Mr. DC.
@Raphael53494775Be african@ 🔙 to africa, @Welcome again to Africa. mean Be u, Don't fake Brothers.& sisters
Similar User
@R00DGERS
@LubonaJr
@thedoni3
@SunguDickson
@MAJANI_MASHA004
@Erick_GalaxyKey
@SalumSl0
@kasubiwilliam
@The___Bro
@mangwindajr_
@EWaitare
@Iddy47
@WazaelAS
@stimaah
@_Marcelgodfrey
Nimepoteza pesa Nyingi sana. Bado nimeumizwa na kufuzu HUKU. Siku iishe hii.
Kinachoniuma sio hela inayopotea kwenye mkeka. Ni kupeleka UMAMA AFCON.😡
Wanachama wa Chadema Kinondoni wameweka kambi njee ya ofisi ya Halmashauri ya Kinondon kushinikiza majina ya wagombea wote wa mitaa warejeshwe.
Raisi wa mioyo ya Watanzania, Kiboko ya WAHUNI na MADHULMATI.... The 7th🇹🇿
Wagombea wa Chadema walioenguliwa Kinondoni wakiwa njiani kuelekea ofisi ya DAS kuhoji sababu za kuenguliwa kwao ! Polisi wamewazuia njiani .
Huku Berege, Mpwapwa Majeshi yalitumika kuja kuwaondoa wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi na familia zao baada ya uhuni wao. Toka tar. 10/11 hadi leo hawajarudishwa. Kama walitenda haki kwanini wamekimbizwa? Tunawasubiri kwenye vituo vyao vya kazi. Msumari utatokea ulipoingilia.
Ndugu yetu katika haki @Mwabuk2Boniface Raisi wa TLS salaam Nakumbuka katika mazungumzo yako sisi wagombea wa serikali za mitaa uli tu ahidi tungepata msaada wa kisheria kwa mfano mimi na wenzangu tume katwa licha ya kupambana kukata rufaa hatujui tufanye nini Msaada plz
Polisi wameacha zoezi la uokoaji linaloendelea kariakoo na sasa wamejazana manispaa ya kinondoni kuwazuia wagombea wa CHADEMA waliokuja kufuatilia rufaa zao ili warejeshwe kugombea
SAFARI HII HATUJITOI KWENYE UCHAGUZI - MBOWE "Unakuja kumfunga mwenzako kamba asiweze kupigana halafu unajigamba bila aibu kuwa umeshinda kwa 100% wakati dunia nzima inaona umeengua wagombea wa upinzani... Ni uhuni" Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe
Mama amewalipia viingilio mkaangalie mpira uwanjani lakini Serikali yake imetoa akaunti mchangie pesa wahanga wa Kariakoo. Imekaa vizuri. Tumpongeze mheshimiwa mama.👏
‼️THIS IS GETTING OUT OF HAND‼️ Abductions #Tanzania A young woman who is house help was walking back after shopping! Three men on a motorcycle jumped her and tried to drive away with her but she was saved by bystanders Jamani tulindane maana kwa sasa hakuna utawala wa kisheria…
"Saturn" by Sleeping At Last (Official Lyric Video) youtu.be/9wRjbBd-_io?si… via @YouTube Sijui kama bado huko HAI mdogo wangu . Moyo wangu una wasiwasi Sana.
Mwandishi; pole sana. Je, una lolote la kusema kuhusu ajali hii mbaya kabisa? Majeruhi; kwanza kabisa napenda kumshukuru mama na serikali yake kwa ujumla.
“Kesho yako ni matokeo ya maamuzi unayofanya leo. Kama unataka maisha yako yabadilike, jifunze kuchukua maamuzi bora sasa.”
Hatukuhitaji siku tatu (and counting) kuokoa uhai wa watu waliofukiwa Kariakoo. Na bado kuna watu wamefukiwa hadi sasa. Uzembe, ukatili kupitiliza. Mungu awasaidie wahanga waliosalia.
KWA HESHIMA YA MWENYEKITI NAOMBA REPOST 400.🫡✌🏾
United States Trends
- 1. Joe Douglas 8.670 posts
- 2. #OnlyKash 20,4 B posts
- 3. Jaguar 39,5 B posts
- 4. Maxey 11,6 B posts
- 5. Embiid 19,9 B posts
- 6. Rodgers 11,4 B posts
- 7. Jets 40,1 B posts
- 8. Woody 14,3 B posts
- 9. Nancy Mace 52,1 B posts
- 10. $CUTO 8.347 posts
- 11. #HMGxCODsweeps N/A
- 12. Ukraine 963 B posts
- 13. How to Train Your Dragon 33,6 B posts
- 14. Toothless 13,2 B posts
- 15. Merchan 26,1 B posts
- 16. Cenk 10,2 B posts
- 17. Sarah McBride 47,9 B posts
- 18. Zach Wilson 1.500 posts
- 19. Sony 71,6 B posts
- 20. WWIII 166 B posts
Who to follow
-
MJUKUU
@R00DGERS -
D E E 🇹🇿
@LubonaJr -
mjukuu🇧🇪
@thedoni3 -
Dr. Kidy
@SunguDickson -
THE LIFE OF MAJANI004
@MAJANI_MASHA004 -
Erick Key 🗝️
@Erick_GalaxyKey -
Salum S.
@SalumSl0 -
KASUBI
@kasubiwilliam -
Mkumba
@The___Bro -
mangwindajr
@mangwindajr_ -
Emmanuel
@EWaitare -
iddy47
@Iddy47 -
Proud🇹🇿
@WazaelAS -
STIMAAH
@stimaah -
Marcel
@_Marcelgodfrey
Something went wrong.
Something went wrong.