@MujiLusekelo Profile picture

M.W.A.N.D.E

@MujiLusekelo

Tanzanian Boy 🇹🇿

Similar User
AVIATOR photo

@YesayaSamson

Sir Adam photo

@SirAdam11

Ling'ande Jr photo

@LingandeJr

Jimmy_james_joh photo

@JamesElisey

Nyebi photo

@Terry_the_king

Babna photo

@smartbabnaa

ZITATU photo

@Mcshilu

Pemaxy Collection Shop photo

@Pemaxy_Collecti

Braxs photo

@cryptojamaaa

Hadhamin Fadhlrabby photo

@fadhlrabby

Benson Mkondya photo

@Barrikbenson

Ṣāliḥ photo

@sule0305

Thekillboy photo

@ArsenalBoy8

Capaifona photo

@IaMichaelbenard

KidiluN. photo

@kidilun

Pinned

@Salym Happy birthday brother 🎂 Maisha marrfu na baraka kwako 👊🏽

Tweet Image 1

M.W.A.N.D.E Reposted

Huwa tunacheza na maroboti?? Hizi bomba za sindano za nini Sasa kwenye vyumba vya kubadilishia nguo??


Kilombero Sugar Expansion Project (K4) 😊

Tweet Image 2

M.W.A.N.D.E Reposted

Mziki......


M.W.A.N.D.E Reposted

Aisee Acheni wake za watu wazee


😂😂😂

Mbunge wa jimbo la Mtama Mhe.Nape Moses Nnauye ameongea maneno mazito mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa "Najiua Nitateuliwa tena"Nape



M.W.A.N.D.E Reposted

Kwenye ishu ya mahusiano huwezi pata mwenye vigezo vyote, ukipata mwenye unafuu we ruka nae. Hamna aliyekamilika.


We jamaa utakuwa hauko sawa kwenye upande wa akili,najaribu kuuchuna nasoma tu unachopost lakini leo nimeona niseme jambo. Kwanini huwa unapenda kulazimisha watu waandike unachotaka wakati kila wanachotumia kuandika wanavyoviandika ni cha kwao wala haujawapa wewe??usijipe umuhimu

Mpo kimya hamjadili kuhusu ulanguzi uliofanywa na Mwakarobo. Ingekuwa ni jambo la Yanga tungesakamwa vibaya mno. Ulanguzi wa AWESU Ulanguzi wa Kagoma Ulanguzi wa Mashaka Ulanguzi wa Lawi. Kama hakuna jambo vile, waandishi na Wachambuzi wote wamemeza ulimi



M.W.A.N.D.E Reposted

Goli Bora Ligi Kuu 23/24

From Azam TV

M.W.A.N.D.E Reposted

Moja ya watu waliotajwa hapa ni wewe Mareka Malili Lubasha. Ukibisha post hii video weka poll followers wako wakupigie kura.


Ungekuwa mkristo usingepata nguvu za kuandika upuuzi uliouandika,pole sana huyo vita yake hauiwezi hata kwa dawa. Anachukiwa na dini nzima ya kiislamu lakini ndio nyama namba 1 kwa utamu na kuliwa kwa kiasi kikubwa

Nguruwe Anapigwa kwanza Anauawa akishafariki ndo anachinjwa Dah huyu mdudu ana pitia Mazito...😀

Tweet Image 1


M.W.A.N.D.E Reposted

𝐁𝐨𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐔𝐭𝐚𝐥𝐢𝐢 𝐧𝐝𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐒𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐖𝐞𝐞𝐤 𝟐𝟎𝟐𝟒. Kuelekea kwenye ufunguzi wa Wiki ya Simba iliyopewa jina la Ubaya Ubwela, leo Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Imani Kajula amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania, Ephraim…

Tweet Image 1

M.W.A.N.D.E Reposted

Women are really done with us


Shemeji yenu😍

💋💋💋

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3


M.W.A.N.D.E Reposted

💋💋💋

Tweet Image 1
Tweet Image 2
Tweet Image 3

M.W.A.N.D.E Reposted

Song: Aquelina (2004) 🎶 Artists: OCG (Crew) ft Juma Nature Producer: P Funky Majani ( 2004 ) 🎹 Production: Sound Solution/ Bongo Rec.


M.W.A.N.D.E Reposted

Dogo Kaumiza Sanaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 Huwezi Elewa Kama Hujawahi Kula Bumu😁 Anaitwa #Panther🏆 #NitasimamaTena💐


M.W.A.N.D.E Reposted

Mwenyekiti wa CHADEMA - Kanda ya Nyasa @TheRealJongwe (SUGU), aki’ perform LIVE na band ya wanajeshi (United States Navy) kutoka USA… Ni katika sherehe ya Uhuru wa USA, nyumbani kwa balozi wa USA - Tanzania, @USAmbTanzania usiku wa leo. 👊🏾


M.W.A.N.D.E Reposted

Steve Mukwala mguuni mali inatulia


Loading...

Something went wrong.


Something went wrong.