@MwambeneVictor Profile picture

Victor Mwambene

@MwambeneVictor

Business & Financial Expert || Author 3 Books - Kanuni 20 za Fedha || Jinsi ya Kuanzisha na Kukuza Biashara || Nguvu ya Kujua, Bookseller. #Phone -0744126640

Similar User
HUNCHO photo

@huncho_smile

Adyan Foundation photo

@adyanfoundation

Mulastar photo

@Mulastar255

Green Rights Coalition 🌍 photo

@GreenRightsCo

JUSTICE photo

@CosmasSanga19

School of Mines and Geosciences (SoMG - UDSM) photo

@DarusoSoMG

Sonia for Climate Action photo

@soniaborrini

WACC América Latina photo

@ALWacc

Olomayani photo

@EndukaiEpapa

Fredy photo

@MwananguFuti2

sZn photo

@LeenkoZn_

Semu Msongole photo

@semu_msongole

Nkhumeleni photo

@nkhu_me

Johπson photo

@joksmart01

N Cassien photo

@NCassien1

Pinned

HELLO, Karibu katika Ukurasa wangu huu wa Twitter, Majina yangu naitwa Victor Mwambene nawasaidia katika mambo Makuu Mawili. 1. Kujenga Nidhamu ya Kuweka Akiba na Kudhibiti Fedha zisipotee. 2. Kuanzisha na Kukuza Biashara zao. Kwa Msaada zaidi Nipigie Kwa 0744126640.

Tweet Image 1

KUNA AINA KUBWA 4 ZA BIASHARA. 1. Professional Based Business - Biashara Kutoka na Taaluma Yako. 2. Talent based Business - Biashara kutokana na Kipaji chako. 3. Traditional Based Business - Mfano Kuuza Chipsi,Duka la Mangi, NK. 4. Broker based Business - Biashara ya Udalali.


Kuna aina kubwa 3 za Kipato kama ifuatavyo. 1. Active Income - Lazima uendelee Kufanya kazi ili Pesa iingie. 2. Passive Income - Hapa unafanya kazi mara 1 lakini Malipo utaendelea Kupata siku zote. 3. Portfolio Income - Kipato kutokana na Uwekezaji, Mfano Hisa, Hatifungani.

Tweet Image 1

Hizi hapa Sababu 7 kwanini watu wengi wanashindwa Kuweka Akiba. 1. Kukosa Maono na Malengo thabiti kwenye Maisha yao. 2. Kukosa Mtu au Mfumo wa kuwawajibisha. Mfano wa Mfumo ni Vicoba, Saccos, Standing Order. 3. Kutegemea Chanzo Kimoja Cha Mapato. 4. Kwa elimu zaidi YouTube.

Tweet Image 1

Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.