Wakili msomi Peter Kibatala amejitolea kumtetea Jonas Afumisye Mwangunga aliefukuzwa kazi na shirika la TRC kwa kupinga TOZO, wakili Kibatala amesema endapo Jonas atakwenda Mahakamani kutafuta haki yake yeye yupo tayari kumtetea bure. #Retweet za heshima Kibatala.
Mpwa wenu Ally Hepi kimeumana huko. Hata hivyo hakuwa na sifa zozote za kuwa RC. Ni vile hii nchi wahuni wanazawadiwa hadhi ya uheshimiwa. Poor Guy!
United States Trends
- 1. Carti 36,5 B posts
- 2. Sam Howell 5.772 posts
- 3. Geno 17,3 B posts
- 4. Packers 54 B posts
- 5. Seahawks 34 B posts
- 6. #GoPackGo 9.419 posts
- 7. Klay 11,4 B posts
- 8. #BaddiesMidwest 11,5 B posts
- 9. #YellowstoneTV 7.617 posts
- 10. Seattle 20,5 B posts
- 11. Mavs 9.596 posts
- 12. Mona Lisa 29,5 B posts
- 13. Hazuki 8.821 posts
- 14. Romeo Doubs 3.254 posts
- 15. #njSSE 11 B posts
- 16. Weeknd 13,2 B posts
- 17. Josh Allen 52,5 B posts
- 18. Grizzlies 6.400 posts
- 19. #GBvsSEA 8.665 posts
- 20. Lions 117 B posts
Who to follow
Something went wrong.
Something went wrong.