Similar User
@AnzayaJustus1
@hayfatx
@kamcheer
@Mbantujr
@mwajombestore1
@Damas04275751
@Im_mlali
@JamesJu44171686
@Michaelduma1000
@IlundeJack
@TiniBoy10
@deanimalfather
@MrEngeneer
@ThelastSay3
@ellybl22
Nchi imemshinda kwa vitendo
Nani anaandika kitabu kuhusu siasa za kifedhuli zinazoendelea nchini kwetu. Yaani watoto wetu waje wasome Ndugai alivyong'ang'ania wabunge wasio na Chama, viongozi wa upinzani wanavyobambikiwa kesi, kutekwa, kuteswa na kupotezwa... Vizazi vijavyo vije kusoma ufedhuli huu.
Askari namba H4323 D/C Msemwa ambaye ni shahidi wa leo wa Jamhuri, aliletwa tangu wiki iliyopita kuthibitisha kwamba Adamoo na Ligw’enya walipelekwa central DSM. Kimsingi Msemwa hajawahi hata kufanya kazi central. Yupo Oysterbay siku zote. Lakini ni ‘smart’ wakaamua kumtumia.
Tatizo kubwa Duniani ktk siku za usoni itakuwa ukame unao tokana na mabadiliko ya tabia Nchi. Ni ajabu kwa Tanzania kuendelea kuwekeza katika umeme wa maji.Tafakari mgao wa umeme uliopo sasa.Tanzania haiwezi kupata ufumbuzi wa maendeleo ikiwa CCM itaendelea kutawala.
Mnaishi kwa fadhira za Rais kupitia teuzi lazima mjikombe kama hamnazo
viongozi wa chini ukimtoa Rais ni viongozi wa hovyo sana imagine Rais kavaa nguo za jeshi tu wote wapo kwenye mitandao wanapost nadhani hii kidogo ndio tofauti yao na Makamba, mawaziri mpo hapo kwasababu ya uwezo wenu sio fadhira mnaboa sana hamna ubunifu kazi mapambio tu.
Kwenye taifa ambalo unaona wapinzani wameporwa uchaguzi,wakaumizwa, wakateswa na kupewa kesi za uongo na bado kukawa na amani basi ujue amani hiyo imeshikiliwa na wapinzani wenyewe na sio majeshi.Maana majeshi yanafundishwa kupigana vita na sio kupatanisha watu ili kuleta amani.
Nimejiridhisha na huu ni mtazamo wangu binafsi. Huyu Jaji HANA experience ya kutosha kusimamia hii kesi. Kuna mazingira tofauti unaona kabisa hapa Jaji HAJUI kinachoendelea. Kataa huyu Jaji aletwe mpya mwenye UZOEFU. Kesi ya UGAIDI ni NZITO mno ndugu zangu. Huyu Jaji HAPANA.
Tumekamatwa, tumetishwa, tumeteswa, tumefungwa, tumetekwa, tumepotezwa, tumepigwa risasi, tumefukuzwa kazi, tumetukanwa, hatujawahi kuogopa kusema kuhusu haki za kiraia, utawala bora wa sheria "We ah bad man, we don’t fear intimidation That’s why we sit top of the nation"🙌
Tunafahamu kwamba ‘kijana wa Bumbuli’ ndiye anachukua usukani wa digital branding ya Maza 2025. Tegemea kuona kivumbi cha 2015 IT Masaki kikirudi na new intakes (influenza). Ndiyo maana tunakuwa wakali sana kwa hawa watu wa ‘sifa za kimkakati’. Tutakabiliana tu, tushazoea vita!
Hii kesi Mbowe ANASHINDA. Mimi sio mahakama, sio mchawi, lkn sheria ina MAAJABU yake. Nina confidence hii sababu nimeona "MASHIMO" ambayo huko mbele Jamhuri haitaweza KUYAKWEPA. Mbowe hawezi kufungwa KIENYEJI namna hii. Narudia, HII KESI MBOWE ANASHINDA. Ni suala la muda tu.
Kibatala: BUNGE limetunga Sheria halafu Mahakama ikakiuka kwa umma hayo tu ni Madhara Kwa kuwa Mkataba wa Wananchi Kupitia BUNGE Umekiukwa... Na hiyo ndiyo Adversarial System.. Ni hayo tu Mheshimiwa Jaji....
Kwa namna USHAHIDI unaoletwa mahakamani ulivyopatikana, hii kesi inaweza kuwa na 'trial within a trial' hata 100. Kila hatua Jamhuri imekosea, kuanzia UKAMATAJI, UPEKUZI mpaka hapa tulipofikia. Mark my word: hii 'trial within a trial' haitakuwa ya MWISHO.
Kuna wakati Adv. @FrederickWakili alichapa kiingereza tupu cha Buckingham, sio Jaji au mawakili wa serikali hata waliweza kunyanyua mdomo na kusema 'objection'. Damu ilikuwa imechemka, lakini yote mliyapata, tulijitahidi kutafsiri accurately.. Rulling ya leo ilichefua watu sana.
Tukubali ukweli kuwa kuna ujinga (ignorance) mwingi sana kwenye jamii. Viongozi wajinga na wananchi wajinga. Ni kama ambapo @SuluhuSamia anasema ametoa au amekopa hela. Toka lini rais akatoa hela yake binafsi kwenye mradi? Au akakopa benki hela itumike kwenye mradi wa serikali?
Hati ya kukamatia/kuzuia mali (certificate of Seizure) ilikuwa ushahidi wa ASP Jumanne Malangahe ambaye ni shahidi wa 8 wa Jamhuri. Mawakili wa utetezi baada ya kupewa wathibitishe wakagundua Nyaraka ile imechukuliwa kwa nukuu za sheria ambazo hazipo Tanzania. Mtifuano ukaibuka!
Kama ambavyo ni kinyume cha sheria kwa rais @SuluhuSamia kutumia polisi kubambikiza wapinzani kesi, pia sheria hiyo hiyo haimruhusu rais kuingilia uhuru wa mahakama. Tuache kumwambia rais amuachie Mbowe. Badala yake tuseme mahakama imuachie Mbowe. Tuwe consistent!
Unasema ni muumini wa mazungumzo na maridhiano. Wapinzani wako wanakuomba mkutane mezani mzungumze na kutatua kero kadhaa, unawakwepa, unakutana na vijana na wanawake mwisho mpinzani wako anakamatwa, unakwenda kumtuhumu luningani mpinzani wako kufadhili ugaidi kwa laki 6. Aisee!
Muungwana akishika MPINI, havuti. Anaelewa POWER ya KWELI si kumtoa damu mwenzako bali POWER ni HEKIMA na KUJIZUIA (restraint). Mtu yeyote, hususan MPUMBAVU anaweza kutoa damu. Tunahitajia HEKIMA in the highest office not UBABE.
United States Trends
- 1. Good Wednesday 26,9 B posts
- 2. Jaguar 155 B posts
- 3. #wednesdayfeelings 1.786 posts
- 4. $TGT 2.212 posts
- 5. Hump Day 12,1 B posts
- 6. #BlankRecapSS2Ep6 72,3 B posts
- 7. FY REACT BLANK SS2EP6 72,3 B posts
- 8. Happy Hump 7.387 posts
- 9. #20Nov 3.806 posts
- 10. Hampton Inn 2.682 posts
- 11. #WednesdayMotivation 4.486 posts
- 12. #WednesdayWisdom N/A
- 13. $JEFFY 3.016 posts
- 14. Linda McMahon 54,1 B posts
- 15. Jay Leno 5.608 posts
- 16. Dalton Knecht 57,1 B posts
- 17. Bud Light 6.575 posts
- 18. Sonny 48,3 B posts
- 19. Delaware 19,6 B posts
- 20. Dorit 6.494 posts
Who to follow
-
Justus Anzaya 🇰🇪
@AnzayaJustus1 -
𝐇𝐚𝐲𝐟𝐚𝐭.
@hayfatx -
Kamcheer
@kamcheer -
Mbantu Jr.
@Mbantujr -
MWAJOMBE STORE
@mwajombestore1 -
Dr.DN
@Damas04275751 -
Hammy C
@Im_mlali -
James Julius
@JamesJu44171686 -
dumajr1295
@Michaelduma1000 -
RETICENT_JIG
@IlundeJack -
TINI BOY
@TiniBoy10 -
BABA
@deanimalfather -
Mr.Engeneer✳️
@MrEngeneer -
🇱ast 🇸ay 🇬🇺🇧🇩
@ThelastSay3 -
Dunga Mawe 𝕏
@ellybl22
Something went wrong.
Something went wrong.