@Nehemia_BM Profile picture

Nehemia Masagasi

@Nehemia_BM

Word Preceptor

Joined January 2024

When the TIME change, Also LIFE change ... Accept the process ... #process #Time

Tweet Image 1

Maisha hutengenezwa na mchakato, na bila mchakato hakuna maisha. ........nehemiabm.......

Tweet Image 1

Kesho yako anayo Mungu pekee yake.

Tweet Image 1

Weka imani yako kwa Mungu pekee yake ndiye mwenye kuweza mambo yaliuo makubwa na magumu kwako.

Tweet Image 1

Day 18 of 366 We walk on it @FreakyTheory @SeffSaid

Tweet Image 1

Maisha ya kesho huanza leo kwa kuyasahau mapungufu ya jana na kurekebisha leo ili kesho isirudie ya jana. We live on it🙏🙏😍☺️

Tweet Image 1

Sometimes ukimya huwa ni jibu kubwa kuliko kuongea maneno mengi yasiyokuwa na tija.

Tweet Image 1

Mungu akiwa upande wetu, ni nani aliye juu yetu? "FEAR OUT BECAUSE GOD IS ON YOUR SIDE"

Tweet Image 1

Usioe ili kufurahisha watu wanaokuzunguka kwani kesho yake utakapolia utakuwa pekee yako tuu. "Jifurahishe wewe mwenyewe itakusaidia mbele"

Tweet Image 1

Fact

Hakuna mwanaume bahili.,! Ila kuna mwanaume mpambanaji anay jaribu kujiwekeza kidogo anacho pata ili aje kua na maisha bora yeye pamoja na familia yake hapo baadae.. Hivyo bas tuvumilieni kwani tutapo fanikiwa vichwani mwetu hamtosahauliwa📌📌



God speaks to the children of men by all the kinds of wisdom, and, as in every will, so in every word, of God there is a counsel.

Tweet Image 1

United States Trends
Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.