@Officer_52 Profile picture

Officer🏷

@Officer_52

#chelsea die hard fan, Academics Writer, Microsoft excel &Power Point Master Destiny is all.........................

Joined November 2021
Similar User
haxo photo

@haxo_runaz

Officer🏷 Reposted

YouTube is Free Education. Top 10 channels that teach more in 2024 than a 4-year degree: [🔖 Bookmark for later]

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

INASHANGAZA sana KUONA wale wanaotaka kupewa kipaza sauti HURU cha kuusema UKWELI huru dhidi ya serikali wanayoichukia, ndio hao hao ambao hawako tayari kabisa kuona watu wengine wakitumia kipaza sauti hicho hicho, katika kuonya na kukanya kwa UHURU mienendo MIBOVU ambayo wao…


Officer🏷 Reposted

Leo nilikuwa najiuliza hivi Tabora United ni hawa hawa au ni Azam wamechanganyikana na Simba kutushambulia Yanga 🤔

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

KOLABO BORA ZA UJIRANI MWEMA ( TZ vs EA artists)📍 1▪︎ NITAFANYA ( Jide x kidumu) 2▪︎USIENDE MBALI ( Bushoke×JULIANA) 3▪︎KIATU KIVUE ( Rose muhando X Anastazia mukabwa) 4▪︎ BINADAMU ( AY x Kiria) 5▪︎ NDIVYO SIVYO Rmx ( Prof jay x chameleon) 6▪︎ WANAONA HAYA (…


Officer🏷 Reposted

#TajiriLaKihaya Moja ya dalili za mtu kuwa na UTIMAMU wa AKILI… Ni kuwa na uwezo wa kuchangia KILA MADA itakayo Trend kwenye Jamii… By either kuunga mkono au kulikemea kama ni baya! Kama wewe hauna uwezo huo… tambua Tatizo ni lako binafsi na sio vinginevyo! Kuwapondea…


Officer🏷 Reposted

Bongo hakuna kipindi chenye thamani ya juu zaidi ya POWER_BREAKFAST.... HAKUNA HAKUNA HAKUNA 👊🏾🔥

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

#TajiriLaKihaya A relaxed Wednesday, dressed sharply as always, my Belly draws women's attention from every corner, but my focus remains intact. I refuse to let women take advantage of me.

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

Kitakachokufanya Uwe Rijali sio kingine Zaidi ya KEGELS na “UBIDA” Usitumie Boosters wala Kingine zaidi ya Vyakula Asilia na Viwili hapo juu, Uzi 🧵 Shuka Nao 👇

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

Officer🏷 Reposted

Tz kuna zaidi ya benki 40 Benki hizo zumekua categorized kwenye makund mbalimbal kama ifuatavyo ♤Cormecial banks ♤Community Banks ♤Microfinance Banks ♤Development Banks etc Kuna vitu vya kuvijua Uzi 🧵

Tweet Image 1

Hivi kwenye Vikings kuna Shield maiden alikuwa anatembeza panga kumzidi Ragertha?. Binafsi kifo chake kiliniuma. Maneno ya mwisho anamwambia Bjorn "Kattegart is your home, you must protect your home, your family, remember you're a true viking"

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

HALIJAWAI KUWAPO TAIFA LINALOITWA PALESTINA! NI HAKI YA WA ISRAEL KUKOMBOA ARDHI YAO! Kama hujapita shule au kufuatilia historia huwezi Jua haya 1. Kabla ya Taifa Kuundwa Upya na kuitwa Israel (1948) Lilikuwapo Taifa linaitwa British mandate yaan eneo Lilikuwa chini ya…

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

Usipoteze fedha zako bure! Mwongozo wa maswali muhimu kabla ya kununua ardhi/Nyumba Tanzania. Je, ardhi unayonunua ni halali? Maswali 10 ya msingi kwa wanunuzi wa ardhi Tanzania. Narudia tena kutojua sheria si utetezi, yani huwezi kusema niliibiwa au kutapeliwa kwa sababu…

Tweet Image 1

Officer🏷 Reposted

Mumama una miaka 30 alafu bado unasema kabisa eti "nina levo zangu" bila hata Aibu 😂😂🚮


Officer🏷 Reposted

Kunae gap la Laini tatu za uwakala kwa mwanangu. 1. Vodacom 2. Halotel na 3. Airtel. Pamoja na banda lake la chuma ambalo ni movable, vinatoka kwa 500k hapa Mpanda. Nawaza kupita navyo lakini wasi wasi ni je hela itatoka? Na nani atasimamia hapo💔


Officer🏷 Reposted

🚀 Build your crypto empire with Dropee & @Ledger! We’ve partnered with Ledger to bring you exclusive rewards! Buy a Ledger wallet via our Quest Section and get Dropee Points & free spins! 🎉 But that’s not all, we also have something special lined up for Black Friday! Stay…


Officer🏷 Reposted

Mwenyekiti wa CHADEMA - Kanda ya Pwani na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Boniface Jacob, leo, Oktoba 12, 2024 ameongoza kikao cha Kamati Tendaji ya Kanda ya Pwani kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe kuwa Mwenyekiti na wajumbe wa Baraza la Uongozi Kanda ya Pwani.

Tweet Image 1
Tweet Image 2

Officer🏷 Reposted

Watanzania kwa ujumla ni very lenient people! Wachunguze watanzania, utabaini. Lenient people are tolerant, merciful, and not overly strict. Watanzania. Wakati mfumo wa vyama vingi vya siasa unarejeshwa mwaka 1992, Mchungaji Christopher Mtikila aliitisha mkutano mkubwa pale…


Officer🏷 Reposted

You're not grown until you know how to communicate, apologize, be truthful and accept accountability without blaming someone else.


Officer🏷 Reposted

#TajiriLaKihaya Leo nmejiandikisha kama Mpiga kura Serikali za mitaa…. Ila niseme tu ukweli sijaridhishwa na process nzima! Labda ni kwa kua hii ndio mara yangu ya kwanza kujiandikisha hizi chaguzi… maana nmeshiriki chaguzi mbili za UCHAGUZI MKUU… ila ya hizi serikali za…


Officer🏷 Reposted

Anyway weekend bado ndefu wacha nitafute miziki hata mitatu 😂😂

Tweet Image 1

United States Trends
Who to follow
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.